Mkuu positives ni kwamba
Nadhani OGS anajua madogo gani anaweza kuwapa muda zaidi au kuwaingiza kwenye first team set up, na Chongy si mmoja wao
Pia madogo wamepata exposure.
Kingine ni kuwa Grant mwenye miaka zaidi ya 2 klabuni amepata mechi yake ya kwanza, akiichezea United
Ethan Laird ambaye amekuwa akipanda upande wa kulia kupiga krosi, wakati huo amekuwa akikaba na Dylan Levit amekuwa akipiga penetration na forward passes (debutants) wameonesha wana kitu cha kuisaidia timu kwa siku za mbele