Akuifunga Chelsea wewe ..alidraw naoJose Mourinho alishika nafasi ya pili na alizifunga timu zote za top 4 (Man City,Chelsea,Liverpool,Spurs,Arsenal,Leicester) na wachezaji hao
Mim sikimbii popote ..kwan ci tunakubaliana upya?Bado kidogo tu tukukimbize humu
Ole siku zote anatuangusha,hana uwezo Wa kuifikisha Man U panapotakiwa hata apewe season tatu mbeleSiyo kutojiamini huyo jamaa huwa anacheza hovyo sana nyama uzembe halafu linataka litumie nguvu matokeo yake linatoa maboko.
To be Frank Ole jana alituangusha ile mechi
Ila ilivyowapa go ahead kwenye faulo ya Origi mkaenda kupata goli dhidi ya Liverpool, haikuwa upande wenu? [emoji23] [emoji23] sasa mmebakiza kuisingizia VAR kwamba ndo sbb ya hali yenu
Mim sikimbii popote ..kwan ci tunakubaliana upya?
Garry Neville anasema Man u inatakiwa isajili wachezaji 5 au 6 Januaryjose mourinho alimuona andreas perreira hana kiwango cha kucheza kila siku ndio maana alimtoa kwa mkopo, hata msimu uliopita alimbakisha kwa sababu hakuwa na solution kwa sababu klabu ilishindwa kuingia sokoni.
scott mctominay hakuwa chaguo la kwanza mbele ya nemanja matic.
hao wote chini ya OGS wamekuwa chaguo la kwanza usiku na mchana, wacheze vizuri au waharibu.
Ole anasema, hakuna haja ya kusajili.Garry Neville anasema Man u inatakiwa isajili wachezaji 5 au 6 January
Ole anasema, hakuna haja ya kusajili.
Garry Neville anasema Man u inatakiwa isajili wachezaji 5 au 6 January
Muache ajifanye nundaOle anasema, hakuna haja ya kusajili.
Muache ajifanye nundaOle anasema, hakuna haja ya kusajili.
duu hii kaliEvery problem has a solution
EPL LOG TABLE
1. Liverpool............... 37
2. Arsenal + MAN U ... 35
3. Leicester CITY ....... 29
4. MAN CITY ............. 28
In unity there is strength
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee ni vizuri badala ya kupeleka kikosi cha kwanza kwenda kupata injury zisizo na tijaKikosi kilichoenda Kazakhstan View attachment 1273522
ila huyo shaw bora asingeendaAisee ni vizuri badala ya kupeleka kikosi cha kwanza kwenda kupata injury zisizo na tija