Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,697
- 32,447
Yeah watapunguza mzigo kwa wachezaji wanaotumika zaidi EPL.
Hata Bailly nae karejea uwanjani kwahiyo rotation ya squad itakuwa possible kwa sasa.
Hata Bailly nae karejea uwanjani kwahiyo rotation ya squad itakuwa possible kwa sasa.
kwa michuano ya ligi kuu mchezaji muhimu zaidi aliyerudi ni luke shaw.
hao wengineo watacheza europe league na carabao cup