jiulize swali moja tu ile penati ya mapema tu wangefunga city liva ingekua na hali gani uwanjani....je wangeweza rudisha na kushinda ile mechi??? kumbuka goli la mapema walilofungwa city ndio liliwatoa mchezoni mazima wanakuja kurudi mchezoni zimebaki dakika 20 tu mpira kuisha.....ilifika muda ball possess ilisoma liva 20 na huku city 70 na
Sasa wanatofauti gani mkuu ...Salah anategemea mbeleko la akina fabihno na Mane wampambanie..ila yeye miguu yake sio ya kushoto kama Rashid ..Mohamed Salah ana goal 6
Rashford ana goal 6 kwahiyo Rashford ni sawa tu na Mo Salah
Kwenye maisha ups and down zipo mkuu ko ni sehemu ya mapito, naamini kabisa hiki kipindi kitageuka na kua historia tenaHata hivyo jamaa anakuonea tu maana timu yenyewe bado ipo juu ya mawe
Binafsi hata mimi Perreira hua simuelewi huyu dogo, Hao kina Janajuzi na Clevery walicheza man utd kwa sababu kipindi kile upinzani kwa timu ndogo ulikua wa kawaida tofauti na sasa hivi unakuta hata timu ndogo ina wachezaji wazuri pengine kuliko hata wa kwakoHuwezi kuwa serious..
Mguu ukomae kivipi??
Kaenda Spain huko kacheza Laliga,mguu unataka ukomae kivipi??..Yule sio mtoto,he is 23 years old
Tom cleverley,Januzaj=Walikuwa ni vijana wetu ila walikuwa sio bora kwa level zetu na ndo maana wameishia kwenda kwenye timu za level zao..the same thing must happen to Perreira
Wewe kwa harakahara unaona man u atashinda kwa sheffield maana ndio match pekee iliyobaki kwa mwezi huu. Kwanza hao sheffield ndio timu ya pili kwa kuconcede magoal machache msimu huu wakiwa wameconcede 9 goals pekee wanazidiwa na Leicester city pekee ambaye ameconcede 8 goals.Hahaha kwa iyo mwezi huu washafunga mahesabu
Ha ha haTimu inapofanya vibaya usiwe unajificha uvunguni, uwepo na tunapokuwa kwenye hali Tete
Nusu ya wachezaji wa Liverpool ni wachezaji wa kiwango cha kati, uwezo wa kocha kuitengeneza tim ndio kimefanya Liverpool ionekane tishio kwa sasa wala si ukubwa wa wachezaji.Binafsi hata mimi Perreira hua simuelewi huyu dogo, Hao kina Janajuzi na Clevery walicheza man utd kwa sababu kipindi kile upinzani kwa timu ndogo ulikua wa kawaida tofauti na sasa hivi unakuta hata timu ndogo ina wachezaji wazuri pengine kuliko hata wa kwako
Na hii ndio issue inayotugharimu sana united na kama tukitaka kuvuka hiki kikwazo ni lazima kusajili wachezaji kariba ya timu za liverpool na man city
Ushasema nusu mkuu, wakati wengine timu karibu yote ni tia maji tia maji, pia ubora wa hao wachezaji wa kiwango cha kati chao huwezi kuwafananisha na timu yetu kimchezo, ki status mfano kama jina wanaweza kua wanalingana but ile spirit au morale ya kiushindani na kiupambanaji ni kubwa kuliko timu yetu na ukitaka ku prove hili jambo angalia mechi yoyote ambayo man u anaanza kutanguliwa goliNusu ya wachezaji wa Liverpool ni wachezaji wa kiwango cha kati, uwezo wa kocha kuitengeneza tim ndio kimefanya Liverpool ionekane tishio kwa sasa wala si ukubwa wa wachezaji.
Matic ni mgonjwa?
Hahaha kwa iyo mwezi huu washafunga mahesabu
Mohamed Salah ana goal 6
Rashford ana goal 6 kwahiyo Rashford ni sawa tu na Mo Salah
Hahaha maana anataka kumshusha sana Rashford wakati itahitajika misimu miwili mpaka mitatu kwa Tammy kuyafikia magoli ya Rashford EPL, hata kama Rashford atastaafu leo kuchezaKwahiyo Tamy ni zaidi ya MO Salah...??
Tatizo Ollachuga hajui soka, anadhani soka ni kama hesabu
Wewe kwa harakahara unaona man u atashinda kwa sheffield maana ndio match pekee iliyobaki kwa mwezi huu. Kwanza hao sheffield ndio timu ya pili kwa kuconcede magoal machache msimu huu wakiwa wameconcede 9 goals pekee wanazidiwa na Leicester city pekee ambaye ameconcede 8 goals.
Sasa hapo mamaester united anachomokaje kwa mfano?
Aaahaha aise bwana mkubwa hapa hakuna kitu ..awachomoki..Wewe kwa harakahara unaona man u atashinda kwa sheffield maana ndio match pekee iliyobaki kwa mwezi huu. Kwanza hao sheffield ndio timu ya pili kwa kuconcede magoal machache msimu huu wakiwa wameconcede 9 goals pekee wanazidiwa na Leicester city pekee ambaye ameconcede 8 goals.
Sasa hapo mamaester united anachomokaje kwa mfano?
Hahahaha mumeshinda mechi mbili basi munaona Kila Siku ni jumapili ..thubutuuu Shelfed pale hamutoboi mzee..Yeah.... Tumefunga hesabu
Labda tungekuwa na mechi na mwali wetu Chelsea, tungekuwa na uhakika wa kujipigia
Hahaha uyo Rashid mwenye goli 9/10 per season?? Hahahaha acha vichekesho bana ...kweny championship bwana Tammy kakimbiza 29+ uko ..magoli ambayo rashid mpka anastaafu ataeza fikisha ..Hahaha maana anataka kumshusha sana Rashford wakati itahitajika misimu miwili mpaka mitatu kwa Tammy kuyafikia magoli ya Rashford EPL, hata kama Rashford atastaafu leo kucheza
Huyo kipa anayezuia magoli hatakuwepo. Sababu kipa ni wa Man U yupo kwa mkopo hapo, so wanaweka pazia ole wake rashford afanye uboya.
Sasa mkuu huoni kama developement yake ni nzuri? Goli 5 then 7 then 10 na msimu hata nusu ana 6, huoni kama ana improve kila msimu?Man u acheni utani msajili mshambuliaji wa maana. Rashford debe tupuView attachment 1262187View attachment 1262188
Hahaha uyo Rashid mwenye goli 9/10 per season?? Hahahaha acha vichekesho bana ...kweny championship bwana Tammy kakimbiza 29+ uko ..magoli ambayo rashid mpka anastaafu ataeza fikisha ..