The Professor
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 2,223
- 4,580
Kuna quote moja inasema " Tell my future wife Manchester united was and still is my first love" mimi pia mbele hili chama huniambii kituNaipenda Sana hii team.
Baada ya familia yangu ni Manchester United
#GGMU
Msiwe mnajificha uvunguni tukiwa kwenye hali teteKuna quote moja inasema " Tell my future wife Manchester united was and still is my first love" mimi pia mbele hili chama huniambii kitu
Kwani mmeshatoka huko katika hali tete mkuu?Msiwe mnajificha uvunguni tukiwa kwenye hali tete
Huu uzi ukienda previous huku kuna post zangu nyingi tu na hata hii avatar yangu sijaiweka juzi eti kisa tumeshinda hapana nipo nayo kitambo sana mkuuMsiwe mnajificha uvunguni tukiwa kwenye hali tete
Sawa ,Huu uzi ukienda previous huku kuna post zangu nyingi tu na hata hii avatar yangu sijaiweka juzi eti kisa tumeshinda hapana nipo nayo kitambo sana mkuu
Nimemuelewa lakini ndio maana mimi mwenyewe nimemwambia , huu uzi humu ndani me nipo toka kitambo either timu iwe ime win au haija win, mfano kuna kipindi nilileta hadi maoni ya wachezaji ikiwemo hadi De gea wakati timu imepoteana kabisa kila game hatupati hata goal moja,Sawa ,
Hoja ya jamaa kuwa timu ikiboronga munajificha,ikifanya poa munachomoka kama kama nge wa Nachingwea mvua inaponyesha
Kwani mmeshatoka huko katika hali tete mkuu?
Huu uzi ukienda previous huku kuna post zangu nyingi tu na hata hii avatar yangu sijaiweka juzi eti kisa tumeshinda hapana nipo nayo kitambo sana mkuu
Chemistry ya Fred na McSouce(Tominay) ndo ishaingia tena dosari..Taarifa za awali kuhusu injury kwa Tominay
Anaweza kuwa nje ya Uwanja kwa week 4, vipimo zaidi vitafanyika within 72hrs kupata majibu ya mwisho
Mechi anazoweza kukosa ni pamoja na Shefield United, Astana, Tottenham, Aston Villa na Man City itakayopigwa December 7
Mambo yakiwa hivyo itakuwa ni pigo kubwa kwa United
Perreira anacheza mpira kama mswahili anavyokuwa anacheza ndondo..sioni chochote from him..anafika maeneo mazuri ambapo inabidi atoe pasi ya mwisho,yeye hatoi au anatoa vibaya..Martial ni mchezaji mzuri sana, hasa akiwa ana viungo wa maana. Lakini ukweli unabaki kuwa hana spirit ya Daniel James, Rashford au Tominay. Laiti angekuwa na "x factor" kama OGS anavyoiita, huyu dogo ana potential ya kuwa next CR7
Rashy ame prove kwamba he is not number 9, japo ana uwezo wa kufunga. Anafaa zaidi kucheza kutokea kushoto katika mfumo wa 4-3-3. Pia anapaswa kupunguza ubinafsi
Pereira ni moja kati ya hardest working players wa Man Utd kwa sasa. Lakini kiwango chake kinatia mashaka kwani hana consistence. Apewe muda, atazamwe msimu huu. Akiendelea kucheza hivi hivi OGS asimuonee aibu. Auzwe hata Everton.
Brandon Williams ni kijana ambaye hata Jose alikuwa amemuweka kwenye mipango yake. Jose amewahi kusema kwamba some academy players are very good but very young. Future number 3, should also be our curent left back.
Kepa ana clean sheet ngap?Mechi 10 zilizopita chelsea muna cleansheet 2 tu.
Romero ana cleansheet 30 mechi 49.
iyo logo ni ya united ya tandaleNatest mitamboView attachment 1260874
Broo kile nikipaji ukijaribu kuzungumzi vipaji man u na yule huwezi kumuacha yupo vizuri saana ndomana hata Ferguson hatakagi wamuuze we mfwatilie vizuri ule mguu wake ni wadhahabu ajakomaa vizuri tuPerreira anacheza mpira kama mswahili anavyokuwa anacheza ndondo..sioni chochote from him..anafika maeneo mazuri ambapo inabidi atoe pasi ya mwisho,yeye hatoi au anatoa vibaya..
Na second half huwa anapotea,sijui anachoka au vipi??..na ndo maana OGS anamfanyia sub kila mechi
Just imagine ametoa assist moja na kufunga goli moja so far this season na no 10..Badobado sana
Nimemuelewa lakini ndio maana mimi mwenyewe nimemwambia , huu uzi humu ndani me nipo toka kitambo either timu iwe ime win au haija win, mfano kuna kipindi nilileta hadi maoni ya wachezaji ikiwemo hadi De gea wakati timu imepoteana kabisa kila game hatupati hata goal moja,
Mfano huyu jamaa hata mimi ndio namuona leo kwenye hii thread so nikitumia hicho kigezo kua haonekani wakati wa matokeo mabaya nakua nakosea, humu tunapishana kutokana na majukumu muda ambao mtu mwingine anachangia mwingine anakua offline
Na vitu kama hivyo, so msihukumu watu direct kua wanaonekana wakati wa matokeo mazuri tu hapana mnakua mnawakosea
Huwezi kuwa serious..Broo kile nikipaji ukijaribu kuzungumzi vipaji man u na yule huwezi kumuacha yupo vizuri saana ndomana hata Ferguson hatakagi wamuuze we mfwatilie vizuri ule mguu wake ni wadhahabu ajakomaa vizuri tu