D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
dah! kuangalia mechi za manchester united kuanzia saa 5 usiku inataka uwe na moyo wa uvumilivu na ushujaa ndani yake.Mi sijali ni bora niwaangalie madogo kina Brandon,Garner,Greenwood n.k,,atleast inanipa relief
dah! kuangalia mechi za manchester united kuanzia saa 5 usiku inataka uwe na moyo wa uvumilivu na ushujaa ndani yake.
inshaallah nitakuja kupitia maandishi yako na comments za wadau wengineo asubuhi ya kesho.
OLE apewe muda hata kama tutashuka daraja.
Athletic naona wamepost kwamba Ed ametuma member wa team yake kuongea na huyo jamaa kuhusu experience yake na jinsi alivyoziinua timu mbalimbali.ed woodward anasemaje?
CV yake inaonekana ni nzito sana huyo jamaa na kivyovyote ujio wake utakuwa ni faida kubwa sana kiupande wetu kama atapewa mamlaka ya kusimamia na kutenda yale yote anayoyafanya huko anakotoka(leipzig).Athletic naona wamepost kwamba Ed ametuma member wa team yake kuongea na huyo jamaa kuhusu experience yake na jinsi alivyoziinua timu mbalimbali.
Pia kuna chanzo chengine japo sio reliable sana wanasema Rangnick yupo interested na kazi ya man Utd.
CV yake inaonekana ni nzito sana huyo jamaa na kivyovyote ujio wake utakuwa ni faida kubwa sana kiupande wetu kama atapewa mamlaka ya kusimamia na kutenda yale yote anayoyafanya huko anakotoka(leipzig).
pia kama OGS atafanikiwa kuvuka hiki kigingi cha kufanya vibaya ndani ya uwanja basi naamini ujio wa huyo jamaa kama itakuwa ni kweli utakuwa ni faida kubwa sana kiupande wake kwa sababu wote wawili wanaoenakana ni waumini wakubwa sana wa kutafuta young players wenye vipaji kwa bei nafuu.
Sawa mkuudah! kuangalia mechi za manchester united kuanzia saa 5 usiku inataka uwe na moyo wa uvumilivu na ushujaa ndani yake.
inshaallah nitakuja kupitia maandishi yako na comments za wadau wengineo asubuhi ya kesho.
OLE apewe muda hata kama tutashuka daraja.
Athletic sio gazeti la kuuza kwa volume kama magazeti ya kawaida, ni jamaa fulani wanakuwa na habari nyeti nyeti za mpira fikiria kama wikileaks hivi, na sio kila mtu anaweza kusoma habari zao bali members maalumu ambao ni wa kulipia, sio kwamba habari zao zote ni za ukweli ila wana ethics nzuri na wanajitahidi kuondoa bias, na ni katika vyombo vya habari vichache ambavyo vipo wazi against Ed.Itakuwa poa sana, ila sidhani kama kuna kitu kama hicho kinaendelea man united.
Magazeti ili yauze lazima yaiguse man united, last week kulikuwa na rumours za waarabu kutaka kuinunua United, this week magazeti yako na huyo jamaa.
Sidhani kama kuna ukweli wowote kwenye hizo taarifa.
We unapenda mazee na vitambi vyao siyo, haina noma japo juzi ulitaka utoe Na kwa ki Ben ten toka holandSi ndo kama Wewe ulivyogawa kwa bwana mdogo Bornamouth ..kwangu umenibania ..utarudi tena
Hatufanani..mimi hata kama timu ni mbovu vipi still bado nitataka kuangalia mechi.dah! kuangalia mechi za manchester united kuanzia saa 5 usiku inataka uwe na moyo wa uvumilivu na ushujaa ndani yake.
inshaallah nitakuja kupitia maandishi yako na comments za wadau wengineo asubuhi ya kesho.
OLE apewe muda hata kama tutashuka daraja.
Hao jamaa huwa kosekaniMan u iuzwe kwa wale makalasinga wanaokaa seat za mbele Old Trafford.View attachment 1256471
Athletic sio gazeti la kuuza kwa volume kama magazeti ya kawaida, ni jamaa fulani wanakuwa na habari nyeti nyeti za mpira fikiria kama wikileaks hivi, na sio kila mtu anaweza kusoma habari zao bali members maalumu ambao ni wa kulipia, sio kwamba habari zao zote ni za ukweli ila wana ethics nzuri na wanajitahidi kuondoa bias, na ni katika vyombo vya habari vichache ambavyo vipo wazi against Ed.
Ila upo sahihi sababu wanaongea haimaanishi anakuja. Unaweza kuta Ed anachangamsha tu kijiwe na kutupa matumaini.
Ajax ni kibenten kama Bonamouth!!?? Acha bwana wee em kuwa siriyaz..We unapenda mazee na vitambi vyao siyo, haina noma japo juzi ulitaka utoe Na kwa ki Ben ten toka holand
Man u si kama club zingine ina thamani kubwa sana, kama 3.5B pound Glazer wamechomoa (zaidi ya trilioni 10 za kitanzania) itakuwa ngumu sana kwa hao jamaa kui Afford.Man u iuzwe kwa wale makalasinga wanaokaa seat za mbele Old Trafford.View attachment 1256471
Hawa masinga singa siwaoni siku izi. Halafu hawa ndio walosababisha watani waseme MUFC ni timu ya wahindi πMan u iuzwe kwa wale makalasinga wanaokaa seat za mbele Old Trafford.View attachment 1256471
basi hata kuonyeshwa mara moja moja, au nyakati zile walikuwa wanatafuta kiki kama super mario.Siyo kwamba wamebadilishiwa jukwaa ?
Sifikirii kama wamebadilishwa jukwaa wale, Camera ingewatafuta tu nahisi wale walikuwa mashabiki wa SAF, alivoachiwa ngazi wakajua hamna liwale na wao wakaachia siti. Yaani wale walikuwa kama alama ivi kuwa lazima waoneshwe tu.Siyo kwamba wamebadilishiwa jukwaa ?
Sifikirii kama wamebadilishwa jukwaa wale, Camera ingewatafuta tu nahisi wale walikuwa mashabiki wa SAF, alivoachiwa ngazi wakajua hamna liwale na wao wakaachia siti. Yaani wale walikuwa kama alama ivi kuwa lazima waoneshwe tu.
π π π ilinibidi ni wagoogle, kweli kumbe wamebadilishiwa seat kutokana na changes za OT.Hili suala lililetwa humu kuna mdau alisema walihamishwa jukwaa.
π π π ilinibidi ni wagoogle, kweli kumbe wamebadilishiwa seat kutokana na changes za OT.