Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sheria zinasemaje kwa mmiliki wa timu. Kwa mfano mmiliki wa club akiamua kuua biashara ya mpira, uwanja na majengo ya man u yakabaki kama makumbusho atashtakiwa? Wakati mali ni yake? Biashara ni yake? Na pesa alizonunua timu zilikuwa zake?
Sijui sheria zikoje lakini ishu ikiwa kubwa na kutishia kufa ama kuvinjwa kwa timu na mmiliki basi huenda bunge la UK likaingilia kati mchakato huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…