Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ushindi mmoja na timu tuliyocheza nayo si vitu vya kufurahi sana wengi tunajisahau hapa unakutana na timu inayoziba nafasi kama wolves na crystal palace story inakuwa tofaut hawa norwich tumewafunga wanafunguka sana

Timu ambayo wanaongoza kwa kuziba nafasi 100% kwa sasa ni Sheffield United wako vizuri sana ,ukiondoa liverpool timu iliyoruhusu magoli machache kwenye epl mpaka sasa wanafata hao Sheffield United, hao ni shida nyingine mjini kwenye kuzuia. Kuwafunga hao hizo timu kubwa kazi sana na wakikubahatisha kimoja ndio biashara imeisha hapo.
 
Tukikutana nao kipa wetu hataruhusiwa kucheza itabidi acheze mwengine, defence yao haitakuwa nzuri bila Dean.
 
Mechi hii mkuu ilirushwa na channel gani Jana niliboreka Sana.
 
Midfield hiyo hiyo ndiyo ilimkalisha PSG pale park de princess ni midfield hiyo hiyo ndiyo iliyomsimamisha Liverpool unahitaji wafanye kitu gani ndiyo ueledwe kuwa wanaweza ?
 
Cc King Ngwaba tuendelee kumwamini ,?
 
Ushindi mmoja na timu tuliyocheza nayo si vitu vya kufurahi sana wengi tunajisahau hapa unakutana na timu inayoziba nafasi kama wolves na crystal palace story inakuwa tofaut hawa norwich tumewafunga wanafunguka sana
Sasa zile kelele kule kwangu zilikuwa za nini kama unaelewa hili?????

Nyie subirini huu upepo wa vipenatipenati unakata muda si mrefu maana Eddo boy anasambaza mlungula kule kwenye kamati ili awadanganye na viushindi viwili vitatu.....

Jamaa anakula kandarasi nyingine na msoto utaendelea kama kawiz.....
 
Sasa huyo ni mchezaji mpira wa miguu au Mkimbia riadha....
 
Midfield hiyo hiyo ndiyo ilimkalisha PSG pale park de princess ni midfield hiyo hiyo ndiyo iliyomsimamisha Liverpool unahitaji wafanye kitu gani ndiyo ueledwe kuwa wanaweza ?
Kuna kushinda kwa bahat halafu kushinda kwa mipango ule ushindi wa psg hamna goli la assist yote ni mapuuza ya psg kila kitu walitutawala ndio maana tulipocheza na barcelona walikuwa wanafanya majukum yao sahihi je tulipumua?
 
Wewe kukutania kupo palepale haijalishi nimeshinda kwa timu ipi sema ukweli wa mambo naujua tukikutana na top team yenye viungo makini tunakimbia humu
 
Tatzo hawataki kukubali hata wakishinda
Midfield hiyo hiyo ndiyo ilimkalisha PSG pale park de princess ni midfield hiyo hiyo ndiyo iliyomsimamisha Liverpool unahitaji wafanye kitu gani ndiyo ueledwe kuwa wanaweza ?
 
Katika mechi ile uliona PSG wakifurukuta ?
Uliwaona walivyoua midfield ya liverpool ?
Mimi naona wakicheza pamoja mara nyingi wanaperform ndiyo maana nikasema midfield yao inaanza kuwa na muunganiko mzuri kiuchezaji.
Kuna kushinda kwa bahat halafu kushinda kwa mipango ule ushindi wa psg hamna goli la assist yote ni mapuuza ya psg kila kitu walitutawala ndio maana tulipocheza na barcelona walikuwa wanafanya majukum yao sahihi je tulipumua?
 
Pereira anakitu miguuni mwake ila hakipo kichwani mwake siku Ole akifanikiwa kukihamishia hicho kitu kilichoko miguuni kwenda kichwani tutaanza kufurahia uwepo wake uwanjani.
Kuna kushinda kwa bahat halafu kushinda kwa mipango ule ushindi wa psg hamna goli la assist yote ni mapuuza ya psg kila kitu walitutawala ndio maana tulipocheza na barcelona walikuwa wanafanya majukum yao sahihi je tulipumua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…