Binary results
Manchester United Goals after their 4:0 win against Chelsea
1 vs wolves
1 vs Crystal Palace
1 vs Southampton
1 vs Leicester
1 vs Astana
0 West Ham
1 Rochdale
1 Arsenal
0 AZ Alkmaar
0 New Castle
1 Liverpool
1 FZ Partizan
Binary Results.
Ole in???
Sasa mkuu nimeuliza tu Wewe nipe mtizamo wako..Hii ndo aina ya mashabik wa chelsea walivyo ndio maana wakina kunguru mjanja wamepotea jukwaa limevamiwa kule
Na ndo maan nikauliza hivi Rashid na Samatta nani mkali? Sasa mkuu radika anaanza kunitolea povu. Uyu ukimpeleka pale Genk na Samata ukamshusha apo OT ..kutakuwa na tofauti kubwa sana.. Kwanza Genk watastrago kupata matokeo..Samata ana uhakika wa kukupa goli kila gemu atakayocheza..Hili suala linaniumiza sana kichwa....
Samatta anacheza Genk alafu Lingard na Rashford wanacheza Manchester united....
Forward unategemea Rashford na mvivu MartialBinary results
Manchester United Goals after their 4:0 win against Chelsea
1 vs wolves
1 vs Crystal Palace
1 vs Southampton
1 vs Leicester
1 vs Astana
0 West Ham
1 Rochdale
1 Arsenal
0 AZ Alkmaar
0 New Castle
1 Liverpool
1 FZ Partizan
Binary Results.
Ole in???
Tutolee bangi zenu ninyi.. Yaani Samata alingane na Rashford??! ... Acha dharau.Na ndo maan nikauliza hivi Rashid na Samatta nani mkali? Sasa mkuu radika anaanza kunitolea povu. Uyu ukimpeleka pale Genk na Samata ukamshusha apo OT ..kutakuwa na tofauti kubwa sana.. Kwanza Genk watastrago kupata matokeo..Samata ana uhakika wa kukupa goli kila gemu atakayocheza..
Mkuu washirikishe chelsea wenzio ktk hili jambo lipo nje ya uwezo wetuSasa mkuu nimeuliza tu Wewe nipe mtizamo wako..
Unajua mkuu nilichogundua hawa madogo tuwavumilie tu mbona wakina salah na mane wamehangaika ktk miaka yao 21 hao wakina mane na salah walikuwa wapi na walifunga goli ngapi?Forward unategemea Rashford na mvivu Martial
DhahiriSema Lampard na Gerald watakuja kuwa makocha wazur sana sisi tumebalikiwa malopolopo tu
Katika umri wa miaka 21 Rashford tayari ameshacheza misimu minne Ya EPL tena katika timu hiyo hiyoUnajua mkuu nilichogundua hawa madogo tuwavumilie tu mbona wakina salah na mane wamehangaika ktk miaka yao 21 hao wakina mane na salah walikuwa wapi na walifunga goli ngapi?
Mkuu hapo ni LUKE SHAW ajiandae kisaikolojia maana young hana muda mrefu wa kucheza Luke Shaw toka kasajiliwa hajawahi kuonesha kiwango chake murua ina maana toka aondoke Patric Evra ule upande una shida
Hivi ni kwanini Ole anaanzishaga Young badala ya huyu dogo?
Martial ana miaka 24 nowUnajua mkuu nilichogundua hawa madogo tuwavumilie tu mbona wakina salah na mane wamehangaika ktk miaka yao 21 hao wakina mane na salah walikuwa wapi na walifunga goli ngapi?
Sasa wamecheza mpira gani kama hawakuanzia kwenye academy?Katika umri wa miaka 21 Rashford tayari ameshacheza misimu minne Ya EPL tena katika timu hiyo hiyo
Wakati katika umri huo Mane na Salah tena hawakupitia Academy walikuwa wanastruggle Kwa kuhama hama vitimu vidogo vya nchi mbalimbali kutafuta malipo mazuri wakati Rashford ni fresher from academy ya Club tajiri duniani
Namzungumzia zaidi rashford martial ni mzembeMartial ana miaka 24 now
Wanaogopa kwenda mbele utazania kuna motokitu wananiudhi man u ni ma backpass
Mkuu Radika, kwa hali ya timu yetu kwasasa ni kweli kuwalaumu kina Rashford na Martial hata mimi nimegundua ni kuwaonea tu. Timu haitengenezi nafasi za wazi,ni kupiga pasi na kurudisha nyuma tu. Kama jana sio penalty tungetoka sare. Ndio maana Scholes anapendekeza Ozil anunuliwe atakuwa msaada kwa sasa hasa ukizingatia Unai hamtaki. Sioni #10 wa kumtuliza bench Ozil. |
Ni kweli mkuu
Mkuu Radika, kwa hali ya timu yetu kwasasa ni kweli kuwalaumu kina Rashford na Martial hata mimi nimegundua ni kuwaonea tu.
Timu haitengenezi nafasi za wazi,ni kupiga pasi na kurudisha nyuma tu. Kama jana sio penalty tungetoka sare.
Ndio maana Scholes anapendekeza Ozil anunuliwe atakuwa msaada kwa sasa hasa ukizingatia Unai hamtaki. Sioni #10 wa kumtuliza bench Ozil.