Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Rashford kupewa mshahara wa pauni Laki Mbili Kwa Wiki inatafsiri Manchester United ipoje leo hii
 
Wazee wa futuhi, leo mna mechi huko. Vipi mtatoboa maana kila mechi kwenu fainali...
 
Sasa mmebaki na kupambania historia while others live in present.
Present ipi ambayo united hana wewe?

Epl 2013
Europa 2017
Uefa 2008
Carabao 2017
Fa 2016

Yote hayo umeyaona na kujua

Lini umeona liverpool akichukua epl?

Makombe 18 ya division one unayosikia ulikuwa na akili timamu?
 
Present ipi ambayo united hana wewe?

Epl 2013
Europa 2017
Uefa 2008
Carabao 2017
Fa 2016

Yote hayo umeyaona na kujua

Lini umeona liverpool akichukua epl?

Makombe 18 ya division one unayosikia ulikuwa na akili timamu?
Hahaha sasa imebaki hoja ya epl tu, ile ya kusema mara yenu ya mwisho kubeba kombe imeisha?
sasa mmebaki kuongelea your past glory to feel better about your team. How big and glory it was. Anyway, mzee pambana mcheze hata UEFA mzee maana kushiriki tu ishakuwa mithili ya kombe.
 
Wazeee mna mechi na timu inaitwa Panzi, sijui Parimatch... panzimach ... asee hii ndo shida za futuhi, vipi mtatoka? Magoli hata mawili yatapatikana? Au kama kawaida sare?
 
Wanaingiza parefu huwez lipa hiyo pesa kama huna vyanzo
Mwaka huu Manchester United kapitwa mapato Na Real Madrid sasa Real Madrid pale wanaochukua hiyo hela au zaidi ni Ramos, Kroos, Hazard, Marcelo, Bale hamna mwingine ninaemjua

Huku Rashford anachukua laki mbili halafu 2 goals from open play in 9 games
 
Unajua liverpool imepeta mashabiki wengi washamba baada ya ujio wa klopp hasa hutu tumiaka tuwili 2018 na 19 kuna wewe na jamaa yako fulani hivi wale wajuz wa mpira wanajua timu yao mbio zake na ndio maana huwa wanakuja hapa nadra

Manchester united pamoja na mwendo wake mbovu toka 2013 had sasa lakin bado ana mafanikio ya vikombe vingi kuishinda liverpool mnayotamba ni bora toka asepe sir alex bisha hilo nishakupa hapo juu

Hata kombe alilochukua liverpool la uefa ni past ndio maana mashindano ya uefa yameanza kumtafuta bingwa mpya sijui kama unatambua hilo au liverpool kachukua leo?
 
Lampard ulimbahatisha usijsifu sana watu watakucheka.
 
Wazeee mna mechi na timu inaitwa Panzi, sijui Parimatch... panzimach ... asee hii ndo shida za futuhi, vipi mtatoka? Magoli hata mawili yatapatikana? Au kama kawaida sare?
Red star brigedi alikuchapa 2-1 unaweza kuona kama hiyo timu ipo kwenye raman ya soka
 
Nilifikir utaniambia manchester united imefilisika kupitwa na real madrid ni kawaida huwa tunapokezana na barcelona pia mkuu top three timu zenye thaman na mpunga mrefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…