Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Of course, kwanza anabebwa na timu yake kwa kufunga magoli mengi (hivyo hawapotezi mechi, hivyo watu wanasahau kuongelea ubovu wa beki)

Pili set up ya team ndio inambeba, angalia timu ya Uholanzi inavyoruhusu magoli mengi, yeye akiwa sehemu ya defense hiyo hiyo

Sitamwita ni Dutch's Phil Jones, lakini sio bora kiivyo

Yule Hwan wa Salzburg ndio alimvua nguo kabisa
Huyu bek ana bahat ya kuchezea timu yenye organization nzur liverpool napenda sana kiungo chao wagumu sana rahisi kuwalinda mabek
 
Bwana Rashid leo alikuwa katika siku zake.....

Nimependa ile jihad aiseeh kamlambisha mchanga kaka mkubwa ....

Ila james yule mtoto wangemuua wale viranja wawili kule nyuma walitaka wamfanyie uhuni maana mpaka dogo akaogopa....

Rojo katili sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nashangaa sijui kwanini hapewagi nafasi........

Hongereni wazee kikweli mulipambana na mlistahili mlichokipata...si haba
 
Unanipangia cha kuongelea

Hongera kwa kupata draw, tulishawaambia mkija OT we will give u a game
Ndio mlichobakiza hicho,uwanjanikufunga goli 2 mechi moja hamuwezi.

Kwenye msimamo mnashika nafasi ya ngapi vile? Utofauti wa point Liverpool na man u ni point 15 mpaka sasa,nawakumbusha tu .
 
Hamna beki pale
Ndio mlichobakiza hicho,uwanjanikufunga goli 2 mechi moja hamuwezi.

Kwenye msimamo mnashika nafasi ya ngapi vile? Utofauti wa point Liverpool na man u ni point 15 mpaka sasa,nawakumbusha tu .
 
We jamaa bhana usiwe unatuma msimamo humu katikati ya mechi..mara nyingi unaigharimu timu.

Uwe unaacha hadi mechi inaisha ndy unatuma picha unazotaka!

Uwe unaacha bhana..kwan ukiacha kuna ugumu gani braza? Kua na uvumilivu, mechi iishe kwanza ndy utume unachotaka

We changia tu inatosha.

Unatugharimu sana.
 
Najua haya matokeo hukuyategemea kabisa mkuu, pole sana.

Hata mimi sikutegemea, naona unavyoumia.
Mm niumie tena , yote kheri

Mimi nangojea mech yangu kesho ,nipae had nafas ya 3

Nimuomba msimamo huyo jamaa maana amekuja kutusumbua jukwaa letu wakati mnaongoza 1-0
 
 
Hapana hii ilikuwa ni 3 4 2 1 ni hybrid ya 3 4 3 ambayo inakupa numerical superiority in all sides of the pitch
Attacking mnakuwa 7 defence mnakuwa 9
Mfumo haueleweki bado ila kama ni 4-2-3-1 basi young ni winger, otherwise ni 4-4-2 diamond ama 5-3-2 pengine Tuanzebe akapewa role ya kumkaba Firminho tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…