4-2-3-1 inahitaji natural number 10 Na kiungo mzuri master wa Pasi unakuwa umemalizahata mourinho 4-2-3-1 ilimzamisha sijui kwa nini hawapend 4-3-3 wasajili tu viungo wa maana warudi ktk huo mfumo
Upo sahihi kabisa MASAMILA4-2-3-1 inahitaji natural number 10 Na kiungo mzuri master wa Pasi unakuwa umemaliza
Mfano hapo Man Utd namba nane ya 4-2-3-1 unamuweka McTominay then namba 10 unamuweka Pogba kazi imeisha
4-2-3-1 inahitaji natural number 10 Na kiungo mzuri master wa Pasi unakuwa umemaliza
Mfano hapo Man Utd namba nane ya 4-2-3-1 unamuweka McTominay then namba 10 unamuweka Pogba kazi imeisha
Siku zote jogoo huwa anachinjwa kama kafara kwa shetani
Hili halikwepeki mkuu lzm wakae kule hata kwa masaaPoleni man u
Degea kaumia
Kuna uwezekano akaikosa Liverpool
Huyu jamaa uwepo wake mmekuwa mkipata hata droo
Akikosekana mwezi mmoja tu kuna uwezekano mkaingia Kwenye dimbwi la wanaoshuka daraja bila kupepesa macho.View attachment 1234528
Liverpool hii imechoka vile hauna uwezo wa kumfunga ManHili halikwepeki mkuu lzm wakae kule hata kwa masaa
Massimiliano allegri atakuwa basha wakoMasimiliano Allegri anasubiri tu liverpool imchakaze United 3-0 jpili
achukue ajira yake
Tumefikaje huko tena ....Massimiliano allegri atakuwa basha wako
Inatakiwa ujibiwe ivo..sorry lakiniTumefikaje huko tena ....
Naona unatafuta nikutukane , ila mm niko mbali, hivo naomba ukae mbali, sija quote , ila naona wiki hili unanifatilia , mm situkanani na mtu humu ,wala sijamtukana mtu , kwahiyo nakusihi kaa mbali ,Inatakiwa ujibiwe ivo..sorry lakini
Tumefikaje huko tena ....
Pole sana mkuu😂😂 Lakini na nyie ni kwanini mnalipenda sana chama letu? Unajua nyie ndio mnafanya tuamini kuna mashabiki wa MUFC na waliobaki wote ni wenye chuki na MUFC na sio mashabiki wa timu nyingine. Yani mpo huko mlipo kwasababu tu ya chuki zenu kwa chama kubwa MUFC. Mnadai tumeisha ila kwenye uzi wetu mnakunywa chai,mnakula cha mchana na mnakula cha usiku na kulala.😂😂 |
Three day to the kickoff..
Wale wanaoomba tufungwe ili bodi ishuke na Ole jumlajumla msiache kulike comment yangu..
Liverpool wakifanya ujinga nitawalaani sana.😂 Maana na yenyewe huwa majuha sana, nakumbuka yalitoa suluhu pale OT tukiwa na majeruhi kibao. |
Mkuu ukiangalia huyo jamaa Mimi simfahamu humu, nipo humu tunajadiliana bila matusi , mm natembelea nyuzi za majukwaa karibu yote , kuna kujifunza na kutaniana
Pole sana mkuu
Lakini na nyie ni kwanini mnalipenda sana chama letu? Unajua nyie ndio mnafanya tuamini kuna mashabiki wa MUFC na waliobaki wote ni wenye chuki na MUFC na sio mashabiki wa timu nyingine. Yani mpo huko mlipo kwasababu tu ya chuki zenu kwa chama kubwa MUFC.
Mnadai tumeisha ila kwenye uzi wetu mnakunywa chai,mnakula cha mchana na mnakula cha usiku na kulala.