Iwapo Ole atashindwa kupata ushindi kwa Liverpool

Huenda tukamuona Max alegri OT

Je ni mtu sahihi hapo OT?
ole gunnar solskjaer bado yupo yupo sana.

chaguo langu litabaki kwa carlo ancelotti baada ya jose mourinho yule atakayejazwa fedha na uhuru wa kimaamuzi.
mpe carlo ancelotti miaka miwili akujengee timu baadae mtafutie sababu yoyote ya kipumbavu upate kumfukuza kazi.
 
Ma legend kama Garry Neville, Thierry Henry, Giggs, Paul Scholse, na sasa Ole Gunner wamefeli vibaya mnoo kwenye carrier zao za ukocha.

Ila kwa Lampard ni tofauti sana...

Kila la kheri Chelsea
 
Uzuri wa 4 3 3 inatengeneza numerical superiority unapokwenda kushambulia utakuwa na wachezaji 6 au 8 kutegemea na defenders wako wanavyo overlap unapojilinda nako inakupa numerical superiority hiyo hiyo.

4 4 2 ni kama imekosa nguvu na inaifanya timu kuwa vulnerable sana kwa timu zinazocheza 4 3 3 au 3 4 3 au 3 5 2
Fergie mwenyewe kwenye mafanikio na akiwa na Right players tunacheza 4-3-3.

Ile 4-4-2 original imepitwa na wakati sana labda diaomond kidogo inatumika sana.
 
Ofcourse ukiangalia hapo
Kwenye midfielder anahitajika midfielder kucheza flank ya kulia Pogba flank ya kushoto then additional striker mmoja.
4-3-3 inataka midfield za kazi 3 maana zinatanuka, kwa man U ya sasa inahitajika usajilisi chini ya midfield 2 kucheza huu mfumo.
 
68f0b5c1-dd5a-4290-a6e7-f1ab7acfa2c6.jpg
Jesse Lingard amebakisha magoli 655 ili kuivunja record ya Cristiano Ronaldo ya magoli 700 aliyofunga mpaka sasa kwenye soka..Lingard bado kijana kabisa Lolote linawezekana
 
Back
Top Bottom