Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huyu dogo fala sana dakika zote uwanjani anatembea tu kama match official, akiupata mpira akacheza kama ana mimba ya miezi tisa.

Ole nae hata kumtoa hawezi anamwangalia anatembea uwanjani wakati anatakiwa akabe

Mkuu huyu ukimuangalia kwa Jicho la 3 akiwa anatembea uwanjani bila ya Mpira anakuwa hatari zaidi kuliko akiwa na Mpira! Trust me.
 
Sasa Arsenal mnatofauti gani na sisi? Mnachotuzidi ni kwamba nyie wachezaji wenu wamechangamka zaidi!
Wanachangamka ili wapate club za kwenda!
Ulishaona tunauza ovyo ovyo?

Sisi tuna wachezaji ila kocha hatuna ,

Fikiria hatuna kocha lkn tupo nafas ya 3 ,je tungekuwa na kocha?

Utofaut wenu na sisi ,nyie mna average player wengi ,

Rashid ,lingard , Pereira ,Maguire , n.k hawapat namba pale arsenal
 
Garry neville

The Longstaff brothers made me happy yesterday ! We see hundreds of interviews every year where players/managers are concentrated ,focused and on guard. The purity , the joy and the love of football was amazing and it should be shown to every young player . #Dreams
 
Hakuna club ya kueleweka duniani inayoweza Kumtegemea Rashford kama striker namba moja.
 
kama solskjaer ataendelea kuwepo nakuhakikishia atamsajili mmoja kati ya hao ndugu wawili, unadhani kwa sajili za ovyo kama hizo zitatutoa kwenye dimbwi la dhoruba?
never ever​
kuna muingereza mmoja tu ndiye mwenye uwezo wa kuichezea manchester united na si mwengine ni james maddison.
sijamtaja harry kane kwa sababu bei yake ni ghali sana
 
Hio ni lugha ya picha tu mzee usiogope, ila pia kwa sisi die hard fan hii timu inatupa stress sana sanaa na stress zinakuja sio sababu tumefungwa hapana ila kwa sababu future ya timu haieleweki, yani kila kesho afadhali ya jana
Ukipata nafasi ya kucheka au kufurahi leo, basi itumie kisawasawa maana hujui kesho yake kipi kitakukuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…