tammy abraham fundi anapachika goli la 7.
marcus rashford kichwa cha panzi anasubiria penalty muda huu
Na kupaisha free-kicks huko Ole akiendelea kumsifia ujinga.😂😂 Nakumbuka kuna mchango wangu humu nilisema Chelsea watamaliza juu ya MUFC licha ya kuzuiwa kusajili. Hii ni kwasababu wana wachezaji ambao akili zao zote zipo Chelsea. Pale MUFC wachezaji wanaotegemewa akili zao zipo nje kabisa huko,wengine zipo Instagram na kwenye kutupia pamba kali na utozi mwingi. Chelsea hamna matozi mule, unaanza na Kante hata kulog in Instagram hajui kwanini asikichafue?😂😂 |
Hivi lazima amchezeshe Young na Rojo yupo kama anampenda si amchezeshe mbeleDe Gea, Dalot, Tuanzebe, Maguire, Young (C), Fred, McTominay, Andreas, Mata, James, Rashford
Akicheza 3 young anajitahidi kidogo compare na no 2, na Rojo na Lindelof wamecheza dk 90 mechi ya Europa.Hivi lazima amchezeshe Young na Rojo yupo kama anampenda si amchezeshe mbele
Wee sio mume wakoMume wenu kafa na ngoma huko etihad , wake zake huku sijui mnasubir nini hyo saa 18:30
Mbona umeuliza kinyonge sana mkuuWee sio mume wako
Hivi lazima amchezeshe Young na Rojo yupo kama anampenda si amchezeshe mbele
B Kocha nae ni tatizo kubwa,kwanini asijaribu hata kucheza na mabeki watatu? Timu yenyewe hii Newcastle inacheza na mabeki watano nyuma. |
Kwamba mume wao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mume wenu kafa na ngoma huko etihad , wake zake huku sijui mnasubir nini hyo saa 18:30
Ila we kajamaa bhanaNajitoa kwenye hili jukwaa mpka msimu wa 2020/21 ndo nitarudi tena..
Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
Akicheza 3 young anajitahidi kidogo compare na no 2, na Rojo na Lindelof wamecheza dk 90 mechi ya Europa.
Safi sana Adamaaaaaaa Tanzania tuna Odama tutakupa bure.
Hii ndio ligi ya uingereza bwana.
Hii ligi acha tu, huyu Chelsea alipiga ngapi?😂😂 |
Yap yap mkuu manchester is blueKwamba mume wao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Europa mbaya Sana kwenye kuchosha wachezaji, even Rashford hakutakiwa kuanza leo, amecheza mfululizo mechi nyingi, sema ndo hivyo hatuna jinsi.Kwayo jamaa anafanya rotation