Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu unakumbuka uliposema Spurs asipochukua ubingwa msimu huu atakamata nafasi ya 2?

Nilikupinga sana lakini ukasisitiza Kuwa Spurs ndiyo Timu yenye nafasi kubwa ya kubeba ubingwa.

Vipi bado una Imani ya Spurs kubeba ubingwa?
Naona kama kuna tatizo ndani ya timu, pengine wameanza mpango wa kumsusia kochaπŸ˜‚πŸ˜‚

Ila kwa kikosi chao niliamini hivyo,ngoja tuendelee kuona maana ligi bado mbichi mkuu.
 
Zile saba bado zinawachanganya hawa na niliwatabiria ubingwa.

Lloris kavunjika sijui kama watafurukuta tena. Pochettino naona naye sijui amepatwa na nini, Sissoko anacheza kama beki?πŸ˜‚

Niliona lineup nikasema labda kuna Sisoko wawili Poch nae hana mbinu kama Ole wetu ama ?

Au wachezaji wamechoka maana kikosi chake n kifinyu afu kila mwaka wanapambana hao hao ?
 
Kuwatumia Wachezaji walewale kwa Muda mrefu bila ya usajili wa uhakika ndiyo hupeleke mambo kama haya yanayomkuta Spurs

Kingine hivi lile limfumo kalitoa wapi ? Anacheza kama Sosha ila ss mbna yeye watu wa kazi anao karibia kila idara.
 
Mbadala wa kane ni yupi son je
Niliona lineup nikasema labda kuna Sisoko wawili Poch nae hana mbinu kama Ole wetu ama ?

Au wachezaji wamechoka maana kikosi chake n kifinyu afu kila mwaka wanapambana hao hao ?
 
Kuna mgogoro kwenye dressing room
Zile saba bado zinawachanganya hawa na niliwatabiria ubingwa.

Lloris kavunjika sijui kama watafurukuta tena. Pochettino naona naye sijui amepatwa na nini, Sissoko anacheza kama beki?
 
Mpira ni mchezo wa maajabu sana, aliyemfunga City leo amepigwa tano na Aston villa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mpira ni mchezo wa maajabu sana, aliyemfunga City leo amepigwa tano na Aston villa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wenye mikeka wanasonya......... Wengine wameenda kutoa mingine mipyaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…