Me nimeacha kungalia mechi kabsa,hata humu uzini napita kimya kimya bahati nzuri nashukuru nmewezaga kujizui kuwa shabiki andazi wakutambia/kukashifu watu timu yangu ikishinda I gladly receiving the same favour [emoji26]Asante mkuu,hili liteam linaniliza kila siku!!ubaya hata siwezi kuacha kufatilia
Hamna Forward hapo[emoji735] Daniel James
[emoji735] Angel Gomes
[emoji735] Mason Greenwood
[emoji735] Juan Mata
[emoji735] Fred
[emoji735] Marcus Rashford
[emoji735] Jesse Lingard
Man Utd failed to have a single shot on target against AZ [emoji15]
Ee Mungu naomba unisaidie niitoe hii team moyoni kubabake!
Shabiki andaziiiii...... [emoji3]Me nimeacha kungalia mechi kabsa,hata humu uzini napita kimya kimya bahati nzuri nashukuru nmewezaga kujizui kuwa shabiki andazi wakutambia/kukashifu watu timu yangu ikishinda I gladly receiving the same favour [emoji26]
hata Zidane alijifunza kidhungu na sijui waliishia wapi katika madarasa yao.
na ubaya wetu sisi mashabiki mtu akijifunza kingereza tu basi anataka kazi United.
Dk 90 timu inakosa hata Shot on target [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15].
Eeeh! Halafu kocha na macho kama paka aliamini tiba ya United ni kumtoa Lukaku na kuacha hawa vikojozi.
Usenge wa Arsenal na Liverpool ulianza hivi hivi hadi tuje kurudi kwenye nafasi yetu ya zamani itachukua miaka mingi na kwa gharama kubwa.
Ngoja liverpool atutwange goli 6 ivi ndo ataachia
This is OGS!
Solskjaer: βVery happy with the boys, we come away with a good performance. Should have been three points, a nailed on penalty. You cant even discuss it. Good performance against a good opponent on a very bad surface.β
View attachment 1223086
OGS ndiye anayejua ubora wa timu upo wapi, sisi mashabiki tutulie [emoji18] [emoji18] [emoji18]
Mkuu hutaki shidaMe nimeacha kungalia mechi kabsa,hata humu uzini napita kimya kimya bahati nzuri nashukuru nmewezaga kujizui kuwa shabiki andazi wakutambia/kukashifu watu timu yangu ikishinda I gladly receiving the same favour [emoji26]
Tuna hali mbayaHakuna game naisubiria kwa hamu kama iyo
Namkubali sana tena sana huyu kijana,huyu angekuwepo pale gunners hahahaha mambo yangekuwa muruwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaScott is player of the Month for Man U!
View attachment 1222781
Watukana wenzao nakejer zisizo na staha zilivo vuka mipaka na kuwa matusi makubwa[emoji31]Shabiki andaziiiii...... [emoji3]
Hahahhaha kwahiyo mnajiaminisha hivo , siku hizi mnatamba na James tu, nasikia Leo hamjapiga shoot on target hata 1 ni kweli?
Hahaha,naona nimemzungumzia pepe umeumia sana hadi unatapatapa. Kwahiyo kwa kutopiga shoot hata moja timu nzima leo ndo unataka kusema James ni sawa na Pepe tu? Angalia wanasoka wasije kukuchoma moto.ππ |
[emoji735] Daniel James
[emoji735] Angel Gomes
[emoji735] Mason Greenwood
[emoji735] Juan Mata
[emoji735] Fred
[emoji735] Marcus Rashford
[emoji735] Jesse Lingard
Man Utd failed to have a single shot on target against AZ [emoji15]
Sikujua kama nikimtaja kipepe unaumia hivi.ππ Tumetoa pesa ndogo sana kununua mchezaji bora mara 100 kumzidi pepe wenu mliyeuziwa kwa mapesa kibao. Kwani pepe amepiga mashuti mangapi hadi sasa na ana goli ngapi?ππ |
Sikujua kama nikimtaja kipepe unaumia hivi.[emoji23][emoji23]
Tumetoa pesa ndogo sana kununua mchezaji bora mara 100 kumzidi pepe wenu mliyeuziwa kwa mapesa kibao. Kwani pepe amepiga mashuti mangapi hadi sasa na ana goli ngapi?[emoji23][emoji23]
OLEEEE AT THE WHEEL!