Yule Rashford kapata ile Free-kick ya dakika za mwisho sasa alivyopiga unajiuliza huyu dogo kichwani anawadudu Funza yaani kabutua kama uwanja upo miles away na Alipo yeye
Hovyo sana Hii Timu
Ajabu ni kwamba kila inapotekea free-kick yeye hukimbilia kupiga utafikiri yeye ndio fundi sana wa hiyo kazi. |
Ee Mungu naomba unisaidie niitoe hii team moyoni kubabake!
Mie nilijifunza kushabikia baketball kuepuka machungu ya man utd kipindi cha mou,ilinisaidia sana.
Heri kipindi cha Mourinho angalau nilikuwa nampenda kocha
Sasa sa hivi huo Ole simkubali,wachezaji hakuna hata mmoja nayemkubali....sijui hata nabaki kwa ajili gani mammmae zao wale wanaenda uwanjani kukimbizana tu kubabake zao
pole mdauHeri kipindi cha Mourinho angalau nilikuwa nampenda kocha
Sasa sa hivi huo Ole simkubali,wachezaji hakuna hata mmoja nayemkubali....sijui hata nabaki kwa ajili gani mammmae zao wale wanaenda uwanjani kukimbizana tu kubabake zao
Ife tu manninerManchester United is Dead
Manchester United is Dead.
Ni worst moment to be a Manchester United Fans.
Kwishnei
Watu tuko busy na mambo ya maana..Wazee naona hamna hamu na futuhi kabisa..
Dogo Williams naona anaanza
😊😊Kama yapi kijana wa Zouma?Watu tuko busy na mambo ya maana..
Shot On Target 0, No o corners 0, short off target nayo cjui ni 0, halafu tuache kufanya mambo ya maana usiku huu tuangalie hii Man united alaaKama yapi kijana wa Zouma?
Hahahhaha kwahiyo mnajiaminisha hivo , siku hizi mnatamba na James tu, nasikia Leo hamjapiga shoot on target hata 1 ni kweli?
Mambo ya kuzoea ligi ni hadithi tu kama zile za Lingard kuwa bora akiwa hana mpira.
Mbona Daniel James tumenunua na anakiwasha vyema tu.
Aah,nimesahau una maumivu ya kuuziwa mbuzi kwenye gunia ukakuta ni kenge.
Mkombozi wenu James hakuwepo?
Corner 10 kwa moja,kweli hali sio nzuri kabisa.
Wachambuzi kesho watasema timu inajengwa.
Newcastle akiwakazia, next match Liverpool akiwa butua , watakuwa wanachungulia regelation zoneManchester United is Dead tunachokisubiri hivi sasa ni RELEGATED tu.