Wachezaji ukiwa legelege ni wapuuzi sana ujue hata pep ni mkali sana alimkunja aguero mech kama ya tatu hiv msimu huuHahahhaa kwanini Mkuu unataka makocha wakali , mbona kocha kama Eddie howe , ana soka zuri sana
Ole tumpe mkataba wa kudumu mkuu.
Hahaha,tunajenga timu mkuu.Timu inajengwa chini ya kocha asiyeweza hata kumsoma mpinzani na akabadili mchezo.
Tunajengea timu chini ya kocha aliyeuza washambuliaji ili Rashford acheze kwa bila mawazo.
Chelsea wakiangalia mechi zetu na wakikumbuka zile nne wanalia sana, timu haina mbinu hamna ubunifu kabisa,haya kona wakipata zinapigwa hadi nje
Newcastle anatupiga na Liverpool anakuja kumaliza habari,Ole anatolewa kafara.
Kabla ya kuwauza kina Sanchez na Lukaku angeanza na kina Lingard, Rashford.Mkuu
1. Ole amefanya usajili wa wachezaji watatu na wote mpaka Sasa Hivi wamehit, James mwezi wa Pili Sasa mfululizo yupo nominated mchezaji Bora wa mwezi, na mwezi uliopita ameshinda, Huyu Ni replace ya Sanchez aliecheza miezi 18 na kufunga goli 3 tu. AWB na Maguire wote wapo vizuri Sana.
2. Wachezaji walioondoka Nani alikuwa anatusaidia? Lukaku? Sanchez? Smalling? Hebu tuwe realistic jamani, tulikuwa kila siku tunasema wachezaji wanalipwa mishahara mikubwa na hawafanyi lolote uwanjani, timu Sasa Hivi mishahara inabalance ukitoa De Gea wote Ni chini ya 300K na Hilo Ni Jambo zuri, ndio maana japo timu haifanyi vizuri sijawahi kusikia dressing room imegawanyika.
3. Kikosi Ni dhaifu kweli mkuu lakini tuwe wavumilivu maana huu ndio wakati, wakujua magarasa na United quality, trust me Kama Ole ana guts za kuwatoa kina Sanchez Kuna wachezaji wengi tu watakula panga, jamaa Ni mkali na hataki mchezo usione muda wote yupo positive anacheka cheka kwenye interview, mwacheni Ole ajenge timu, tukishakuwa na wachezaji angalau 11 kila position Kuna mtu then tunaweza Leta kocha wa kubeba makombe.
Timu yetu Kuna position kibao hakuna watu miaka nenda Rudi, hatuna winga wa kulia, hatuna creative midfield tofauti na Pogba, namba 10 Tia maji Tia maji, beki wa kushoto Ni luke Shaw anaspend muda mwingi Majeruhi. Tunahitaji mtu ajenge timu zaidi, tusijifananishe kabisa na hao kina Man city na Liverpool.
Dirisha lilikuwa wazi. Hizo nafasi zilikuwa ni za kuziba.Mkuu

Ndio maana nakwambia Ole asiondoke mpaka 2021.Kwa man U ya Sasa hata aje Nani Ni majanga tu, kitu kitakachotuokoa sisi Ni man U ipate hasara miaka Kama 2 hivi, kina glazzer wakiona hakuna Faida watauza tu,
Tajiri mkuu wa Uingereza anaitaka Man U bila kusahau prince wa Saudia.
Ila tukimpata van De sir, Ten Hag anakuja bila wasi wasi.
Pochetino kama Ole tu.Allegri atawavusha kweli? Mchukueni pochetino
Hapo kwa Lingard usiondoke kwanza.Ndio nimesema na sio Mimi tu Kuanzia Fergie, Moyes, lvg, Mou na Mpaka Ole wote wanamrate vizuri tu. Na pia nikasema uchezaji wake unafanana na ji sung park, ana mechi zake na ana umuhimu wake, Ni strategic player, angekuja Dybala Wala usingemuona akianza Kama 10.
How do we impeach Ed Woodward?Mkuu Lukaku ameuzwa tarehe 8 mwezi wa 8 na dirisha linafungwa tarehe 9, na kwenye mahitaji ya Ole striker Alikuwepo, Tofauti ya Ole na Mou au LVG Ni kwamba OLE Hana tabia ya kuongea Negative kwenye vyombo vya habari wakati Mou yeye hakopeshi anakuchana hata Kama Ni bosi wake.
Tulikuwa linked na Mandzukic + Dybala wote Hawa walikuwa wanakuja pamoja na Wana magoli Yao, tunajua ilikwamishwa na imaging Rights za Dybala, Ila Tetesi zinaendelea January mandzukic anakuja Man UTD.
Bila kusahau majina mengine Kama Ben yedder na Dembele ambao walikuwa linked na Man UTD.
Hata ole mwenyewe badala ya Dirisha kufungwa ameshakiri Mara 2 kwamba anahitaji striker.
30/8 hata kabla timu haijaanza kufanya vibaya alisema Man UTD Ina short ya striker mmoja na juzi siku 2 zilizopita amesema January akipatikana striker ambae anaendana na uchezaji wake atasajiliwa. Anafahamu yeye kwamba timu inahitaji striker.
Kuhusu kutumia Hela nyingi mkuu Ni kweli tumetumia lakini Nani anaezitumia? Ni Woodward mwenyewe mtu mwenye zero Football knowledge. LVG anamtaka Robben na Muller analetewa Falcao na Di Maria, Mou anataka perisic yeye anaona sio Hana market anamleta Sanchez, kocha anasema anamtaka Maguire Woodward anakataa anasema una beki wa kutosha, then baada ya mwaka mchezaji huyo huyo unamnunua ghali zaidi. Hela zetu zinasajili Woodward anavyotaka na kuhakikisha wachezaji wanaingizia timu Hela na sio kuziba mapengo ya Timu, mwaka wa 7 huu bila winga wa kulia timu iliokuwa Tajiri duniani, LVG, Mou na hata ole kila mmoja ametaka winga wa kulia hajakuja hata mmoja.
Na ukiachana na Kocha na wachezaji timu yetu pia Ni ya kizamani sana, angalia tunavyoandamwa na Majeruhi, angalia mascout wetu, angalia wataalamu mbalimbali structure ya Timu ipo hivyo, uwanja, academies na infrastructure mbalimbali za mazoezi hata haziwi improved, glazer hajatoa hata shilingi 10 yake mfukoni ku invest man UTD anachojua yeye Ni kuchomoa Hela tu, kila miaka inavyokwenda tunazidi kuwa outdated. AWB kacheza msimu mzima Crystal palace mwaka Jana Ila toka kaja man U kashakuwa Majeruhi mara 2, Huyo Luke Shaw alikuwa anamaliza msimu Soton Ila toka aje man UTd tunajua wenyewe, angalia Jones, martial, Sanchez, Baily, na wengineo Ni coincidence? Wakija tu man U Ni Majeruhi?.
Mkuu Rashford ana miaka 21 Sasa bado Ni mtoto Sana then Unataka auzwe Rashford abaki Sanchez?Kabla ya kuwauza kina Sanchez na Lukaku angeanza na kina Lingard, Rashford.
James ni mahututi kati ya marehemu. Kuchukua mchezaji bora ni kwamba hakuna kitu tena kwenye hiyo timu.
Ole sio mkali kama unavyosema manake kuna mediocre players anazidi kuwapa nafasi na bado hawana wanafanya uwanjani. Makocha wakali ni kina Pep, ukifanya makosa unakaa benchi mechi inayofuata. Huo ukali wa Ole ni upi kama unauza Lukaku unaacha Rashford anayekupa goli 5 msimu mzima? Unaona anachofanya Pogba? Uchafu wa Lingard unauona? Uozo wa Pereira hauonekani? Nioneshe ukali wa Ole.
Unaanza msimu na wachezaji kama Chong, Greenwood, kweli? Na upo comfortable kabisa?
Ole anatumia formation mbovu, haimpi matokeo na bado anaendelea kuitumia kila siku. Huyo ni kocha kweli?
Misimu minne kama sio mitano kwa Rashford pale United. Uwezo wake ndio umefika mwisho, hana la ziada anaweza kukupa kamwe. Kama kina Tom Cleverley. Miaka 21 sio mtoto tena kwenye mpira wa miguu. Mchezaji anayepata chance kila mechi na bado anavurunda ni tatizo pia. Rashford sio standard ya United tena, hana quality tena. Angeuzwa wakati Barca wanamtaka.Mkuu Rashford ana miaka 21 Sasa bado Ni mtoto Sana then Unataka auzwe Rashford abaki Sanchez?
Rashford kafunga magoli 10 msimu uliopita na Sanchez kafunga 3 msimu mmoja na nusu Ila auzwe Rashford abaki Sanchez?
Hebu mkuu niambie Sanchez amefanya Nini man U kinachofanya kuondoka kwake kuwe Ni pigo kwetu? Maana nashangaa Sana Mashabiki wanaomponda Ole kwa kuondoka Sanchez. Mara Mia ya Lukaku angalau ana Good moments zake Ila sio Sanchez.
Na kusema James Ni mahututi mkuu kwa kutumia vigezo vipi?
Huyo pep anakuja Msimu wa kwanza alikuwa na magarasa yake vile vile kina Otamendi, bravo etc na alikuwa akiwapanga hivyo hivyo mpaka aliponunua wachezaji wake, unachofanya wewe Ni kumcompare kocha mwenye wachezaji zaidi ya 20 kikosi wenye sifa ya kucheza first 11 na Kocha ambae hata Hana wachezaji 11 wenye sifa ya first eleven.
Na ole anatengeneza mfumo wake sababu hakuna result mechi mbili tatu haimaanishi kwamba eti ni mfumo mbovu auache.
Bruno Fernandez sio no 10 Ila Dybala ndio no 10, Bruno Ni kiungo wa kati Kama vile Mc tominay, Fred ama pogba. Hata angekuja Man U asingechukua no ya Lingard.Hapo kwa Lingard usiondoke kwanza.
Nioneshe umuhimu wa Lingard kiufundi.
Kumbuka ni no. 10 ambaye hana assist wala goli msimu huu.
Mlinganishe na Bruno mwenye goli 9 na assists 5. Ambaye Ole amemkataa akasema anapoteza mipira hovyo mara kwao kuna Obesity.
Kiongoz ,nadhan kama sijakosea umemfahamu Wenger miaka 3-4 ya mwisho pale Arsenal
Mkuu hamna makocha hapo wote takataka
Hii timu inahitaj kocha jeuri kama conte na mourinho sio hao wapole wakubembembeleza wachezaji
Mapenzi tuHahahaaaaaa KAMA UNAJUA ,UNAJUA TU,
hata kama huna mpira unakuwa hatari thana....
Mwenyewe binafsi huwa sielewi kwanini utd tunashindwa kutafuta no 10 wa uhakika.Bruno Fernandez sio no 10 Ila Dybala ndio no 10, Bruno Ni kiungo wa kati Kama vile Mc tominay, Fred ama pogba. Hata angekuja Man U asingechukua no ya Lingard.
Kuhusu lingard mkuu tumeshaongea Sana comments zilizopita huko nitajaribu tu kupoint kiufupi kwa heshima yako.
-Lingard ndio top scorer wetu Wembley na makombe mawili ya Fa na Efl chini ya LVG na Mou yote tumeyapata kwa goli la ushindi la Huyu jamaa, sio hivyo tu hata nusu zake za Wembley kafunga.
-kama sijakosea Ni 2Nd top scorer wetu kwenye big matches against top 6 wenzetu.
Kwa hizo point mbili Hapo juu jamaa anahandle pressure vizuri kuliko wachezaji wetu wengi masuper star wanaopotea mechi kubwa.
Nilimfananisha Lingard na ji sung park, role yake kubwa Ni kutia pressure na kukaba juu kabla timu pinzani hawajafikia midfield yetu, park hakuwa akijulikana kwa assist Wala magoli, msimu mzima anaweza funga goli 4 tu. Tofauti ya kipindi kile Ni kwamba tuna Nani, park, Giggs etc wote wanaweza cheza eneo moja na wanapokezana kutokana na mechi inavyohitaji Ila Sasa tuna Lingard na Mata tu pamoja na Gomez ambaye bado haja blend 1st team.
Hivyo unapoangalia uchezaji wa lingard uziangalie tu magoli na assist angalia vitu Kama Hivi toka adebut man UTD
View attachment 1222266
Kwa kazi anayopewa anaifanya vizuri ndio maana wote kina Mou, lvg, Moyes, Fergie, ole wanamkubali. Na sio kosa la lingard kutokuwa na mbadala wake, timu itafute no 10 mzuri acheze, yeye atatumika pale anapohitajika.
Mourinho hakushindwa kinachomtokea sosha ndicho kilichowatokea moyes na van gaal dirisha la usajili lilikuwa waz miez mitatu unashindwa hata kufanya mbadala wa herrera maana yake timu inatafuta dili za kibiashara na mikataba minono uwanjani hawajali kama mkurugenz wa hii timu angekuwa makini basi leo timu ingekuwa mbaliMourinho alishindwa akatimuliwa huyo Conte mwenyewe attitude yake inaweza kuleta shida tu kwenye team.
Nakuelewa sana mkuuMkuu Lukaku ameuzwa tarehe 8 mwezi wa 8 na dirisha linafungwa tarehe 9, na kwenye mahitaji ya Ole striker Alikuwepo, Tofauti ya Ole na Mou au LVG Ni kwamba OLE Hana tabia ya kuongea Negative kwenye vyombo vya habari wakati Mou yeye hakopeshi anakuchana hata Kama Ni bosi wake.
Tulikuwa linked na Mandzukic + Dybala wote Hawa walikuwa wanakuja pamoja na Wana magoli Yao, tunajua ilikwamishwa na imaging Rights za Dybala, Ila Tetesi zinaendelea January mandzukic anakuja Man UTD.
Bila kusahau majina mengine Kama Ben yedder na Dembele ambao walikuwa linked na Man UTD.
Hata ole mwenyewe badala ya Dirisha kufungwa ameshakiri Mara 2 kwamba anahitaji striker.
30/8 hata kabla timu haijaanza kufanya vibaya alisema Man UTD Ina short ya striker mmoja na juzi siku 2 zilizopita amesema January akipatikana striker ambae anaendana na uchezaji wake atasajiliwa. Anafahamu yeye kwamba timu inahitaji striker.
Kuhusu kutumia Hela nyingi mkuu Ni kweli tumetumia lakini Nani anaezitumia? Ni Woodward mwenyewe mtu mwenye zero Football knowledge. LVG anamtaka Robben na Muller analetewa Falcao na Di Maria, Mou anataka perisic yeye anaona sio Hana market anamleta Sanchez, kocha anasema anamtaka Maguire Woodward anakataa anasema una beki wa kutosha, then baada ya mwaka mchezaji huyo huyo unamnunua ghali zaidi. Hela zetu zinasajili Woodward anavyotaka na kuhakikisha wachezaji wanaingizia timu Hela na sio kuziba mapengo ya Timu, mwaka wa 7 huu bila winga wa kulia timu iliokuwa Tajiri duniani, LVG, Mou na hata ole kila mmoja ametaka winga wa kulia hajakuja hata mmoja.
Na ukiachana na Kocha na wachezaji timu yetu pia Ni ya kizamani sana, angalia tunavyoandamwa na Majeruhi, angalia mascout wetu, angalia wataalamu mbalimbali structure ya Timu ipo hivyo, uwanja, academies na infrastructure mbalimbali za mazoezi hata haziwi improved, glazer hajatoa hata shilingi 10 yake mfukoni ku invest man UTD anachojua yeye Ni kuchomoa Hela tu, kila miaka inavyokwenda tunazidi kuwa outdated. AWB kacheza msimu mzima Crystal palace mwaka Jana Ila toka kaja man U kashakuwa Majeruhi mara 2, Huyo Luke Shaw alikuwa anamaliza msimu Soton Ila toka aje man UTd tunajua wenyewe, angalia Jones, martial, Sanchez, Baily, na wengineo Ni coincidence? Wakija tu man U Ni Majeruhi?.
Mkuu mbona mbishi sana ,mtu ambaye hana mpira anaassist vipi?ushaambiwa ni "HATARI AKIWA HANA MPIRA" labda hiyo sentensi hapo ulikuwa hujaielewa vema..Hapo kwa Lingard usiondoke kwanza.