Hii pumba hamna mech marefa wasiofanya makosa mech alizochomoka spurs mbele ya city bila huo mtambo angekuwa wapi?Man U mlizoea kubebwa na aina ya linesman wa jana, that fella is a fool and stupid
Jamaa nimemshangaa sana alivyoongea kishabiki, ishu ya kocha Arsenal imeanza had kwa wachezaji, NDIO maana waliomtamkia hadharan kina Ozil, LT11 wanafanyiwa roho mbaya,Acha mahaba ww, na ungeshinda ungeongea sana shabiki wa MUN bhana! Arsenal ishu ya kocha haijaanza kuongelewa mechi ya MUN tu, toka muda sana hilo linajulikana.
Man U mlizoea kubebwa na aina ya linesman wa jana, that fella is a fool and stupid
Bado nashangaa ni kwanini watu mnashindwa kukubali kwamba MUFC ilikuwa bora kipindi cha Sir. Alex na mnajificha kwenye tawi la 'mlizoea kubebwa'😂😂 Yani uchukue mataji 20 na UCL kwa kubebwa tu? Mbona hukubebwa wewe? Au na zile goli nane tulizompiga Arsenal ni matokea ya kubebwa? Binafsi nimekuwa nikiwachukulia wote wanaosema MUFC ilikuwa ikibebwa kama watoto wadogo wanaozungumzia mpira wakicheza kibaba-baba. Waamuzi hukosea na ni jambo la kawaida sana, kwamfano jana, D.James aliugonga mpira ukatoka nje refa akatoa kona wakati haikuwa kona. Rashford alipiga mpira ukamgonga beki ukatoka nje tukanyimwa kona,hapo utasema Arsenal inabebwa? Mkubali tu MUFC ilikuwa bora na sasa imekuwa dhaifu. |
Mech 7 tayari ushamuona wa kawaida ,je Fred wa 52 magwaya wa 80Pepe nimemuona wakati akicheza France na pia kuja kumuona na Ivory coast, ukweli nilikuwa nashangaa na madalali walivyomkuza ikawa najiuliza kitu gani wameona mimi sioni. Hakuna kitu kikubwa alichokuwa anafanya ni mchezaji wa kawaida sana thamani yake labda Million 10 hivi na labda kucheza kama team za West Ham na Leicester lakini sio team kubwa. Arsenal wajinga sana pesa hiyo wangemchukuwa Zaha angewasaidia sana kule mbele.
Anataka kutuambia timu zao zilikuwa zinachukiwa kwa nini hazikushushwa daraja sasa?
Bado nashangaa ni kwanini watu mnashindwa kukubali kwamba MUFC ilikuwa bora kipindi cha Sir. Alex na mnajificha kwenye tawi la 'mlizoea kubebwa'[emoji23][emoji23]
Yani uchukue mataji 20 na UCL kwa kubebwa tu? Mbona hukubebwa wewe? Au na zile goli nane tulizompiga Arsenal ni matokea ya kubebwa?
Binafsi nimekuwa nikiwachukulia wote wanaosema MUFC ilikuwa ikibebwa kama watoto wadogo wanaozungumzia mpira wakicheza kibaba-baba.
Waamuzi hukosea na ni jambo la kawaida sana, kwamfano jana, D.James aliugonga mpira ukatoka nje refa akatoa kona wakati haikuwa kona. Rashford alipiga mpira ukamgonga beki ukatoka nje tukanyimwa kona,hapo utasema Arsenal inabebwa?
Mkubali tu MUFC ilikuwa bora na sasa imekuwa dhaifu.
Hii pumba hamna mech marefa wasiofanya makosa mech alizochomoka spurs mbele ya city bila huo mtambo angekuwa wapi?
Kuna kipindi barcelona iliitwa uefalona maana kila aliecheza nae kichapo kilimhusu visingizio vikaanza marefa wanapangwa na uefa kuibeba barcelona mwisho wa siku watu wakaanza bila xav mess na iniesta hamna timu mwanadamu huwa anatafuta jambo la kujifariji kama wewe hapo
Unataka kusema manchester united makombe yote zaidi ya 60 tulikuwa tunapewa hatukuwahi kuwa na timu bora? Tumetoaje wachezaj bora wa duniani kama marefa wanasaidia? Kuwa mtu wa soka
Kwa sasa hii timu ni mbovu ila sio kwa hiyo point yako dhaifu na kichaka cha kujifariji
Mimi nakumbuka tukio la Van Persie kupigwa Red card mechi ya Barcelona na Arsenal, muda huo Arsenal anamkimbiza Barcelona nyumbani kwao na Emirates alikuwa amempiga 2-1. Ile Card ilikuwa ya uonevu kabisa. Hapo napo tuseme Barcelona alikuwa anabebwa au ni ujinga wa refa tu? |
Anataka kutuambia timu zao zilikuwa zinachukiwa kwa nini hazikushushwa daraja sasa?
Watu wanaweka mbele unazi wanasahau kuzungumzia mpira halisi. Mtu anakwatuliwa ndani ya box refa akitoa tuta shabiki pinzani analalamika timu inabebwa,ulitaka refa asitoe?😂 Au wanamaanisha akina Rooney na RRonaldo walikuwa wanacheza na visu ili wasikabwe na refa anawàacha tu?😂 |
Hivi Ole kwanini hakumchezesha Rojo huo upande wa kushoto ?
Hii pumba hamna mech marefa wasiofanya makosa mech alizochomoka spurs mbele ya city bila huo mtambo angekuwa wapi?
Kuna kipindi barcelona iliitwa uefalona maana kila aliecheza nae kichapo kilimhusu visingizio vikaanza marefa wanapangwa na uefa kuibeba barcelona mwisho wa siku watu wakaanza bila xav mess na iniesta hamna timu mwanadamu huwa anatafuta jambo la kujifariji kama wewe hapo
Unataka kusema manchester united makombe yote zaidi ya 60 tulikuwa tunapewa hatukuwahi kuwa na timu bora? Tumetoaje wachezaj bora wa duniani kama marefa wanasaidia? Kuwa mtu wa soka
Kwa sasa hii timu ni mbovu ila sio kwa hiyo point yako dhaifu na kichaka cha kujifariji
Hapana hajawahiYule gnabry wa bayern ndio yule aliwahi cheza aseno ama????
Jamaa anakiwasha balaa kule
Mkuu hata mimi nimejipiga ban kuangalia game zetu ila nasapoti mpango wa ujengaji timu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna Manchester United Fans ambao wao hawaangaliagi mechi kabisa lakini utasikia kocha ana jenga timu itakuwa bora miaka ijayo
Wakati tunaocheki game za Man United tunaona timu ambayo inaweza shika nafasi ya 11-20 mpira ni wa hovyo sana na kila siku bora Jana
Hapa anaongelewa Pepe sio Fred. nimeongelea Pepe na sio mechi saba ni zaidi toka yuko Lille na kiwango chake cha kawaida na hamfikii Zaha kwa mbali, maoni yanguMech 7 tayari ushamuona wa kawaida ,je Fred wa 52 magwaya wa 80
Kama.ni maoni yako sawaHapa anaongelewa Pepe sio Fred. nimeongelea Pepe na sio mechi saba ni zaidi toka yuko Lille na kiwango chake cha kawaida na hamfikii Zaha kwa mbali, maoni yangu