Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mechi ilikuwa imechangamka sana kuwatoa Oscar,Mata,Rooney mpira umepooza
 
Leo mkifungwa msirudi Manchester maana nasikia Judas ie. jeshi la kukodiwa anawatoa sana mwaka huu ... ... khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Reactions: BAK
Chelsea wanamtoa Hazard, anaingia Sturridge
 
Valencia anakosa goli muhìmu sana
 
Huyu refa anastahili kufungiwa kabisa kuchezesha mechi yoyote ile EPL, kama sikosei ndiye huyu huyu aliyeibeba MANU dhidi ya Liverpool...ameharibu kabisa mchezo ambao ulikuwa mzuri sana kabla ya kuanza upendeleo wake wa dhahiri....ni vigumu mno kushina ukiwa na wachezaji 9 kiwanjani dhidi ya timu yenye wachezaji 12

Leo mkifungwa msirudi Manchester maana nasikia Judas ie. jeshi la kukodiwa anawatoa sana mwaka huu ... ... khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
sio huyu....huyu refa alichezesha game tulilofungwa na man city goli 6 old trafford.. na evans alipewa kadi nyekundu...
 
another 3 points in the bag

BRING ON ARSENAL.....we want to top the league by saturday afternoon next weekend
 
New recruit arrived to replace the other one for Manyu ... ..
Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

NB. Hongereni kwa kuwangua mafioso wenzenu .. ...bahasha yenu ilikuwa nene zaidi khe khe khe
 
Shukrani..lakini baadhi ya marefa kwa kweli wanatia shaka kubwa katika maamuzi yao ambayo pia yanaharibu kabisa mtiririko wa mchezo.

sio huyu....huyu refa alichezesha game tulilofungwa na man city goli 6 old trafford.. na evans alipewa kadi nyekundu...
 
Chicharito ana bahati sana ya kumtungua golikipa wa chelsea.
 
another 3 points in the bag

BRING ON ARSENAL.....we want to top the league by saturday afternoon next weekend

Mnaweza kushinda kwa kumtumia yule Young diver nasikia alikuwepo leo khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Shukrani..lakini baadhi ya marefa kwa kweli wanatia shaka kubwa katika maamuzi yao ambayo pia yanaharibu kabisa mtiririko wa mchezo.

nakubaliana na wewe...kama leo game la everton vs liverpool goli la suarez lilikua ni legitimate goal dakika ya mwisho lakini linesman akatoa offside wakati hakua offside suarez so liverpool wamenyimwa 3points leo....
 
Point 3 ndio kitu cha muhimu sana kwetu.
Malalamiko ya noisy neighbours tushayazoea.

Viva Man U the Lads!
 
Ni kweli maamuzi haya ya ajabu ajabu yanaudhi sana. Kuna kila sababu yakuwepo na sheria kali dhidi ya waamuzi wanaopindisha matokeo ya mchezo hii inaweza kusaidia kwa kiwango kikubwa kuhakikisha waamuzi wanafanya maamuzi ambayo hayana upendeleo wowote.

nakubaliana na wewe...kama leo game la everton vs liverpool goli la suarez lilikua ni legitimate goal dakika ya mwisho lakini linesman akatoa offside wakati hakua offside suarez so liverpool wamenyimwa 3points leo....
 
Unakwenda Darajani unauliza wenyeji muhari gani? Lazima ujibiwe hovyohovyo.
 
mmmhhh kweli fergie ananunua marefa malinesmen na fa wakati sisi wengine tunang'ang'ana na wachezaji hilo proved leo duu kama ndio hivi sijui siku na city red zitakuwa ngapi maana ni noma..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…