Acha mahaba ww, na ungeshinda ungeongea sana shabiki wa MUN bhana! Arsenal ishu ya kocha haijaanza kuongelewa mechi ya MUN tu, toka muda sana hilo linajulikana.Mashabiki wa Arsenal wanavyomsingizia kocha utafikiri kocha aliyepita alikuwa anashinda dhidi ya Man. Kocha aliyepita si ndio alipigwa 8?
Niliwambia kwamba, Arsenal ni kibonde wa United miaka nenda, rudi. Niliwambia kwamba timu inayofunguka inafungika kirahisi (au nafasi zinatengenezeka kirahisi) kuliko timu inayopaki
Bila kuzawadiwa assist na Tuanzebe, wasingepata hako kagoli
VAR imeona goli lao, imeshindwa kuona penati yetu.
Kiujumla Refa alijitahlhidi kuwa upande wao
Kama January tukisajili striker, tunaenda kushughulikia huyu Arsenal pale pale Emarates
Scot my man of the match na kwa Kipepe tumepigwa [emoji23][emoji23]
Lingard walikuwa wanampa sana mipira na ndio maana hakuwa hatari Leo,ila alivyotolewa so muliona hatari yake nenda katika player rating jamaa ana 9/10
Hahahahahahahahahah
Cc. King Ngwaba
Shida Tom akifunga goli, huwa ama tudroo au tupigwe. Labda hiyo hali ikome Leo.
Hatari fayaHuu ni uchawi wa waziwazi
Lingard anakuwa hatari zaidi anapokuwa hana mpira,,hizo maksi amezipata kwasababu ya kwenda benchi
Pepe nimemuona wakati akicheza France na pia kuja kumuona na Ivory coast, ukweli nilikuwa nashangaa na madalali walivyomkuza ikawa najiuliza kitu gani wameona mimi sioni. Hakuna kitu kikubwa alichokuwa anafanya ni mchezaji wa kawaida sana thamani yake labda Million 10 hivi na labda kucheza kama team za West Ham na Leicester lakini sio team kubwa. Arsenal wajinga sana pesa hiyo wangemchukuwa Zaha angewasaidia sana kule mbele.Pépé is with the team for only like a month. No preseason and it’s huge difference between French league and Premier League. Give him a break and judge him after whole season, not 3 games against top 6 clubs and two cames from the bench
If social media was around when Henry And Bergkamp first joined you’d think they were absolute wank. Give him some time
Acha mahaba ww, na ungeshinda ungeongea sana shabiki wa MUN bhana! Arsenal ishu ya kocha haijaanza kuongelewa mechi ya MUN tu, toka muda sana hilo linajulikana.
Sir Alex Furguson, Abdalah kibaden.Mi nataka kujua tu ni fowadi gani duniani aliekuja kuwa kocha akapata mafanikio
Wenzio timu mbovu tunazijua huwa tunakuwa kimya bado nashangaa kipi mashabik wa arsenal mnaamini timu yenu inaweza kishinda ina maana bila computer kuwapa goli mlishakufaWewe subiri kichapo,hayo mengine utayaona uwanjani
Mi nataka kujua tu ni fowadi gani duniani aliekuja kuwa kocha akapata mafanikio
Huko juu kuna mshabiki wa arsenal nilimuuliza jana jioni kipi kinachomuaminisha wanashinda kashindwa kutoa majibu labda alivyosikua injury na sosha anavyopondwa wao wanajua yanahamia na uwanjani binafsi nilijua kabisa hii ngoma ni sare kwa sababu ya ubutu wa washambuliaji wa timu zote tuIshu ya kocha ilianza kuingelewa tangu lini? Tulipowagonga 8?
Wewe ndio acha porojo, nyie si ndio kabla ya mechi mlituaminisha hii mechi lazima mshinde? Wanaoongea nani kati ya sisi na nyie, WTF.... Yaani kwenye Uzi wetu tusiongee, muongee nyie tu kwenye Uzi wetu
Ooh, kocha... Kocha, naona hicho ndio kimekuwa kichaka chenu cha kujifichia siku hizi, as if kabla ya Unai mlikuwa mnafanya vizuri [emoji1][emoji1]
Conte hakuwa fowardAntonio Conte
Kipepe hamna kitu, mchezaji ghali wa muda wote Arsenal, ametulizwa na academy graduate Axel ambaye amecheza namba ambayo hajawahi kucheza
Hivi Ole kwanini hakumchezesha Rojo huo upande wa kushoto ?
Hapo ndani ya timu kuna uzawa mwingi. Nakumbuka kulikuwa na uvumi wa wachezaji wasio wazawa kulalamika,nahisi inaweza kuwa ndio sababu hata ya Herrera kuondoka. |
Haya ni madhara ya kumng'ang'ania mchezaji ambae anataka kuondoka dirisha lilikuwa waz pogba alisema anataka kuondoka tena napema sana ambapo hii timu ingekimbilia ureno kumchukua yule jamaa wa sporting cp na kumuacha pogba hata wangewakopesha madrid maana walikuwa na mzuka sana sasa anacheza hana morali hapendi anaheshimu mkataba tu ila hana mapenz na timu sosha karudia kosa la mourinhoGuendouzi > Pogba. On tonight’s showing anyway