Striker na creative midfield, nilikwambia mkuu Hivi Ni viporo vya dirisha liliopita Woodward alizingua.
Mkuu huwa ole siku zote yupo Positive kwenye press conference zake hawezi kusema tofauti na hivyo,Mkuu kusema Ed alizingua si sawa, maana hata juzi OGS amesema walikuwepo ma striker lakini hakukuwa na right ones. Sasa hapo maana yake hela ipo ila shida na benchi la ufundi kutoa go ahead ya usajili. Pia OGS amewahi kusema hela ilikuwepo summer ila wachezaji waliokuwa sokoni hawakuwa sahihi.
Ed ana mapungufu yake kwenye mambo mengi, mfano kutotaka tu kuleta DoF lakini kwenye kuruhusu Rom kuondoka na kutoleta mbadala huo msalaba ni kwa OGS
Kinachonistua mimi ni kwamba, je January tutapata striker "sahihi" au creative midfielder "sahihi"? Maana kama summer ya miezi 3 tulioshindwa kupata wachezaji wanaofit profile ya United/OGS je mwezi 1 wa January itawezekana?
Je next summer tutapata wachezaji sahihi? Wachezaji sahihi ni akina nani? Longstaff? Declan Rice?
Hii timu yetu ikipata wachezaji hata wanne tu kwenye maeneo muhimu nadhani tutaimarika sana..
De Gea
Bissaka Tuanzebe Maguire Shaw
Fred Ndidi FabianRuiz
XXX XXX James
Hizo nafasi mbili za straika na winger wa kulia napo tukipata watu sahihi tutatisha sana..Kirusi Pogba nampiga bei mapema namvuta Fabian Ruiz wa Napoli na mtu mzima Ndidi wa Leicester
Uwezo wa kocha tukiwa tumeukeep constant..
Mashabiki wengi wa mpira hata huko ulaya sio watu wa kushabikia ushoga, hata Kama mtu yupo anaficha hawezi sema.Iv ni kweli kuwa manchester kuna mchezaji ni shoga
Man u kesho mtatusamehe tunazihitaji point 3
Pepe Auba wataniwakilisha
Greenwood simuelewi nimeona video za utata.Iv ni kweli kuwa manchester kuna mchezaji ni shoga
Ebu zitume hapaGreenwood simuelewi nimeona video za utata.
doooh ndamchukia mileleGreenwood simuelewi nimeona video za utata.
doooh ndamchukia milele
Kwani Lacca anawekwa benchi au haitwi kabisa na badala yake anaitwa OG?Lini Benzema kawekwa benchi na Giroud tuache masikhara kwenye issue serious, Futa Benzema mengine upo sahihi
Wenyewe wanaita DOUBLE CHANCEHahahhaha upo kote kote ,kule jukwaan kwetu unatuombea Mabaya, huku unatuombea mema..
Kwa maana yako ili uwe mzuri uitwe NT?Mchezaji hayupo hata National team
Hatari my foot
Maisha bila unafiki hayaendiHahahhaha upo kote kote ,kule jukwaan kwetu unatuombea Mabaya, huku unatuombea mema..
Maisha bila unafiki hayaendi