Kwani nyinyi hamkupigwa 3 haha usitugeuzie habari hapa
Uyo lacca ata Geroud anamweka benchi timu ya taifa ..amna kitu minguvu tu..Rashid akitulia vizuri kuna goli mbili clear kabisa ..ukichek bek ni luiz, papaston cjui..
Kila la kheri man united
Aise Tammy ni Rashid watatu mkuu ..
Naomba kesho mfumuliwe za kutosha ili mpate akili..
Kila la kheri Man United
Kocha wenu huyo.View attachment 1219197
Ile mechi naikumbukaUmerejea mechi ipi
Maana mwaka juzi alipigwa kwa counter pale Etihad
Goli la mwisho la counter nyinyi kumfunga Man City alilifunga Rashford na hiyo game Rashford anafunga hilo goli mlifungwa hiyo game 2-1Umerejea mechi ipi
Maana mwaka juzi alipigwa kwa counter pale Etihad
Acha kumfananisha Wenger na vitu vya kijingaOle ni mwanafunzi wa Ferguson mwenye ubongo wa Wenger.
Wewe ndio unageuza Habari, hoja ni huyo Magazeti kuwepo, na nimekupa mfano kwamba aliwahi kuwepo na mkapigwa
Lini Benzema kawekwa benchi na Giroud tuache masikhara kwenye issue serious, Futa Benzema mengine upo sahihiHata benzema pia anawekwa bench na giroud ingawa kule madrid anaanza na giroud pale madrid hata kikosi cha pili hana nafasi, Icardi anakaa benchi kwa Higuain na pia nyinyi mumemchukua Pulisic aliyekuwa anasugua kwa Sancho na mnasema ni mkali hahahahaso mm siwezi shangaa ukisema hayo
Hahahhaha upo kote kote ,kule jukwaan kwetu unatuombea Mabaya, huku unatuombea mema..COME ON ARSENAL. Leo naombeni mpige za kutosha hawa kunguru.
Striker na creative midfield, nilikwambia mkuu Hivi Ni viporo vya dirisha liliopita Woodward alizingua.Ole akiri kipaumbele cha United kwa sasa ni kusajili striker
Habari mbaya kwa Rashy, may be na Tony
Kocha wenu huyo.View attachment 1219197
Acha kuchekesha watu mchezaji gani ambaye hajawahi kupoteza mechi duniani,huyo pele tu na amepoteza game nyingi tu akiwa uwanjani......ila kwa sasa Lacca ni hatari kwako ....