Mkuu Mc cane ushindi wenu kesho unategemea sana upumbavu wa emery maana tayari beki zetu zimerudi
Na kama kiungo akipanga vzr sioni mkitoboa ila kama atakuja na approach ile ile kama ya Liverpool basi mtatupiga kirahisi maana mpaka sasa emery hajui kuzicheza mechi kubwa
Hivi hapa atajifanya ana mipango buku kesho anakuja na utumbo ,ila akipanga kiungo vzr ceballos Gunduz lt11 , Mechi itakuwa ngumu sana kwenu.
By the way, man u siwabezi kama wengi wanavyoichukulia ,
Mechi ni 50/50
Mkuu midfield ya Arsenal sio kama unavyoichukulia , ni emery ndio analalamikiwa worldwide kuipanga ovyo,Kuna wakati mashabiki tunawalaumu makocha (kwa haki) na kuna wakati kuna jambo wao wanalijua sisi hatulijui, kwa hiyo kumlaumu Unai kwa upangaji wa kikosi na kunasibisha matokeo mnayopata si sahihi. Mfano nani angekuelewa miezi 2 iliyopita ungeitaja hiyo midfield unayotaka (uwepo wa Guendouzi)
Kwenye hii game naona mashabiki wa Arsenal wanajiamini sana kiukweli kuliko uhalisia. Hivi ukiacha mbele pale, kuna sehemu Gunners mna uwezo kutuzidi? May be kutokuwepo kwa Pogba kidogo kunawapa kutuzidi lakini OGS akimuamini Fred, halafu Mc Terminator acheze kama kawaida akae na Matic (ndio aliyepo) sidhani kama mid ya Xhaka (captain lazima acheze), Guendouzi na whoever be it Ceballaous/Torreira wataizidi mid ya United
Sehemu pekee Arsenal mliyotuzidi ni mbele. Na kitu pekee kinachonipa wasiwasi kwa upande wa United ni upande wa kutengeneza na kufunga magoli, Japo tumekuwa tukipata magoli iwe kwa penati au vyovyote, na dhidi ya timu kubwa tuna uwezo wa kupata magoli kuliko dhidi ya timu ndogo zinazopaki, sababu nilishazitaja.
Upande wa beki yenu hali mbaya, sitashangaa kuona matuta yakipatikana. Ukiacha Brighton and Hove Albion ni Arsenal tu ndio wamesharuhusu penati 5 golini kwao mpaka sasa
Nikiwa natambua ubora wa Arsenal pale mbele, pia natambua kuimarika kwa United upande wa ulinzi
History speak. Arsenal ana miaka zaidi ya 15 hajashinda mechi ya ligi pale OT
Pia katika miaka ya hivi karibuni Arsenal imeshindwa kupata matokeo mazuri pale OT hata United wakiwa wanachechemea.
Nakumbuka ule mwaka wa Van Gaal, debut ya Rashford, ile siku United alikuwa ana kikosi kibovu sana lakini Arsenal alipigwa. Msimu uliopita chini ya Jose, United akiwa kwenye kiwango kibovu na kila mtu akiamini United atapigwa, lakini Arsenal wakashindwa kupata matokeo waliyotegemea.
Wewe umesema 50/50. Mimi naona 60/50. Labda nipo biased lakini nina sababu zinazofanya niamini hivyo
Pep siku zote huwa anafunguka lakini humfungi kwa countersKwa sasa game yoyote kwa United ni ngumu, hata dhidi ya Newcastle.... Ni siri iliyo wazi kuwa United hawapo kwenye good form na wana wachezaji majeruhi ambao ni muhimu
Lakini ni kosa kubwa kuidharau United itakapokuwa inacheza na timu kubwa (top six) kwani hizi timu zinafunguka na kuacha nafasi inayoweza kuruhusu game ya United/OGS (counter attacking football)
Kuna watu wanajiuliza Chelsea walipigwaje na United hii, nashindwa kuelewa wanashindwaje kupata majibu
United ina creative players wachache na inacheza zaidi counter attacking football. Aina hii ya mchezo inawatesa sana wanapokutana na timu ndogo zinazocheza "kwa ku pack bus" kwa kuwa wanashindwa kutengeneza nafasi na kufunga magoli
Tatizo la United la kuwa na washambuliaji butu halijaisha, tatizo la kuwa na majeruhi bado lipo, tatizo la United kuwa na kiwango kibaya bado lipo lakini watu wanafanya makosa sana kuidharau United mbele ya Gunners wenye washambuliaji wazuri, midfield ya kawaida na beki isiyoridhisha.
Kuna watu watasubiri kesho tufungwe halafu waje wa quote huu Uzi, ninawaambia NO PROBLEM, ninawasubiri. Lakini kuweka kumbukumbu sawa Sijasema United ana 100% ya kushinda, ila ninampa asilimia kubwa ya kushinda
Aise Tammy ni Rashid watatu mkuu ..Ebwana kwa kukosa kosa Tammy na Rashford wote ni walewale.
Striker yenu bado siyo tamu. Mnatengeneza nafasi vizuri ila finishing mtihani.
Kesho arsenal mnawapiga mkuu ..uhakika wa kushinda upo tena mkubwa tuhapa tukipigwa na arsenal kesho tunashuka chini zaidi.alafu tunaenda kwa newkesto na ugenini tulivyo tia maji tukibahatisha sana ni droo.then liverpool hawa hapa
mpk hapo tupo relegation zone na kutoka na huyu mmasai mwenzangu itakua kaz nyingineView attachment 1218413
Tuko pamoja mkuu kesho tunapeleka kilio na majonzi kule emirates.Kwanini watu mnadhani kuifunga Arsenal kesho ni maajabu?
Wao wenyewe hawapo kwenye kiwango kizuri
Wao sio City au Liverpool kwa sasa, kwanini kuwafunga iwe maajabu?
After all they are Arsenal dhidi ya United, tena Old Trafford
Wewe Mara ya mwisho unashinda OT ilikuwa lini vile..[emoji3][emoji3][emoji3]Wakuu mtatusamehe sana , tena sanaaaaa
Kesho tunazihitaji hizo point 3 ni muhimu sana kwetu.....
Nafikiri tumeelewana
Kwani nyinyi hamkupigwa 3 haha usitugeuzie habari hapaTulivyowapiga 3 msimu uliopita hakuwepo? who is laca (small letter) by the way
Kesho magwaya atalala na viatu ..cjui Auba atapitia wap ..uku Bissaka uku magwaya uku dah ..
Taarifa za ndani zinasema kuanzia jana Maguire hajaongea na mtu kabisa huko Carrington, anavunjavunja vitu tu. Sijui anajiandaa kufanya nini.
Aise Tammy ni Rashid watatu mkuu ..
Naomba kesho mfumuliwe za kutosha ili mpate akili..
Kila la kheri Man United[emoji813][emoji813][emoji813]
Kesho magwaya atalala na viatu ..cjui Auba atapitia wap ..uku Bissaka uku magwaya uku dah ..
Kila la kheri man united[emoji813][emoji813][emoji813]
Auba akijaribu tu kufanya vituko vyake, Maguire anamvunja miguu yote miwili na shingo. |
Apana mkuu hii man united mbona ina vijana machachari tu ..[emoji3][emoji3][emoji3] Rashford pale ..kuna lingard, achilia mbali jemsi kuna uyo magwaya, Bissaka uku dah, kipa bora kabisa kuwahi kutokea De Gea + tuko OT tena aaagh hii Arsenal watapitia wapi? Laccazete ayupo uyo auba kazi anayo ..yan kesho Man united ikishinda goli chache sana labda ni mbili ..Kwa sasa game yoyote kwa United ni ngumu, hata dhidi ya Newcastle.... Ni siri iliyo wazi kuwa United hawapo kwenye good form na wana wachezaji majeruhi ambao ni muhimu
Lakini ni kosa kubwa kuidharau United itakapokuwa inacheza na timu kubwa (top six) kwani hizi timu zinafunguka na kuacha nafasi inayoweza kuruhusu game ya United/OGS (counter attacking football)
Kuna watu wanajiuliza Chelsea walipigwaje na United hii, nashindwa kuelewa wanashindwaje kupata majibu
United ina creative players wachache na inacheza zaidi counter attacking football. Aina hii ya mchezo inawatesa sana wanapokutana na timu ndogo zinazocheza "kwa ku pack bus" kwa kuwa wanashindwa kutengeneza nafasi na kufunga magoli
Tatizo la United la kuwa na washambuliaji butu halijaisha, tatizo la kuwa na majeruhi bado lipo, tatizo la United kuwa na kiwango kibaya bado lipo lakini watu wanafanya makosa sana kuidharau United mbele ya Gunners wenye washambuliaji wazuri, midfield ya kawaida na beki isiyoridhisha.
Kuna watu watasubiri kesho tufungwe halafu waje wa quote huu Uzi, ninawaambia NO PROBLEM, ninawasubiri. Lakini kuweka kumbukumbu sawa Sijasema United ana 100% ya kushinda, ila ninampa asilimia kubwa ya kushinda
Uyo lacca ata Geroud anamweka benchi timu ya taifa ..amna kitu minguvu tu..Rashid akitulia vizuri kuna goli mbili clear kabisa ..ukichek bek ni luiz, papaston cjui..Average kushinda Rashford na Lingard?kiukweli ni kwamba hata kama ni average lakini wewe huna striker wa kumfananisha na LACA kwa maana hiyo ni hatari kwako
Yani anayeibeba arsenal ni Auba ..sasa kesho Magwaya atalala naye ata kivuli chake akitapata nafasi...Tammy ameachwa mbali sana na EDDY NKETIAH
Baada ya kuisha viwango vya jihad wakina mane liverpool anarudi hapo ktk nafasi yakenataman muingie kwenye hyo red portion na msitoke mpk mayView attachment 1218736
Cha kushangaza jones kabaki united smalling katoka soshaaaaaaa
Smalling kawa MOTM huko.
Pep siku zote huwa anafunguka lakini humfungi kwa counters
Tuko pamoja mkuu kesho tunapeleka kilio na majonzi kule emirates.
Kila la kheri Man united[emoji813][emoji813][emoji813]