Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Haka kadogo ka Rochdale kanakocheza rightback hatari sana duh kanakichafua uwanjani balaa.

Haka tukikasajili lazima kamuweke hench Young.
 
Hii timu tuvumiliane tu maana nikifikiria J3 tuna Unai na hv vigoli vyetu vya mazabe tukikutana na Auba sijui itakuaje
 
Anglia awa watoto wanavyo forc lakini wachezaji wa Manchester wanacheza slow kama wamelazimushwa
 
Anglia awa watoto wanavyo forc lakini wachezaji wa Manchester wanacheza slow kama wamelazimushwa
Hawa madogo wameridhika mzee si wapo chama kubwa wenzao wapo league 1 hii fursa wanaitumia ipasavyo
 
marcus rashford
amecheza nusu msimu chini ya louis van gaal
amecheza misimu mitatu chini ya jose mourinho
anaelekea kucheza msimu mmoja chini ya ole gunnar solskjaer.

lakini bado tunaambiwa jamaa ni mtoto kwa sababu ya umri wake.
Hahahahaha huu Si uungwana mkuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…