Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Unarudi sokoni kocha Ole??

Dirisha lilifungwa wakati wachezaji wazuri wapo, hilo dirisha dogo ndo utawapata hao viwango?

Alikuwa wapi kabla ya dirisha halijafungwa?

Management iliridhia hiko kikosi kiingie kwenye michuano.
Manchester United back Ole Gunnar Solskjaer despite dismal form and are ready to give him funds in January to strengthen squad | @ChrisWheelerDM https://t.co/qSYLVxKKJy
 
Mafanikio Ole Sendeka anayoweza kuyapata Old Trafford ni labda timu ishuke daraja.
 
hapo matial.pogba.rashford wote majeruhi na waliobaki kwenye hizo nafasi ni greenwod pereira ndo anategemea watacheza na beki za mancity au live
 
Sikuwa nampenda huyu jamaa lakini bora yeye Ole ameprove failure kabisa huyo lampard hajasajili timu inafungwa lakini inaonekana kuna mpira inacheza kiasi chake unavutia ila Hii timu ya masai ole hovyo kabisa.
Hana mbinu za kubadili mchezo mfumo anaanza nao mpaka mechi inaisha ni huo huo habadiliki na hapo mshafungwa. Yani hii timi ingekua demu nishapiga chini
 
kweli mkuu mi naomba na game zinazo fata tuchapwe mpaka wamfukuze
 
Halafu no improvement na bado kasanishwa na analipwa miela kibao
marcus rashford
amecheza nusu msimu chini ya louis van gaal
amecheza misimu mitatu chini ya jose mourinho
anaelekea kucheza msimu mmoja chini ya ole gunnar solskjaer.

lakini bado tunaambiwa jamaa ni mtoto kwa sababu ya umri wake.
 
Kocha hana mbinu za kubadili mchezo afu ni mvivu na anamtegemea rashford
Hapo mkuu uko sawa kabisa.. Mie huwa najiuliza.. Sijui kwa nini Huwa anasita badili wachezaj hasa pale wana po kuwa chin ya kiwango


Mechi ya Leicester Pereira alipelea pakubwa tu.. Na hampa Sub

Mwenzie Lampard dakika kumi nantano baada ya kuona Emerson ana pelea akampa sub..

Ila kwa Ole yaan mpka mchezaj aumie.. Hata kama anaruka ruka tu uwanjan...

Tunajua kuna siku mchezaji ana amka vizur na siku anakuwa vibaya.. Sasa jamaa Ngu masai Ole hajali hicho ndicho nacho chukia kwa Ole..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…