Mkuu huyu Ole Soksi nakuhakikishia atafukuzwa kazi kabla ya Christmas msimu ujao............. hakuna kocha hapo zaidi ya kujikombakomba kwa kina Pogba, Rashford tu
Mkuu huyu Ole Soksi nakuhakikishia atafukuzwa kazi kabla ya Christmas msimu ujao............. hakuna kocha hapo zaidi ya kujikombakomba kwa kina Pogba, Rashford tu
Modern football mchawi midfield, hauwezi kushinda mechi kama huwezi kufunga magoli na hauwezi kufunga magoli kama midfield yako haitengenezi hayo magoli.
Bado naendelea kushikilia msimamo wangu wa siku dirisha la usajili lilipofungwa kutokufanya usajili wa midfielder kungemtesa sana Ole.
Simuoni ndugu yangu Tanayser maana alisema timu itafanya vizuri sana kwa kipimo cha mechi za preseason.
We are a very average team in EPL. Mambo yakibaki hivi tutakuwa kwenye bottom 10. Glazers hawana uchungu na team kabisa. Mpaka mapato yashuke ndiyo watashtuka.