kapewa game ngapi?
Gunnar Solskjaer replacement' if slide continueskapewa game ngapi?
City ni moto.
Kuna wachezaji hawana nyota ya kuzungumzwa au kukuzwa, Pogba angekuwa na hata nusu ya kiwango cha KDB dunia ya wanasoka ingesimama kwa muda.
So mpenzi wa Chelsea, lakini hii game si nyepesi kwa Liver hata kidogo. Chelsea timu so mbaya kabisaaaaHuwez kumfunga liverpool ukweli upo wazi kabisa
Kocha anayejua wachezaji lazima amchukue Lukaku.Hahahhaha
Lukaku kwa Conte atafanya vzr ,yupo kwa kocha anayewajua wachezaji
Lukaku kipenzi cha Conte
Gazeti la Mirror kama la udaku.Gunnar Solskjaer replacement' if slide continues
The Old Trafford hierarchy are allegedly already preparing for the future as United continue to fail to impress under Solskjaer
Gazeti la Mirror uk lime riport (huku si ndiko kuhesabiwa mechi au ??
City ni moto.
Kuna wachezaji hawana nyota ya kuzungumzwa au kukuzwa, Pogba angekuwa na hata nusu ya kiwango cha KDB dunia ya wanasoka ingesimama kwa muda.
Pogba ni zaidi ya KDB huo tuache mzaa.
Sawa mkuu. |
Hiyo mechi gomes haiwez kabisa yaani watachukua mpira wanavyotaka kesho pogba anacheza
Kweli mkuu
KDB yupo very modest
Miguu yake ndio inaongea uwanjani
Hana mambo ya kiboshoo. Carragher alisema watu wanadai Pogba hajapata mtu wa kumfanya acheze free,sasa akawa anajiuliza huo ufree unaozungumziwa ni wa aina gani? Yani asikabe wala kutafuta mpira akae tu au? Pogba hadi anamaliza soka lake watu wataendelea kusema hivyo hivyo hajapata mtu wa kumfanya acheze free.😂😂 |
Lukaku daaa
Romelu Lukaku.
239 goals at Age 26.
Record scorer for Belgium. 49
31 Premier league goals with his Right foot, Right footed players like Martial & Rashford have 22 & 21 respectively.
3 goals in 3 Serie A games.
Mkuu hii Manchester nakiri kwamba ukikutana nayo basi angalau hata draw utakuwa ni ushindi mkubwa sana na nakumbuka pamoja na ubovu wa Liverpool wa wakati ule ..bado wali mentain kupata matokeo mbele ya sir Alex ..ila Chelsea ndo alikuwa akiwasumbua sana ..
The best of Man United ..kwangu mimi naona hich ndio kikosi bora kuwahi kutokea apo OT..
Kila la kheri Chelsea
Asee tunakufahamu banaa wewe ndo King wa mipashotena mingi unaletaga kule kwetu ..Mara tunaupiga mwingi, Mara lampard akatizi desemba...hahaha
Mipasho ni sehemu ya ushabiki wa mpira na Nina imani kila shabiki lazima awe na mipasho japo viwango vinatofautiana kimtindo...
Hata hii uliandika tayari ni mipasho maana unaongea kwa kujilinda uku ukiponda upande mwingine...
Leo nakupiga ..
Kila la kheri Chelsea
Utayageuka maneno yako..Huwez kumfunga liverpool ukweli upo wazi kabisa
Na akifikisha basi ujue goli nane/tisa ni penati..
Kila la kheri Chelsea
Nawakumbusha mashabiki wa United.
Forward line yenu ilivyo.View attachment 1213293View attachment 1213294View attachment 1213295View attachment 1213296
Hana mambo ya kiboshoo.
Carragher alisema watu wanadai Pogba hajapata mtu wa kumfanya acheze free,sasa akawa anajiuliza huo ufree unaozungumziwa ni wa aina gani? Yani asikabe wala kutafuta mpira akae tu au?
Pogba hadi anamaliza soka lake watu wataendelea kusema hivyo hivyo hajapata mtu wa kumfanya acheze free.