Naaona Uzi umegeuka kuwa baraza ya Mipasho baina ya Washabiki wa Manchester United na Liverpool FC
Nyinyi wenyewe mashabiki wa Liverpool ndiyo huwa mnaleta hii mipasho ya kike kutokana na inferiority complex yenu
Mbona hatujasikia approach yenu kwa Right-Wingers wengine kama waliopo sokoni kutoka Ligue 1 etc?United ana winger wengi sana wa kushoto, na Sancho ni winger wa kulia si kushoto na shida ya Man kwa sasa ni winger ya kulia
Hao City wenyewe wanajuta kutompa nafasi Sancho nafasi mpaka kawakimbia
Huo Sheikh Mansour na Wageni wake (wasio Waingereza) ameshinda UCL ngapi, United alishinda UCL zote na Waingereza wengi kikosini
Nakukumbusha tena, siungi mkono United kusajili mchezaji kwa sababu ya Uingereza wake, bali uwezo wake
Na nina imani wapo wachezaji wasio Waingereza watasajikiwa na kubakizwa
By the way, OGS anataka Pogba abaki, amemsainisha Degea, amemsainisha Lindelof je hao ni Waingereza?
United ana winger wengi sana wa kushoto, na Sancho ni winger wa kulia si kushoto na shida ya Man kwa sasa ni winger ya kulia
Hao City wenyewe wanajuta kutompa nafasi Sancho nafasi mpaka kawakimbia
Huo Sheikh Mansour na Wageni wake (wasio Waingereza) ameshinda UCL ngapi, United alishinda UCL zote na Waingereza wengi kikosini
Nakukumbusha tena, siungi mkono United kusajili mchezaji kwa sababu ya Uingereza wake, bali uwezo wake
Na nina imani wapo wachezaji wasio Waingereza watasajikiwa na kubakizwa
By the way, OGS anataka Pogba abaki, amemsainisha Degea, amemsainisha Lindelof je hao ni Waingereza?
Mkuu kwani Chelsea si wanayo UCL moja, Sheikh Mansour anachukua UEFA sio muda mrefu maana timu ya kuchukua anayoUnited ana winger wengi sana wa kushoto, na Sancho ni winger wa kulia si kushoto na shida ya Man kwa sasa ni winger ya kulia
Hao City wenyewe wanajuta kutompa nafasi Sancho nafasi mpaka kawakimbia
Huo Sheikh Mansour na Wageni wake (wasio Waingereza) ameshinda UCL ngapi, United alishinda UCL zote na Waingereza wengi kikosini
Nakukumbusha tena, siungi mkono United kusajili mchezaji kwa sababu ya Uingereza wake, bali uwezo wake
Na nina imani wapo wachezaji wasio Waingereza watasajikiwa na kubakizwa
By the way, OGS anataka Pogba abaki, amemsainisha Degea, amemsainisha Lindelof je hao ni Waingereza?
Duh! 20 zote? Rashford hawezi kufikisha hata goli 15Nimesema Rashford akifikisha magoli 20 msimu huu naacha shabikia Man Utd na humu siingii.
Hawana timu ya kubeba UCL hao city... labda kama ataenda final na WatfordMkuu kwani Chelsea si wanayo UCL moja, Sheikh Mansour anachukua UEFA sio muda mrefu maana timu ya kuchukua anayo
Kina Gabriel Jesus, Mendy, DeBruyne etc bonge moja la timu. Juventus na vikosi vyao ambavyo naona vya kuungaunga past 5 years wamecheza UCL finals mbili vipi kikosi chenye kina Laporte,Mendy, DeBruyne na Gabriel Jesus
Mbona husemi alikuwa anamtaka Dybala na walishakubaliana kila kitu na kukwamishwa na imaging rights? Mbona husemi Kama Lukaku angeenda juve pia kulikuwa na uwezekano wa mandzukic kuja? Vipi kuhusu De ligt?Kwanza huyo kocha OGS anapenda kuwakosha nyoyo Waingereza balaa
Magarasa ya kiingereza yamejaa pale ila cha ajabu amewaondosha kina Lukaku
Wachezaji wapo mkuuHawana timu ya kubeba UCL hao city... labda kama ataenda final na Watford
Dyabala si alikuwa aje via swap au nimesahau ? Yote hiyo sababu kocha alikuwa hamtaki Lukaku. Ukitaka kujua jinsi gani Lukaku alikuwa hathaminiki mbele ya OGS fuatilia ameuzwaje,pesa yake ya uhamisho inalipwajeMbona husemi alikuwa anamtaka Dybala na walishakubaliana kila kitu na kukwamishwa na imaging rights? Mbona husemi Kama Lukaku angeenda juve pia kulikuwa na uwezekano wa mandzukic kuja? Vipi kuhusu De ligt?
Ole anataka tu attitude nzuri, wachezaji ambao wapo grounded.
Pep ana hamu sana UCL,. toka yuko Germany analisaka linagoma.Wachezaji wapo mkuu
DeBruyne,Mendy,Laporte ni wachezaji wa viwango vya juu
Gabriel namuona akievolve kuwa bonge moja la striker
Back to back UCL Final, UCL na Super cup. Wewe nawe ukaleta ulichopewa
Hamna watu wenye kelele kama nyie. Ni sasa hivi watu wanahema maana ni HOHEHAHE.We mashabik wa liverpool waachage tu toka waotee kwa uefa loo imakuwa tabu mjini sijui itakuwaje wakibeba epl
Inaonyesha jinsi gani unavyohangaika na ole personally na sio suala la usajili, unazungumzia hoja za usajili kwa waingereza unazungumzia mengine ya lingard sijui hata yanahusiana vipi. Sasa Kama ole ana Imani na lingard inaingia vipi Hapa?Dyabala si alikuwa aje via swap au nimesahau ? Yote hiyo sababu kocha alikuwa hamtaki Lukaku. Ukitaka kujua jinsi gani Lukaku alikuwa hathaminiki mbele ya OGS fuatilia ameuzwaje,pesa yake ya uhamisho inalipwaje
Sasa Kocha unamthamini Lingard kuliko Lukaku hahahahaha
Maana kama suala ni pesa sidhani kama Juve walikuwa wamuuze. Barca niliwahi sikia waliweka mezani Euro milioni mia moja na hamsini €150m wamchukue Dyabala ila hiyo pesa ilikataliwa na Juve
Kocha anasema Lingard ana imani nae sana na atamtegemea sana hahahahahhahahaha
Mbona hatujasikia approach yenu kwa Right-Wingers wengine kama waliopo sokoni kutoka Ligue 1 etc?
Ukisema kwamba mmechukua UEFA kwa nguvu ya wazawa hilo nitakukatalia sababu ile UEFA yenu ya mwisho CR7 alikuwepo
Pursuits zenu za wazawa mtupu (Longstaff, Rice,Sancho and the like ), halafu subiria Chelsea watoke kifungoni kama Abramovic atakuwa na roho nyeupe by then uone pursuits zao
Yaani hata Arsenal sajili zao ziko vizuri kama wanaamua kuspend, Utd ya sasa wazawa (sio homegrowns to be precise) ndio kipaumbele
Dyabala si alikuwa aje via swap au nimesahau ? Yote hiyo sababu kocha alikuwa hamtaki Lukaku. Ukitaka kujua jinsi gani Lukaku alikuwa hathaminiki mbele ya OGS fuatilia ameuzwaje,pesa yake ya uhamisho inalipwaje
Sasa Kocha unamthamini Lingard kuliko Lukaku hahahahaha
Maana kama suala ni pesa sidhani kama Juve walikuwa wamuuze. Barca niliwahi sikia waliweka mezani Euro milioni mia moja na hamsini €150m wamchukue Dyabala ila hiyo pesa ilikataliwa na Juve
Kocha anasema Lingard ana imani nae sana na atamtegemea sana hahahahahhahahaha
TROPHYKitu kinachonifanya niwadharau Liverpool ni Man Utd kutoka kuwa na makombe 7 ya EPL na wao wakiwa na makombe 18 halafu sasa hivi wana EPL hizo hizo 18 na United wana 20
Hawa jamaa ndio maana kwenye baadhi ya kumbi wapo 4, halafu mechi zikiwa nyingi game zao hazioneshwi
Source?TROPHY
Liverpool 43
Manchester United 42
It's official Liverpool are more success than Manchester United .
Endeleeni kupiga kelele tu.