Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wale ma captain wa liverpool ni wa spain mkuu
Makapteni wapi mkuu?

EPL baada ya Abramovic na Sheikh Mansour kununua timu upepo ulibadilika , angekuwa Sheikh Mansour amepata kocha mzuri ile ile 2008 ingekuwa balaa

Sasa wale wazawa wa Liverpool waliochukua MaUCL miaka hiyo hata sheria kwenye mpira hazijaongezeka isingekuwa

My point ni kwamba mpira wa leo ambao Investment ni kubwa kwa kubase kwenye uzawa utaishia kulia tu

Maana wakati wenzio wanachukua talents toka Africa,South America na Ulaya wakati huo huo wewe ukiwa unataka wazawa wa pale British isles basi toboa na hao wazawa wako tuone kama utatoboa
 
Mkuu MASAMILA umemkataa hadi trent??
mna nini lakin liverpool?
Waingereza wanaojua mpira ni mmoja mmoja sana, huwezi ukawa competent kwenye sekta zote kwa kubase kwenye race moja

Trent ana lack pace na uwezo mkubwa wa kumalizana na adui akiwa na mpira.


Robertson>>>Trent
 
Mkuu nakubaliana na wewe United hawataimarika kama watakuwa tu wanasajili sababu ya mtu kutoka Uingereza

Lakini je akiwa Muingereza na ana uwezo kuna shida gani kumsajili, je Sancho sio mzuri?
Why only Sancho ?

Wakati Winger za kushoto zipo nyingi

Utoboe mbele ya Man City ya Sheikh Mansour wanaosajili wachezaji wenye viwango regardless of nationality au Chelsea ya Abramovic ambayo nayo sio Club ya kizawa
 
Kuna vitu vingine usibishe ilimradi tu kuna siri kuwa Refa Howard Web alikuwa na mapenzi binafsi na Ferguson na Manchester United,Ilifikiaa wakati mechi ya Manchester United akichezesha Howard Web utafungwa kivyovyote vile na kwa njia yoyote ile.
 
Siasa tupu.

Natural forward hafundishwi jinsi ya kufunga magoli.

Ole Out.
 
Man Utd hawataweza kufika level za Liverkuku.... Sorry, ni Liverfools

Unajua kwanini?

Kwa sababu United ni klabu kubwa duniani
You just add one year after another mpaka 30 years zinafika. Sahivi mpo mwaka wa 7 bado mingine 23.
 
Tatizo kubwa la United ndilo hilo.

Uingereza mwingi sana.
 
Linganisha hawa na Lingard, Rashford na Martial.
 
Man Utd hawataweza kufika level za Liverkuku.... Sorry, ni Liverfools

Unajua kwanini?

Kwa sababu United ni klabu kubwa duniani
Kumbe ni ukubwa tu me nilijua ni klabu bora duniani aise. Yaan nyinyi ni kubwa jinga
 
Ktk makombe 13 rol uefa na club world cup huko kote na mech zote alikuwa akichezesha web hakika uefa na epl walitupendelea sana kama kila mech ilichezeshwa na web pia liverpool si timu ya kutisha liverpool ni spurs iliyochangamka
Mbona man u ni QPR iliyo baki kwenye Epl aise
 
Shaqiri,Origi na Keita hawana vipaji?

Halafu Rashford ndio ana kipaji?!! Mnavutia kwenu sana
Yaan lovren, keita, shaqir na orig,milner wakipewa nyumbu hata big4 wataingia maana hata wa kuwapiga benchi hapo nyumbu cjaona
 
Sasa si timu zote takataka tu ndo mana bakwambia liverpool timu inajituma kwa nguv lakin soka lipo manchester city
Takataka wakat anamwali mpk mda huu wa klabu bingwa ulaya ujifananishe na sisi utakuwa umepagawa
 
Umekimbia mada me sijazungumzia nani kamfunga nani au mim nimemfunga nani aise
 
Yaan lovren, keita, shaqir na orig,milner wakipewa nyumbu hata big4 wataingia maana hata wa kuwapiga benchi hapo nyumbu cjaona

Hapo walikuwa wote ujue sema nawaambia ukweli timu yenu ya kawaida sana ila mnaikweza mno

 
Kuna vitu vingine usibishe ilimradi tu kuna siri kuwa Refa Howard Web alikuwa na mapenzi binafsi na Ferguson na Manchester United,Ilifikiaa wakati mechi ya Manchester United akichezesha Howard Web utafungwa kivyovyote vile na kwa njia yoyote ile.

Mech 38 zote anachezesha web? Hii kitu huwa inachekesha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…