waOLDmoshi
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 879
- 1,753
Rashford siyo mfungaji kabisa, atafutiwe position nyingine.
Cha kusikitisha leo ni kwamba senior Rashford anatakiwa ajifunze kufunga magoli kutoka kwa very Junior Greenwood.
Cha kusikitisha leo ni kwamba senior Rashford anatakiwa ajifunze kufunga magoli kutoka kwa very Junior Greenwood.
Rashford anatakiwa kujifunza hata kwa Daniel James. |
Karuguyeye, paka mweusi, na viunzi vyake uwanjani full kunukisha Mavi wenzie. Mane is enough.usimfananishe salah na upuuzi
Anakimbia vila kutoa pasi mpaka goal kick
Sikuizi huwa naingia humu kusema Man United ni timu mbovu ajabu tim haina mipango, mchezaji anapiga pasi ili mradi tu atoe mpira miguu mwake.
Hakuna flow nzuri ya mpira yani ni tim inacheza hovyo hovyo.
Kocha nae kiazi tu ,bora Wolves kuliko Manchester United. Atleast wolves wanashambilia kwa mipango.
Aka katim Astana utasikia kamekutana na tim nyingine kamekula 3 . United tunashinda 1 tena kwa bahati.
Kama unatambua hilo ulikuwa unashangaa nini sasa
Hahahaha halafu tunaambiwa lukaku ni mzigo aiseee
Haumii wala nini, angekuwa anaumia angeshafanyaga maamuziHapo Ole Sendeka anaumia hatari anapoona nafasi za kugusa tu akina Rashid Makame wanazikosakosa hovyo
Jamaa bila penalty hamna kabisa.
Yani afumue kikosi kizima au aachane na ukocha kwa kujiudhuru?Haumii wala nini, angekuwa anaumia angeshafanyaga maamuzi
Kujiuzuru √ # kujiudhuruYani afumue kikosi kizima au aachane na ukocha kwa kujiudhuru?
Humwambii kitu Ole kwa Rashford. Yuko radhi atoe woote hapo mbele bwana mkubwa abaki.Yani afumue kikosi kizima au aachane na ukocha kwa kujiudhuru?
Em ngoja tuone labda akishakua kua atajifunza kufunga magoli..Jamaa bila penalty hamna kabisa.wanakwambia anakuakua tungoje.