Ahsante tuko pamoja.
Mimi ni 15 tu.
Uwezo wa Rashford ni wa kawaida sana. Ila huu ushabiki wenu wa aina hii, tunauita ushabiki wa ki-manara.Rashford akifikisha goli zaidi ya 20 msimu huu naacha kushabikia soka. Na humu siingii tena.
Upo serious mkuu?.Moja ya wachezaji tutakaojutia kuwapata na haikuwa ngumu kuwapata ni Joao Felix. Kwa huyo dogo, hakuna cha Mbape, Mesi, Ronaldo wala Neyma et al. AM watamuuza kwa hela ndefu sana. Dogo yupo smart balaah
Tammy ana 19 tu ..uyu Rashid nadhan itakuwa 21/22..Hivi kati ya Tammy na Rashy nani mkubwa?
Ana miaka 21 Tammy na bado wiki 2 tu anatimiza 22 Hapo mwezi wa 10.Tammy ana 19 tu ..uyu Rashid nadhan itakuwa 21/22..
Kama kwa sterling ni utoto kwanini kwa Rashford isiwe utoto.Sterling hakuwahi kuwa garasa mkuu..Akiwa Liverpool alikuwa anakimbiza kinoma,,sema tu ule ulikuwa utoto
Acha kupotosha watu wazima.Tammy ana 19 tu ..uyu Rashid nadhan itakuwa 21/22..
Ana miaka 21 Tammy na bado wiki 2 tu anatimiza 22 Hapo mwezi wa 10.
Sterling kipindi hicho ana miaka 18..na alikuwa anakimbiza kwelikweli..Kama kwa sterling ni utoto kwanini kwa Rashford isiwe utoto.
Kwani nimemfanya Nini Rash?Bac na Rashid mumuach coz n force no 9
AiseeeRashford akifikisha goli zaidi ya 20 msimu huu naacha kushabikia soka. Na humu siingii tena.
HahahaaaaaHivi unakuwaje na straika ambaye afikishi hata goli kumi kwa msimu? James huu msimu anaeza kuja kuwa na goli nyingi kuliko Rashiford
Kila la kheri Chelsea
wewe hebu rudi kule kwako umewaachia wageni majamvi waomboleze alafu unakuja kujificha huku........alahhhhhAhsante tuko pamoja.
Mimi ni 15 tu.
kama bwana Vardy katoka na 29Watu wanashindwa kuelewa kwamba kuchelewa kutoka/ku shine sio umri mdogo
Rashford akiwa na miaka 21 msimu wa 2018/19.Sterling kipindi hicho ana miaka 18..na alikuwa anakimbiza kwelikweli..
Rashford utoto ushamtoka,mtu ana miaka 21 utoto unatokea wapi na ameshacheza mechi za level ya juu kibao tu..ilibidi muda huu astandout kama mchezaji anayeeleweka..though kuna uwezekano wa yeye kuwa mkali zaidi kadri umri unavyosogea
hii ndio sentensi muhimu zaidi niliokuwa nikiisubiria kwenye huu mjadala wa rashford na sterling.Kosa ni la Man u kumtegemea.
kama bwana Vardy katoka na 29
hii ndio sentensi muhimu zaidi niliokuwa nikiisubiria kwenye huu mjadala wa rashford na sterling.
nyakati zile sterling analeta utoto mwingi uwanjani bwana suarez na aguero wanafunga magoli kadri wanavyojisikia.
ila ukiija kwa rashford kwa kuwa yeye ndio mbeba matumaini wa timu yetu hatakiwi aongozwe na mihemuko ya kitoto.
Serious!!Upo serious mkuu?.
Aya ya mwisho umefanya uchokozi kwa wapinzaniVictor Lindelof asaini mkataba mpya hadi 2024
Daniel James aungana na PP, Tony na Luke Shaw kwenye orodha ya wenye majeruhi. Ameumia ankle.
Greenwood, Axel na Romero wataanza mechi dhidi ya Astana ya Kazakhstan kesho 19/09/2019
VVD (beki bora Ulaya) atoa assist kwa Loriente na kusababisha Napoli kushinda goli 2-0 dhidi yao