mtotowamjini
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 4,525
- 1,177
Viper hivi tunakutana lini ,RVP atupie hattrick yake ya pili
Yaani nilivyo na hamu nao acha tu sijui safari hii tutawachapa 10-1? :biggrin1:
Viper hivi tunakutana lini ,RVP atupie hattrick yake ya pili
Sikubaliani na wewe,umeona game alizocheza Giggs msimu huu? Paul Scholes still anaweza kucheza hata misimu 4 bado yuko kwenye form na anaijua timu vizuri.Giggs hawezi kukaba,hatengenezi nafasi wala hafungi kumbuka huko nyuma alikuwa anacheza winger,defence yetu ni mbovu so inahitaji viungo wa kuwalindaHapana ryan giggz is still useful coz of his experience so we still need him as much as we still need scholes
bt coz of their age they wont be able to play week in week out. Look at thierry henry the way hez playin in america. Am sure arsenal could use his experience especially in big games.
Fergie akatafute hata mvuvi yoyote spain anaweza kumudu kiungo pale!,angalia kuna kiungo yupo Real Sociadad anaitwa Xabier Prieto,akija England lazima atakuwa gumzo,kama Cazorla sasa nae anapata jina si ajabu ukasikia msimu ujao Captain emirates.Sikubaliani na wewe,umeona game alizocheza Giggs msimu huu? Paul Scholes still anaweza kucheza hata misimu 4 bado yuko kwenye form na anaijua timu vizuri.Giggs hawezi kukaba,hatengenezi nafasi wala hafungi kumbuka huko nyuma alikuwa anacheza winger,defence yetu ni mbovu so inahitaji viungo wa kuwalinda
Sikubaliani na wewe,umeona game alizocheza Giggs msimu huu? Paul Scholes still anaweza kucheza hata misimu 4 bado yuko kwenye form na anaijua timu vizuri.Giggs hawezi kukaba,hatengenezi nafasi wala hafungi kumbuka huko nyuma alikuwa anacheza winger,defence yetu ni mbovu so inahitaji viungo wa kuwalinda
Mbona yule Giroud anakosa kila siku
2 mtungi leo New castle watakoma ... .... ..... .... sasa BJ and co watakuja hapa nyie chubirini tu ... ..... .. tunasubiri magoli ya Judas na Wine.
Jana hukumuona .... .... ..