makinika18
Member
- Nov 16, 2018
- 77
- 108
Kuna kitu nahic haukifaham anayetumia mguu wa kulia ni rahic sana kucheza namba 11(winga ya kushoto) na anayetumia mguu wa kushoto ndio anayecheza winga ya kulia (namba 7)mkuu anachokifanya OGS kwa daniel james itakuwa ni faida kubwa sana kwa huyo dogo hapo mbeleni kama atakuwa serious, zile zama tulizowashuhuhudia wachezaji mfano wa ryan giggs, david beckham wanacheza upande mmoja tu maisha yao yote kisoka zimeshapitwa na wakati.
ronaldo anatumia mguu wa kulia lakini alipokuwa real madrid alikuwa anatokea upande wa kushoto.
lionel messi anatumia mguu wa kushoto kwa ufasaha lakini barcelona anatokea upande wa kulia.
gareth bale anatumia mguu wa kushoto lakini anacheza namba 7
mifano ipo mingi sana brother.
kuna mechi anaweza kukutana na mlinzi hodari atakayemfanya atamani abadilishe upande mwenyewe bila ya maombi ya kocha.
4 out of 5? Nilikuwa sijui hilo..
Ila hilo lina hasara zake! Last season Mo Salah alitumia Penalties kama 3 au 4 hivi! Media zikaanza kupropagete kuwa anabebwa na Marefa! Si marefa wakawa trapped na propaganda za Media za Kiengereza! Kudadadeki mpaka leo hata mchezaji wetu atolewe Macho basi hatupewi tuta.
Yani kwenye michezo 5 tumepewa Tuta 1 against Arsenal
Wakati inajuilikana kuwa Ukiwa na Washambuliaji wanaovamia goli muda wote basi unakuwa na Possibility ya kupata Tuta muda wowote.
Kwahiyo nanyinyi sasahivi Media zitawaanzia Propaganda za kuwa Munabebwa
Ktk mashindano yote umeongea kishabiki sana mkuu kwamba magoli yatakuwa yanafungwa na mabek tu au timu pinzani zinajifunga? Kumbuka mbele yupo yeye martial na james chaguo la kwanza
Gomes hayupo kwenye kikosi cha united kitakachocgeza EUROPA
Propaganda za media VS VAR, tutaona kipi kitasimama (Ninachosema hapa msimu huu kuna VAR, kwa hiyo maamuzi yatakuwa tofauti na msimu uliopita)
Hata hivyo tulishadhulumiwa penati, mfano mechi ya Man na Cristal Palace, na Martial akaangushwa dhahiri lakini hatupewa penati
Kocha hovyo sana.Hapo tu ndio ninaposhindwaga kumuelewa kocha wetu
Dirisha la usajili limefungwa akiwa very comfortable.Kwenye hili nina muelewa OGS lakini wakati huo huo simuelewi
Wote tunamtaka DJ atokee kushoto maana ndio anakuwa na impact zaidi kuliko akitokea kuli (hapa simuelewi)
Analazimika kumchezesha upande wa kulia kwa sababu hana option nyingine (yaani mawinga wote wa United ni wazuri kutokea kushoto, hapa namuelewa kwamba hana option)
Kwanini asingetumia dirisha la usajili kupata kupata winger wa kulia? (hapa simuelewi).
Arsenal FC [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huo msako wa WATFORD siku wakikutana na Man united sijui watamfunga ngapi tu
Duh! Kumbe mpaka leo unaamini VAR??
Mkuu VAR ni just Television tu haisemi wala haiamui, bali anaeamua ni Refa bila ya kulazimishwa kuwa aifuate VAR
Kwenye WC, CL na La Liga wanatumia VAR kitambo lakini tunashuhudia ananyongwa Mtu Kavkavu!
Hata EPL Luna VAR lakini mpaka sasa Maamuzi ya kiajabuajabu yameshatokea zaidi ya 20.
VAR haiongezi usahihi wowote kwenye Ligi bali inaweza Kukubeba au Kukuminya.
Binafsi sisi VAR imeshatubeba na imeshatukamua.
Dirisha la usajili limefungwa akiwa very comfortable.
Huo msako wa WATFORD siku wakikutana na Man united sijui watamfunga ngapi tu
Hizi pumba sijui huwa unaziandika ukiwa wapi?Chelsea level zenu ni championship ,muda utaongea ,
Unai kashapata presha tumemfata tweeter kaipata fresh , atapanga vzr sasa
Wewe mwenye Abraham jirud na willian hata kwa Everton mwenye Iwobi Kean Richardson humfikii ,ndio ujifananishe na kina auba laca pepe ?acha masihara Ollachuga ,
Norwich kapanda daraja unatoka naye 3-2 ,sasa kina Everton, wolves , Leicester sindio watakuua, hapo top 6, hubebi hata point 1
Mpira haupo hivyo mkuu
Chelsea angeanza na Liverpool (mechi ya super cup alicheza vizuri sana) , tungeweza kuwa na mindset hiyo hiyo, lakini kwa kuwa alianza na sisi tukampa kichapo kizito, tunachukulia poa tu
Kwa ile midfield yetu Watford wakifanya waliyomfanyia Arsenal second half tutakuwa na wakati mgumu sana
Hahahaha akiwa ndotoni inaonesha[emoji23][emoji23][emoji23]Hizi pumba sijui huwa unaziandika ukiwa wapi?
1-0 ndio lucky ..sio 2-5 mkuuMbona Leicester ilikuwa zaidi ya Watford ila tumechukua 3 points kwa mbinde. Na Wolves walibana sare ila Chelsea kampiga 5 za mbwa koko. It is about Luck brother.
Tuombe uzima mkuu ..Rashid hafikishi goli 15 msimu huu...Sikumbuki Rashid ni lini amefunga hattrick lakini, Rashid ni moja kati wachezaji walioifungia Man Utd magoli muhimu sana
Ameshawaliza Arsenal, City, Chelsea, Liverpool na kila mkubwa unayemfahamu wewe pale uingereza
Tamy anakuja vizuri, lakini anaonekana ni wale wachezaji ambao timu inapo dominate sana game ndio anaonekana na ndio maana kwenye mechi za ushindi wa 1 - 0 haonekani, lakini ushindi wa 4 au 5 anaonekana