Ila hili swala la ukakamavu naona kama ni tatizo kwenye academy yetu..yaani wachezaji wanaonekana wana uwezo ila ukakamavu ndo unakuwa shida..kama Gomez kwenye game za preseason unaoana kabisa huyu ni No 10 tunayemuhitaji ila sasa ukakamavu ndo unakuwa shida..wanahitaji game time though ili atleast kuimarikayap, confidence inajengwa ndani ya uwanja na si jukwaani.
tahit chong alianza ovyo mechi ya jana lakini baadae akaonyesha mabadiliko.
kwa umbile lake lilivyo laiti kama tahit angelikuwa midfield mkabaji mfano wa yaya toure angelikuwa ni asset muhimu sana kwetu hapo mbeleni.
amepewa kipaji cha soka lakini amenyimwa ukakamavu
tukiachana na mazoezi ya viungo na lishe nafikiri solution nyengine kubwa ya kutibu hilo tatizo ni kuwapa nafasi ya kuchezaIla hili swala la ukakamavu naona kama ni tatizo kwenye academy yetu..yaani wachezaji wanaonekana wana uwezo ila ukakamavu ndo unakuwa shida..kama Gomez kwenye game za preseason unaoana kabisa huyu ni No 10 tunayemuhitaji ila sasa ukakamavu ndo unakuwa shida..wanahitaji game time though ili atleast kuimarika
Hakuwepo hata kwenye bench mechi ya u23, hivyo naamini atacheza,tumecheza mechi tano bwana OGS hajampa hata sekunde moja angel gomes.
alhamisi tunacheza europe hivyo basi nitafurahi kama dogo atapewa nafasi.
kinyume na hapo angel ataitafuta furaha sehemu nyengine.
chief, khofu yangu hawa madogo wanaweza kupata ofa nzuri sana itakayopelekea wahame timu kama watashindwa kupata nafasi mara kwa mara japo dakika 10 hususan huyu gomez.Hakuwepo hata kwenye bench mechi ya u23, hivyo naamini atacheza,
Na yeye na greenwood bado Ni wadogo Sana wanatakiwa taratibu Sana waingizwe kikosi Cha wakubwa, la sivyo tutawapoteza.
mkuu anachokifanya OGS kwa daniel james itakuwa ni faida kubwa sana kwa huyo dogo hapo mbeleni kama atakuwa serious, zile zama tulizowashuhuhudia wachezaji mfano wa ryan giggs, david beckham wanacheza upande mmoja tu maisha yao yote kisoka zimeshapitwa na wakati.
ronaldo anatumia mguu wa kulia lakini alipokuwa real madrid alikuwa anatokea upande wa kushoto.
lionel messi anatumia mguu wa kushoto kwa ufasaha lakini barcelona anatokea upande wa kulia.
gareth bale anatumia mguu wa kushoto lakini anacheza namba 7
mifano ipo mingi sana brother.
kuna mechi anaweza kukutana na mlinzi hodari atakayemfanya atamani abadilishe upande mwenyewe bila ya maombi ya kocha.
Kwenye beki labda Bissaka tu ndo anaweza kuingia first XI ya Chelsea uyu magwaya ata Kristiansen anaeza mueka benchi...na ndiye anayeleta utofauti mkubwa sana kati yetu na chelsea.
chelsea wanateseka sana eneo la ulinzi wa kati nyakati hizi.
Haha mpka ipakitane penati mkuuAna goli 3
Bado goli 12,tukukimbize humu
Kabisa mkuu ..Rashiford anatakiwa kujifunza kwa bwana mdogo.abraham ni mfungaji hodari kuliko rashford.
Ollachuga Oc
Mumeua kipaji cha Fred ..sasa ivi hata QPR hapati namba..Fred ataingia tu kama sub.
Kwa maana hiyo bila "mbeleko" hamuna point tatu au moja??Kati ya game 5 tumepata penati game 4. Tumefunga penati 2 na kukosa 2. Hii inaonyesha hatupotezi mechi kwa kukosa bahati, bahati ipo ila kuna mambo ya hovyo kwa kocha na wachezaji.
Fred McTominay Pogba
Ndo mido ninayotaka kuiona
Naona umeanza kumuelewa taratibu ..Huyo dogo ni drogba kabisaaaaa
@Mc Cane radikaBila penalty Rashford hawezi funga goli la maana.
tumecheza mechi tano bwana OGS hajampa hata sekunde moja angel gomes.
alhamisi tunacheza europe hivyo basi nitafurahi kama dogo atapewa nafasi.
kinyume na hapo angel ataitafuta furaha sehemu nyengine.
yap, confidence inajengwa ndani ya uwanja na si jukwaani.
tahit chong alianza ovyo mechi ya jana lakini baadae akaonyesha mabadiliko.
kwa umbile lake lilivyo laiti kama tahit angelikuwa midfield box to box mfano wa yaya toure angelikuwa ni asset muhimu sana kwetu hapo mbeleni.
amepewa kipaji cha soka lakini amenyimwa ukakamavu
Muda sio mrefu mkuu ..Kwani chelsea anaingia?
Ila hili swala la ukakamavu naona kama ni tatizo kwenye academy yetu..yaani wachezaji wanaonekana wana uwezo ila ukakamavu ndo unakuwa shida..kama Gomez kwenye game za preseason unaoana kabisa huyu ni No 10 tunayemuhitaji ila sasa ukakamavu ndo unakuwa shida..wanahitaji game time though ili atleast kuimarika
tukiachana na mazoezi ya viungo na lishe nafikiri solution nyengine kubwa ya kutibu hilo tatizo ni kuwapa nafasi ya kucheza
mara kwa mara wapate kuzizoea changamoto kutoka kwa wapinzani.
greenwood akitembea na mpira anapepesuka kama mlevi sijui ni uoga unaotokanwa na majukumu makubwa wanayobebeshwa?
sisi tunahitaji greenwood, chong, gomez na james watupe matokeo kwa sababu hatuna wengine wa kuwategemea lakini ukiziangalia timu nyengine mfano barcelona hali ni tofauti kwa young stars.
nilimuangalia ansu fati kwa dakika 30 mechi ya jana dhidi ya valencia kiukweli alikuwa anacheza akiwa huru kabisa kifikra na kimwili kwa sababu ya waliomzunguka ndani na nje ya uwanja, benchi yupo messi, dembele na suarez kwa nini uwe na khofu?
ukiziangalia hata movements zake hazina utofauti mkubwa sana na rashford.
==========================================================
genius maddison + tielemans + ndidi = hawa wajinga jana walituvuruga sana mpaka ikawa natamani umeme uzimwe nisiishuhudie tena ile mechi.
tusije kuwaruhusu man city wakamsajili james maddison tutakuwa tumefanya makosa makubwa sana hapo mbeleni, nawakumbusha tu david silva msimu huu huenda ukawa ndio wa mwisho kwake.
sidhani kama guardiola ataendelea kumuamini phil foden kama mrithi sahihi wa muda mrefu wa david silva