Opinion yangu naona Klopp hajawa successful within EPL sababu miaka minne hujachukua kombe lolote la ndani it's a kind of failure, yaani hata Carabao tu [emoji58]
Ila kwa upande wa kuijenga timu aisee kafanikiwa sana maana Liverpool yake tishio sana huku akiwa katumia Pesa kiasi tu sokoni, mafanikio yake mengine ni kuimaintain Liverpool ndani ya top four katika miaka yake yote hivyo UEFA football sio changamoto tena na kuipa Liverpool mafanikio ya kimapato(income kubwa) sababu mauzo ya Jezi yamekuwa makubwa sana chini yake na pesa za Runinga nyingi zaidi sababu ya performance UEFA na hata katika EPL
Kifupi Klopp alishajulikana kabla ya kuja Liverpool kuwa ni kocha world class
Kujenga timu sidhani kama OGS atapata muda huo , tukumbuke yaliyomtokea Luis Van Gaal. Miaka mitatu ya kuijenga timu ila akawa bado anastruggle kuijenga timu miaka mitatu imeisha bado anajenga timu
Kuna wachezaji wengi tu wamekuja pale United baada ya Ferg kuondoka lakin hakuna kitu.Daah misimu saba bila epl na bado tena tusubiri misimu mitatu ya rebuilding bila epl so misimu kumi bila epl.....
Kazi ipo..
Mi namlaumu fergie tu kwa kuacha timu iliyojaa deadwoods players haya mateso yasingetupata......
Mizee ya zamani ovyo sana kagoma kuacha legacy yake asije kuitembelea kocha mwingine ......ubinafsi tu
Yani apo Arsenal tumepigwa aise[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Usajili mwingine mbovu n huu wa juz
Aseno kwa Pepe cjui Nan aliwaingiza hili chaka
Para yako ya mwisho ndo ambacho na Mimi na wasiwasi nacho "OGS ataweza ku effect hiyo transformation,".......Opinion yangu naona Klopp hajawa successful within EPL sababu miaka minne hujachukua kombe lolote la ndani it's a kind of failure, yaani hata Carabao tu [emoji58]
Ila kwa upande wa kuijenga timu aisee kafanikiwa sana maana Liverpool yake tishio sana huku akiwa katumia Pesa kiasi tu sokoni, mafanikio yake mengine ni kuimaintain Liverpool ndani ya top four katika miaka yake yote hivyo UEFA football sio changamoto tena na kuipa Liverpool mafanikio ya kimapato(income kubwa) sababu mauzo ya Jezi yamekuwa makubwa sana chini yake na pesa za Runinga nyingi zaidi sababu ya performance UEFA na hata katika EPL
Kifupi Klopp alishajulikana kabla ya kuja Liverpool kuwa ni kocha world class
Kujenga timu sidhani kama OGS atapata muda huo , tukumbuke yaliyomtokea Luis Van Gaal. Miaka mitatu ya kuijenga timu ila akawa bado anastruggle kuijenga timu miaka mitatu imeisha bado anajenga timu
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Penison ni mtu ayupogo siriyaz kabisa...mkuu leo umebadilika sana kiuandishi au account yako imekuwa hacked?
😀
Kwa iyo nyie mulienda pupa mukapigwa kwa Pepe sio.Safari hii man u ,usajiri mmetulia , hamkwenda pupa
Unamsikiliza huyo jamaa?Yani apo Arsenal tumepigwa aise[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Mpaka sasa nikipi kinachoonesha pepe tumepigwa? Kuwa serious Ollachuga OcKwa iyo nyie mulienda pupa mukapigwa kwa Pepe sio.
Sasa Chelsea tukibaki maeneo ayo ..wewe ci utakuwa umeshuka daraja..ule usajili wa pepe wa million 80 ndo unawapa kiburi..Kwenye Chelsea hapo usiiwekee dhamana , anaweza kubaki maeneo hayo hayo hadi ligi inaisha .
De Gea amegoma Ku saini mukataba ..tunafanyaje sasa mazee?
Aliona asiwatafunie wataokuja kila mtu apambane na hali yakeDaah misimu saba bila epl na bado tena tusubiri misimu mitatu ya rebuilding bila epl so misimu kumi bila epl.....
Kazi ipo..
Mi namlaumu fergie tu kwa kuacha timu iliyojaa deadwoods players haya mateso yasingetupata......
Mizee ya zamani ovyo sana kagoma kuacha legacy yake asije kuitembelea kocha mwingine ......ubinafsi tu
ikumbukwe wakati huo Digne katoka PSG kusugua bench akaenda Barca pia akala mkeka akapata nafasi ya kucheza kwa mkopo Everton na ndipo kiwango chake kilipoonekanaMkuu sio ushamba, sometime mchezaji (hasa wanaochipukia) anapiga hesabu akienda timu kubwa anaweza kutopata namba hivyo kuathiri maendeleo yake
sipingani na wewe mkuu ila offensive Digne yupo miles za mbali kuliko ShawMkuu mechi ya juzi kati ya Toffees na Wolves, Digne alizungukwa na Adama kama mtoto vile
Nakubaliana na wewe kuna wachezaji wengi sana ulimwenguni ambao wapo mbele ya Shaw kiuwezo, hata Brandon Williams wa reserve team akipewa nafasi anaweza kum challenge Shaw
even Shaw alipata dawa yake that day, toka Adama aingie sikumuina Shaw akivuka mstali wa katiAdama first half alimsumbua kweli kweli
Hivi bado jezi yake inanunuliwa kwa wingi? Basi wazungu nao ni machizi. Uwezo haonyeshi,anaicost timu,watu washaanza kumchukia sasa jezi hizo anauzaje ktk kiwango cha kuwa icon ya timu?Ed anaangalia mauzo ya jezi ya Pogba, usitegemee kama ataondoka pale.
Watu humu wanampenda sana Paul kiasi wanamuona Mctominay ndiyo shida kwa pogba ila mi nnachoamini ni kwamba pogba ndo anamletea shida dogo. Dogo anajitoa sana hadi kuna wakati unaweza jisikia vibaya kwa dogo kama yule kuingiza mwili wake ktk mazingira flaniHili la pogba kupoteza mipira ni kweli kabisa jamaa anapoteza mpira sana game moja hata mara 4 au 5 halafu kizembe tu.
In short pogba anajiangusha mwenyewe na wala sio wenzake.
Hata pacha ya Pogba na Tominay lazima tuwe tunapotezwa sana iko exposed kwasababu ya pogba. Inabidi wapatikane watu wa kazi hasa hapo kati kwa mfumo anaoutaka OGS.
Eeeh kwa pale uingereza sidhani kama kuna kiungo ktk nafasi anayocheza pogba aliye goigoi kama yeyeWe jamaa unajielewa kweli..eti unasema???
Huyo mchezaji ni kama akina Balotel, Mutu. Tena bora hata mutu alikuwa ni mtukutu ila anakichafua. Kipaji bila jitihada hufiki popotePamoja na mapungufu yake tumpe pia heshima yake huyu jamaa.
Mimi binafsi sipendi uchezaji.wa pogba lakini naheshimu kipaji chake ni cha kipekee sana kwa body morphology yake.
Pogba ni mchezaji pekee kwa dunia ya Leo mwenye uwezo wa kukupa kila kitu uwanjani ambacho pale epl Hakuna timu inamchezaji wa caliber yake
Sasa tumeuza CF bila mbadala sasa c bora hata tungemleta Mauro? Halafu inategemeana na management pia, so naamini huenda angebadilika. Kuna wakati mchezaji anaweza kubadilika tabia kutokana na management. Aweza badilika positively au negativelyMashabiki wa man u hatupaswi kuwa kama binti aliyechelewa kuolewa anajikuta anatamani kila anayeitwa mwanaume awe mme wake.
Haiwezekani.kila mchezaji anayeonekana kuwa ni mzuri anaweza kusajiliwa na man United.
Mauro icard na Adrien Rabiot na pogba ni watoto wa baba mmoja kitabia.