Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kama ni wazuri kwanini Waliondoshwa kwenye Timu?
Mimi hata sielewi makocha sometimes.
Mourinho kumuondoa Daley blind kulimcost sana last season hasa defenders wake waliposhindwa kuperform.

Zlatan majeraha na uzee ulisababisha aondoke.

Rojo yupo mpaka sasa sema majeraha yamempotezea kabisa ubora wake.

Fellain na Herrera tumwachie Ole atujibie hili
 
Fraser huwa anacheza free role pale Bournemouth
 
Ukiwa na striker mkali akakupa magoli, ule udhaifu hauonekani
 
Wanaotusumbua humu ni Ollachuga, Penison, Southern....., sometime Aaron, na wewe kiaina na wengine

Sidhani kama hao niliowataja wapo kundi moja na huyo jamaa
Nashangaa hata huo muda wa kum-quote jamaa anautoa wwai wakati watu humu baada ya kubaini ana matatizo ya kisaikolojia yaliyotokana na malezi tumempuuza.
 
mechi 16 anapata ushindi mech 3 tu.
Waaaiiiiiiiii Mou arudishiwe tu kibarua chake.
Yule msimamizi wa mazoezi alishasema anataka kufanya kazi na wanaume na siyo wavulana. Kwa kikosi chenu kwa sasa ambaye anaweza kuanza kwa Mou labda Matic na Maguire, Pogba waligombana. Sioni wengine wa kufanya kazi na Mou
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…