Totally politics [emoji2955] this guy isn't gonna get anywhere November/December awaiting him.Ole huyu hapa.
“We have dominated the last three games and we know we are on the right track, we’re getting used to that way of playing,” said Solskjær, who has not tasted victory since the opening-day victory over Chelsea at Old
“The last three games, they haven’t given us many points in return but we are getting there, we’re getting better and better at playing this way. It is a young team that will get used to it. We need to be more clinical, more ruthless when we go forward but we gave them enough encouragement to stay in the game.
“We are dominating and creating chances but haven’t been clinical enough in front of goal to win. We have missed penalties, chances – it’s a dip in results but not in form.”
Pogba twisted his ankle late on but Solskjær said he expects the France midfielder to go away on international duty. “We, as a team, started giving sloppy balls away after about half an hour and Paul was one of them, but he wasn’t different to anyone else,” said the United manager.
“Everyone expects everything from him (Pogba) every game – he has to attack, he has to defend, he has to win headers, he has to win tackles, he has to dribble past people, he has to make passes – that’s just Paul, and he will thrive on that.”
Mfumo anaoutumia unahitaji.kuwa na wachezaji.wenye quality kubwa sana ambao yeye hana.Kiukweli OGS kuna kitu nakiona anakifanya pale United hasa hasa kwenye style of playing
Ila bado sijamuelewa kwenye baadhi ya maamuzi yake, mfano kumuondoa Lukaku bila kuwa na mpango wa replacement, kusema kwamba hela ilikuwepo lakini sokoni hakukuwa na wachezaji sahihi wa kusajili na kwenye suala la favouratism kwa wachezaji wa kingereza
Kuna mambo anapaswa ajitathmini. Lakini, kuna kitu naona anakijenga embu tumpe muda waungwana
hiyo uliyoorodhesha ilikuwa ni misimu kamili msimu huu ndo kwanza tuna mechi nne au ndo nyota ya asubuhiAm prepared for this
View attachment 1194328
Ile pasi ya goli hata babu yangu aliyepo machame kule anaipiga vizuri..Huyu dogo hana kitu chochote cha kutishaPereira katoa pasi ya goli leo
Position ya Pogba ni ipi??Pogba ni mechi ya nne yupo out of his position tafuteni wa kumtupia zigo
Style of play inaonekanaMfumo anaoutumia unahitaji.kuwa na wachezaji.wenye quality kubwa sana ambao yeye hana.
Anapaswa kuwa.na mentality ya kupata matokeo na siyo kujenga style of play tu ambayo haimsaidii chochote kwenye kupata.matokeo.
He claims himself the team is rebuilt for each match but actually we are sighed every match.Totally politics [emoji2955] this guy isn't gonna get anywhere November/December awaiting him.
Hamna kocha hapo,Ole hamna kitu.
Ni mchezo wa tatu huu anaona kabisa mfumo anaotumia ni wakubahatisha ushindi lakini bado anakomaa nao.
Kumpanga Pogba na Scott pale kati ni kumpa kazi Scott ambae bado ni dogo tu, na pia ni kuwapa kazi mabeki. Pogba hakabi,muda wote anatembea tu na akipewa mpira 'anaulambalamba' na kuupoteza.
Nilitegemea kama amekomaa na hiyo 4-2-3-1 yake basi hiyo '2' ingekuwa Matic na Scott bishoo Pogba apande 10. Sasa Ole hajirekebishi na mchezo unaokuja atarudia utumbo wake. Sasa anakuwaje mwalimu mzuri huyo?
Na hiyo ni Soton kiungo kinapata shida hivi, nasubiri kuona kiungo cha Ndombele-Sissoko- Eriksen tutawatafuta akina Pogba tusiwaone mpaka mpira unaisha.
Unafukuzia mbali Sanchez na Lukaku ili Rashford atambe, tazama leo D.James anamimina mipira kati tena ya kuingia nayo kwenye nyavu Rashford haonekani.
Tena kwa huyu D.James anavyokimbia na vila anamimina mipira kati hii ndio ilikuwa kipindi cha Lukaku kutamba na uzito wake kama Tembo kugusa mipira tu uzame nyavuni.
Sijui kama Christmas itapita huyu Ole hajatolewa kafara.
Kiukweli OGS kuna kitu nakiona anakifanya pale United hasa hasa kwenye style of playing
Ila bado sijamuelewa kwenye baadhi ya maamuzi yake, mfano kumuondoa Lukaku bila kuwa na mpango wa replacement, kusema kwamba hela ilikuwepo lakini sokoni hakukuwa na wachezaji sahihi wa kusajili na kwenye suala la favouratism kwa wachezaji wa kingereza
Kuna mambo anapaswa ajitathmini. Lakini, kuna kitu naona anakijenga embu tumpe muda waungwana
Ole anafurahisha sana, hiyo statement utafikiri ana kikosi kukuubwa. Huko kwa majirani zetu, mambo yakiwa magumu unaona Bernardo Silva anapasha. Sisi mambo magumu unaona kinda Greenwood anapasha.😂😂 |
Mou aliforce Sana kubatlle na hiyo timu against overwhelming superior Manchester city, ni halali kusema kuwa wa pili ndo archievement kubwaNa mwnyw alikua anawaambia washabik kua..hii team kua ya pili ni achievement kubwa sna.. Washabik wakadhan lbd ni utan..alisema ivo kwa sbb alikua hii team ilikua very ordinary na yy alikua anatumia mbinu za ziada wapate matokeo lkn kuna wapuuz waliona kua lbd MOu anafny mdhaha ss ndo wanajua
√Pogba +McTominay= Shit result
√Rashford ni kama Welbeck tu..hakupi guarantee yoyote ya kuweza hata kufunga goli 15+ kwa msimu..
√Daniel James=Exciting player..kamimina krosi kibao,hakuna hata mtu wa kugusa mpira uingie nyavuni
√Lindelof mipira ya juu ni wa ovyo sana..sijui itakuwaje kama hataweza kuimprove kwenye hilo eneo
√Perreira+Mata=Hakuna chochote cha maana wanachoweza kuoffer kwenye hii timu ndo maana mimi watu wakitaka Lingard awekwe benchi halafu Perreira acheze huwa hata siwaelewi..Wote wanafanana,average players
Matatizo yetu kwa upande wangu yapo sehemu zifuatazo;
√Straika-Tungekuwa na straika mkali tusingekuwa tunateseka namna ile..Rashford kafanya nini ndani ya zile dakika 90??
√Kiungo-Hiki kiungo cha McTominay na Pogba naona kama hakifanyi kazi vizuri..Pogba pia madoido yake yaleyale..kuna muda ndani ya dakika mbili amepoteza mpira mara tatu..
Tukiachana na hayo sioni Ubovu wa hii timu,Ilibidi tununue straiker wa kueleweka,na replacement ya Herrera bila kusahau No 10 mwenye kabila kama ya Erisken
either 10 ama 8 ila Pogba huyu wa mechi nne zilizopita hajacheza katika hizo nambaPosition ya Pogba ni ipi??
.....siwezi kusahau maneno ya Brendan Rodger, alisema baada ya Ferguson kustaafu United itapita kwenye wakati mgumu sana. Na ndio tunachokiona kwa sasa.
Na akaongeza, united fans mnabidi muwe na roho ngumu kama wale wa liverpool na Milan ya Gang Chomba. Ufalme wenu umeshafika mwisho. Itapita miaka na mikaka kurudia enzi zenu.
Na huo ndo ukwl wengi hawatak kukubali.. Yan itachukua miaka na miaka man United kua bingwa wa ligi.. Ndo yanayo mkuta mpk saiv Liverpool
[emoji23][emoji23] Eti Greenwood anapasha
Ole anafurahisha sana, hiyo statement utafikiri ana kikosi kukuubwa.
Huko kwa majirani zetu, mambo yakiwa magumu unaona Bernardo Silva anapasha. Sisi mambo magumu unaona kinda Greenwood anapasha.[emoji23][emoji23]
Naangalia hiyo game mkuu
Kwa mnaotazama game ya Juve na Napoli hebu tazameni hilo bench la Juve ndio mtajua ni kiasi gani timu yetu ipo shimoni.
Bench kuna Dybala, Guardado,Rabiot,Mandzukic etc. Bench linatia matumaini kabisa.
[emoji23][emoji23] Eti Greenwood anapasha
Lakini leo almanusura atuokoe [emoji23][emoji23]