It will never be like Liverpool, trust meWelcome to the gang! I can imagine what it feels like. We at LFC have said this for 29 years now. ManUtd fans had a good laugh at us. And now, for 7 yrs we seem to be in the same boat. Our 29 was aslo 7 once, you'll find out soon.
Have a good luck
Niliwahi sema humu Man United iuze wachezaji wote ila si Herrera na Lukaku.
Ole akunisikiliza nikamwambia tena uza uyo Pogba Nununua Verrat wa psg akunisikiliza.
Kwenye dimba angesimama Matic na Herrera, Verrati anasogea mbele hawa watu wawili Herrera na Verrat wanauwezo waku offer vitu vingi zaidi ya Pogba kwanza wanakaba wanauwezo wa kupiga pasi za mwisho, kufungua pia wanaweza.
Nilimuandikia tweets akupuuzia, nikamuandikia email akapuuzia basi matokeo yake ndio haya.
Kuna ndugu zetu humu pamoja na wale watani zetu huwa wanapenda kutuaminisha Pogba ndio MUFC,bila Pogba hatuna timu. Nafikiri wanaona vituko vya Pogba na vile anavyopoteza mipira kizembe. Kuuzwa kwa Herrera sijui hii timu ilikuwa imelewa?Hivi ni mchezaji gani anaweza kukimbia na kukaba uwanja mzima? Hapo amehamishwa toka CAM kwenda kucheza kama CDM na bado anauwasha moto vilivyo. Lukaku kuondoka haina shida ila ni uchizi kumuuza kwa kumtegemea Rashford 😂😂 |
Next game against LeicesterMambo ni mengi mda ni mchache....game inayofata ukiipa man u win we ni kichwa maji
Bado unatamani ifike December utambe?
Top Six [emoji23]Kwani mnawaza ubingwa[emoji28]mimi nazani saivi man u ni ishindanie tu proud ata ibaki Top 6.
Haya sasa Lindelof huyo hapo, Rudiger vs Lindelof? Jibu unalo√Pogba +McTominay= Shit result
√Rashford ni kama Welbeck tu..hakupi guarantee yoyote ya kuweza hata kufunga goli 15+ kwa msimu..
√Daniel James=Exciting player..kamimina krosi kibao,hakuna hata mtu wa kugusa mpira uingie nyavuni
√Lindelof mipira ya juu ni wa ovyo sana..sijui itakuwaje kama hataweza kuimprove kwenye hilo eneo
√Perreira+Mata=Hakuna chochote cha maana wanachoweza kuoffer kwenye hii timu ndo maana mimi watu wakitaka Lingard awekwe benchi halafu Perreira acheze huwa hata siwaelewi..Wote wanafanana,average players
Matatizo yetu kwa upande wangu yapo sehemu zifuatazo;
√Straika-Tungekuwa na straika mkali tusingekuwa tunateseka namna ile..Rashford kafanya nini ndani ya zile dakika 90??
√Kiungo-Hiki kiungo cha McTominay na Pogba naona kama hakifanyi kazi vizuri..Pogba pia madoido yake yaleyale..kuna muda ndani ya dakika mbili amepoteza mpira mara tatu..
Tukiachana na hayo sioni Ubovu wa hii timu,Ilibidi tununue straiker wa kueleweka,na replacement ya Herrera bila kusahau No 10 mwenye kabila kama ya Erisken
Hapo kwenye right track ndipo paliponifanya nikomee njiani kuendelea kusoma ujumbe na kubaki najichekea mwenyewe tu [emoji16]Ole huyu hapa.
“We have dominated the last three games and we know we are on the right track, we’re getting used to that way of playing,” said Solskjær, who has not tasted victory since the opening-day victory over Chelsea at Old
“The last three games, they haven’t given us many points in return but we are getting there, we’re getting better and better at playing this way. It is a young team that will get used to it. We need to be more clinical, more ruthless when we go forward but we gave them enough encouragement to stay in the game.
“We are dominating and creating chances but haven’t been clinical enough in front of goal to win. We have missed penalties, chances – it’s a dip in results but not in form.”
Pogba twisted his ankle late on but Solskjær said he expects the France midfielder to go away on international duty. “We, as a team, started giving sloppy balls away after about half an hour and Paul was one of them, but he wasn’t different to anyone else,” said the United manager.
“Everyone expects everything from him (Pogba) every game – he has to attack, he has to defend, he has to win headers, he has to win tackles, he has to dribble past people, he has to make passes – that’s just Paul, and he will thrive on that.”
Pereira katoa pasi ya goli leo√Pogba +McTominay= Shit result
√Rashford ni kama Welbeck tu..hakupi guarantee yoyote ya kuweza hata kufunga goli 15+ kwa msimu..
√Daniel James=Exciting player..kamimina krosi kibao,hakuna hata mtu wa kugusa mpira uingie nyavuni
√Lindelof mipira ya juu ni wa ovyo sana..sijui itakuwaje kama hataweza kuimprove kwenye hilo eneo
√Perreira+Mata=Hakuna chochote cha maana wanachoweza kuoffer kwenye hii timu ndo maana mimi watu wakitaka Lingard awekwe benchi halafu Perreira acheze huwa hata siwaelewi..Wote wanafanana,average players
Matatizo yetu kwa upande wangu yapo sehemu zifuatazo;
√Straika-Tungekuwa na straika mkali tusingekuwa tunateseka namna ile..Rashford kafanya nini ndani ya zile dakika 90??
√Kiungo-Hiki kiungo cha McTominay na Pogba naona kama hakifanyi kazi vizuri..Pogba pia madoido yake yaleyale..kuna muda ndani ya dakika mbili amepoteza mpira mara tatu..
Tukiachana na hayo sioni Ubovu wa hii timu,Ilibidi tununue straiker wa kueleweka,na replacement ya Herrera bila kusahau No 10 mwenye kabila kama ya Erisken
1 Daley BlindJose Mourinho alichukua Uropa na kushika nafasi ya pili na timu hii na tulimtukana kila tusi
Na mwnyw alikua anawaambia washabik kua..hii team kua ya pili ni achievement kubwa sna.. Washabik wakadhan lbd ni utan..alisema ivo kwa sbb alikua hii team ilikua very ordinary na yy alikua anatumia mbinu za ziada wapate matokeo lkn kuna wapuuz waliona kua lbd MOu anafny mdhaha ss ndo wanajuaJose Mourinho alichukua Uropa na kushika nafasi ya pili na timu hii na tulimtukana kila tusi
Ndio maana mimi ni mmoja kati watu wasioamini sana katika statsPereira katoa pasi ya goli leo
LoyalYes, natamani mwendo wa ushindi.
GGMU
Still am royal man u fan
Watafika mahara wataamin tu kua wanapitia wkt wa LiverWelcome to the gang! I can imagine what it feels like. We at LFC have said this for 29 years now. ManUtd fans had a good laugh at us. And now, for 7 yrs we seem to be in the same boat. Our 29 was aslo 7 once, you'll find out soon.
Have a good luck
Ni kweli nyie sio Man UnitedMkuu usiwe mdhaifu ..sisi Chelsea sio Man united..
Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]