Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Njoo kule jukwaa la Arsenal ulete Table tena tunakusubiri
 
Nasemaje lukaku ni hovyo ila hamna wa kumfananisha nae kwenye hii timu kocha ubaguzi una mponza kwani manchester city wale wachezaj walikuwa wanaipenda? Siku hizi mpira mpesa mepanzi yao na wakina scholes kwa sasa hamna
 
Unacheza na wachezaji tisa wa Soton unashindwa kupata goli,ni timu gani utaifunga?

Haya sasa,umetoa Sanchez kwa mkopo umeuza Lukaku ili mtoto mpendwa Rashford asipate ushindani.😂😂😂

Msimu huu kumaliza nafasi ya 6 ni ubingwa kwetu.
 
Wazee wa kuchana mikeka, hivi msimu huu bado mnandoto za kuwa EPL bingwa labda.???
 
Nasemaje lukaku ni hovyo ila hamna wa kumfananisha nae kwenye hii timu kocha ubaguzi una mponza kwani manchester city wale wachezaj walikuwa wanaipenda? Siku hizi mpira mpesa mepanzi yao na wakina scholes kwa sasa hamna
Ole kama anataka wachezaji wanaocheza kwa ajili ya timu angechukua mashabiki wakafanya kazi hiyo. Mpuuzi sana huyu jamaa.
 
Nasemaje lukaku ni hovyo ila hamna wa kumfananisha nae kwenye hii timu kocha ubaguzi una mponza kwani manchester city wale wachezaj walikuwa wanaipenda? Siku hizi mpira mpesa mepanzi yao na wakina scholes kwa sasa hamna
Na bado..lukaķu atakumbukwa sana..hamna recognized striker pale...
Afadhali january wamchukue ibrahimovic awaokoe japo kwa miezi 5...
Hahahaaaaaaa
Harry Maguire......
 
Kocha makini hawez kumuacha herrara na lukaku waondoke halafu mbadala awe martial mwenye mech 5 anafunga goli moja lingard mech 50 goli moja rashford kila baada ya mech 6 goli moja tabu iko pale pale

Nasemaje kumpoteza Mouringo ni tatizo kubwa sana kumbe shida si kocha
 
Amna team apa
yale yale ya season iliyo pita
Hapana mkuu,msimu uliopita afadhali tulikuwa na Herrera katikati.

Nilisema na narudia tena kusema, kwa aina hii ya timu hasa upande wa kiungo cha Pogba na Scott hata hawa akina Harry na Bissaka tutaanza kusema ni wabovu. Tukumbuke hao akina Jones na Smalling kipindi cha Sir Alex walikuwa mabeki wetu na tulibeba ndoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…