Mkuu jaribu kutumia lugha ya ustarabu kidogo sisi wote huwa tunatania sana humu lakini huwa hatutumii lugha hizi.
Martiaaaal aondoke kabisa kwenye hiyo nafasi. Amwachie James, hawezi kufunga goli la kiwango hicho.
Daniel James my mind yelled, “shoot!” And that's what happened, 10th min counter-offense concerning the Pog, Bissaka McTominay, Rash ..to James brilliant moves! 1:0 @ St Mary‘s.[emoji214][emoji307]
Mkuu Radika umekata tamaa kabisa na timu yako dah.
Mkuu nitupie link nicheki na mimi niko pori sana huku
That guy is overratedRashford leo hovyo sana labda apate zali
That guy is overrated
Yule kaenda wapi?Pogba wa Juventus si huyu tunaemuona.
Nadhani jamaa anafanya kwa vitendo kuwa hataki kuwa hapa maana anafanya makusudi tu humu ndani.Pogba wa Juventus si huyu tunaemuona.
kwa hiyo, chong amureplace perreira?Hovyo sana yeye na perreira kama tunacheza 9 hamna watu humo
sadPogba auzwe dirisha la January. Moyo wake haupo tena Man u. Anacheza ili mradi dk zisonge
acha lingard akae bench kwanzaGame ikiisha kuna watu wataendelea kusema kwamba wachezaji wa United wanamwangusha Pogba [emoji24][emoji24]
Pereira hayupo vizuri, Lingard should come in for him
Bora aendelee Andres kucheza kuliko kumuingiza huyo J-LingzGame ikiisha kuna watu wataendelea kusema kwamba wachezaji wa United wanamwangusha Pogba [emoji24][emoji24]
Pereira hayupo vizuri, Lingard should come in for him