Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,226
- 44,222
Bila kusahau Kuna Var ambayo wanatuaminisha ingesolve haya mambo, Mfano Kama hii Cahil Ni last man yupo yeye na martial tu, martial anaenda kufunga akamchezea foul, hii Ni clear red card Sheria IPO wazi na vidic ashakula red za aina hii nyingi against Torres Ila refa sijui katoa maamuzi yake wapi na kutoa yellow.Nina uhakika Lingard kwa sasa anakula bakora nyingi kwa kuwa timu haipati matokeo mazuri
Nina uhakika timu ikijakupata matokea Lingard ataonekana kama Iniesta wa Man Utd
Na kupata matokeo mazuri yanasababishwa na timu nzima kucheza vizuri
Nina uhakika Man City ingekuwa haipati matokeo kuna wachezaji tungewaona wa kawaida sana (akina Zichenko, akina Otamendi, akina Rodri labda abadilike mbele ya safari)
Kwa sasa kuna vitu naona Lingard inabidi aongeze ili a improve game yake, lakini haimaanishi ni mbovu kama watu wanavyomsemasema
Nina uhakika matokeo ya mechi zilizopita yametu dis appoint sana, lakini pia nina uhakika kuna mambo madogo madogo ambayo yangetokea/yasingetokea kwenye mechi zilizopita hasa ya Cristal Palace leo hii tungekuwa tunaongea mengine
Martial kuangushwa na Garry Cahil kwenye penalt box, ingetolewa penati na Garry Cahil angepewa kadi ya pili ya njano sidhani kama matokeo yangekuwa yale tuliyopata
Rashford kukosa penalt. Ni jambo linalotokea kwenye soka mchezaji kukosa penalt lakini ni nafasi rahisi ya kufunga kuliko nafasi nyingine yoyote uwanjani hivyo Rashford angetumia nafasi ile leo tungeongea mambo mengine
Martial kuumia dakika za mwishoni na kufanya United inayohitaji goli la kuongeza kubaki na watu 9 uwanjani
Kuna watu watasema ndio mpira ulivyo, nakubaliana nao. Lakini kwa mechi iliyopita ni kwamba hatukuwa na bahati na si kuzidiwa kiwango
I see angle ya mshangiliaji wa mpira. Hakuna shabiki wa mpira atacomment hivi.Virgil Van Dijk was the most expensive defender last year and won the UEFA mens player of the year award!
Over to you Harry Maguire.
Sijaelewa atakwend wap#Darmian to @1913parmacalcio from manutd on a permanent deal, medicals tomorrow @SkySportsNews @SkySport
Timu ambayo itabaki na magarasa ni Chelsea tu,
Yaani ukiangalia orodha hiyo unaona kabisa Kuwa hatukustahili kucheza kikombe honcho. We deserve better than this kwakweli.
- Group L: Man Utd, Astana, Partizan, AZ Alkmaar
Parma are going to buy Matteo Darmian from Man United for €1,5M. No more loan. He’s ready to sign his contract to come back to Italy. [emoji837] #MUFC #Parma #transfersSijaelewa atakwend wap
So Smalling is a deadwood but Phil Jones is not right?
Hajamtoa kinguvu Sanchez hastahili kubaki epl his time is overNilichogundua solskjaer kamtoa sanchez kinguvu jezi namba 7 iwe wazi ipate mtu sahihi hii inaitwa safishasafisha kwa sababu tunaupungufu wa ushambuliz lakin bado kakomaa jamaa asepe
Kwahiyo huyo No saba anakuja lini??Nilichogundua solskjaer kamtoa sanchez kinguvu jezi namba 7 iwe wazi ipate mtu sahihi hii inaitwa safishasafisha kwa sababu tunaupungufu wa ushambuliz lakin bado kakomaa jamaa asepe
What if hamna timu zinazoonyesha kumtaka Jones??.So Smalling is a deadwood but Phil Jones is not right?
Ninaamini kwa mabeki waliokuwepo, Smalling ni beki namba 4 kwa ubora baada ya Maquire, Lindelof na Axel. Baily majeruhi yanam cost na hana consistence, huwezi kumtegemea.So Smalling is a deadwood but Phil Jones is not right?
Huyo Jones umeshamuona hata benchi? Tuanzebe Ni wa tatu, ikiwa lindelof ama Maguire ameumia Dogo ndio atachukua nafasi. Na ole ameshasema Rojo hauzwi, inamaana pengine Jones akawa hata Ni wa 5 kwenye chaguzi.So Smalling is a deadwood but Phil Jones is not right?
Walimuongeza mkataba Jones wakaacha kumuongeza Smalling ambaye hana injury record lakini pia ni experienced kuliko huyo Axel na BailyNinaamini kwa mabeki waliokuwepo, Smalling ni beki namba 4 kwa ubora baada ya Maquire, Lindelof na Axel. Baily majeruhi yanam cost na hana consistence, huwezi kumtegemea.
Nadhani anaondoka yeye kwa kuwa hao wengine wamekosa wanunuaji
Kibaya sana Phil Jones huwa anawaumiza hata wenzake mazoezini.Huyo Jones umeshamuona hata benchi? Tuanzebe Ni wa tatu, ikiwa lindelof ama Maguire ameumia Dogo ndio atachukua nafasi. Na ole ameshasema Rojo hauzwi, inamaana pengine Jones akawa hata Ni wa 5 kwenye chaguzi.