Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwamba Madson Man wakimtaka ana ubavu wa kuchoma, si kweli
 
Na wanacheza mpira mzuri mechi zote
Hata United wanacheza vizuri mbona!! Nani anawadharau Chelsea by the way? Watu mjifunze na kuvumilia tambo za fans wa mpira. Starehe ya ushabiki wa mpira imejikta zaidi kwenye tambo na hii ni kwa michezo yote so football tuu.

Watu mnapandwa sana hasira kuliko hata wenyeji.

Msiwe mnajipatia matumaini makuubwa kuliko practical reality.
 
Naihurumia united yangu siku nitakayokutana na livapool ...
Bora mou alifungwa 3-1 ila huyu kocha wa leo 6 zinamuhusu
Timu kubwa tishio kwa United na mapungufu yake ni City. The rest tupo level moja tuu, is a matter of chance
 
I like fans of your calibre and arguments. Watu wanashambulia as if nothing can be done. Kwanza as from the next game, Lingard hataanza. Danny ni muhimu kuanza. Mid aanze Paul, Tominay/Matic na Perreira/Fred
 
Horjberg na Romeo ni balaa
 
pogba hapati namba kwa shibubo
 
wewe jamaa kila sikunakuambia unakaakili kuliko mashabiki wote wa Manchester United
 
sure kabisa morinho ni msema ukweli kama Paul makonda
 



Ivi Rashford anaweza fanya ata ii

Hii ndiyo imekuwa habari kubwa mitandaoni kwasasa kuzungumzia VVD kupigwa chenga baada ya Mechi 50 za EPL.

Hata hivyo Video yako FA wameshaiblock JF haina Copyright ya kuplay hii video
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…