Refa mpira umemshinda
Van persie kaingia vibaya
Wenye thread karibu warudi kwa kasi, ngoja nijisogeze arsenal.
Nasi tumezoea ninyi kubebwa.Tumeshazoea maneno yenu. Ila RvP alistahili kadi nyekundu kwa hiyo tackle.
Wenye thread karibu warudi kwa kasi, ngoja nijisogeze arsenal.
karibu sana utanikuta nimetulia.Utanikuta na huko.
Nasi tumezoea ninyi kubebwa.
.....SAF anatumia falsafa gani kufundisha mpira???? magoli inabidi yaende na burudani bwana.
hahahahaah! Mlikimbia threadWarudi mara ngapi?
Sawa mkubwa.Heshima tafadhali kwa wakubwa zako.
Vikombe 19 na bado tunaendelea kutafuta mengine zaidi.
Poleni.
manure wamebebwa sana leo against 10 men
Bebweni na nyinyi...mbona kinawauma? Bebwa ubebeke,kama hubebeki,shauri lako.