Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mechi saa ngapi?
 
Na wewe nakuuliza swali Kama nilimuuliza mwenzako juu kitu gani kafanya pep ambacho kocha mwengine yoyote ameshindwa kufanya?

Pep anashinda makombe,pep anafundisha mpira ambao watu wa mpira wanapenda kuutizama T-T
Anawafanya Wachezaji wa kawaida kuwa world class
Pep katika kila msimu anatakwimu nzuri za kucheza uefa semi-final

Umesema pep anafanikiwa Kwasababu anapewa back up ya kusajili Wachezaji wanaofiti mfumo wake?

Je makocha wengine hawapewi back up Au ndio makocha wengi hawajitambui nini wanataka
Let's give man credit he is the best hate him or not
 
Doh mkuu umeniacha Hapo Kila msimu anafika nusu.

Pep hajawahi fika nusu fainali na Man city, Ni Pelegrini peke yake ndio ana record hio city.

Msimu wa kwanza katolewa 16 Bora na monaco
Msimu wa pili robo na Liverpool
Msimu wa tatu robo na Spurs.
 
Doh mkuu umeniacha Hapo Kila msimu anafika nusu.

Pep hajawahi fika nusu fainali na Man city, Ni Pelegrini peke yake ndio ana record hio city.

Msimu wa kwanza katolewa 16 Bora na monaco
Msimu wa pili robo na Liverpool
Msimu wa tatu robo na Spurs.
Hata Bayern hakufanya vizuri sana uefa.
 
Mkuu nimezungumzia collectively nimekwambia anatakwimu nzuri za uefa za kucheza nusu fainali sijszungumizia man city pekee

Hivi kitu gani kinakufanya umuone Pep ni kocha wa kawaida?

Mimi sikatai huyu kocha wengi tulimchukia baada ya kutuadhibu mara mbili fainali
Nilimchukia sana nilihisi anaichukia sana Manchester United Kwasababu walicheza na sisi kama wanaugomvi

Ila baadae nili omit zile negative opinions about pep the man is genious
Nilitaman sana siku moya aje old Trafford ila ndio hivyo haitawazekana tena
Doh mkuu umeniacha Hapo Kila msimu anafika nusu.

Pep hajawahi fika nusu fainali na Man city, Ni Pelegrini peke yake ndio ana record hio city.

Msimu wa kwanza katolewa 16 Bora na monaco
Msimu wa pili robo na Liverpool
Msimu wa tatu robo na Spurs.
 
Mkuu Mimi namkubali pep ni kocha mzuri, na hata wenzangu humu pia wanakubali, tunachokataa sisi Ni title ya best ever ambayo watu wanampa,

Pelegrini kabeba ligi na pia Kafika nusu fainali ya Uefa, na pep kabeba ligi na kufika robo fainali, then mmoja anaitwa best ever coach na mwenye Mafanikio zaidi no one care.

Pelegrini ndio kocha pekee kuifikisha Villarreal nusu, kocha pekee kuifikisha Malaga robo na Kocha pekee kuifikisha Man city nusu, at same time pep yeye kapewa Timu ilioshiriki fainali 3 ndani ya misimu 4 ya Uefa na akashindwa kuingia fainali Tena japo alikuwa na kikosi Cha Dunia, akaja man city vile vile kapokea timu iliofika nusu fainali Uefa Ila mpaka leo japo kaspend zaidi ya 600M kashindwa hata kufikia hio record ya pelegrini ya nusu.

Unaniaminishaje hizi under achiever za Uefa za miaka 6 Sasa kwamba zinasababisha mtu awe kocha Bora zaidi duniani. Zidane mwenyewe kabeba uefa Mara 2 sijui 3 mfululizo na hawi regarded Kama best ever.
 
Yah pale baryen ilifika kipind kina Karl Henze ,Uri hoanes , wakashindwa kumuelewa, wakaona hana jipya,maana kuna wachezaji walishindwa kupafom chin ya pep, na waliletwa kwa gharama kubwa.

Pep mwenyewe anakili hakuna MTU anayemuhusudu kama Txiki Begiristain kaongea juzi juzi hapa ,huyu ndio Yupo nyuma ya mfumo wa Tiki taka.....
 
My starting Lineup vs Crystal Palace

De Gea

Bissaka - Lindelof - Maguire - Shaw

Pogba - McTominay

James - Lingard - Rashford

Martial

Sioni sababu ya sisi kukosa point tatu na perfomance nzuri..GGMU

Hivyo ndiyo ilivyo hasa...

Ukweli ni kwamba timu yenu imeshakuwa kama yetu starting line-up ipo predictable kila mtu anajua kama itakuwa hivyo.
 
Hilo swali ulilomuuliza umemfukuza jumla,hawezi kurudi tena.
 
Kuhamasishaje? Kwa kuongea hadharani kwamba anataka kwenda Madrid? Kuongea hadharani kuwa anahitaji changamoto mahali pengine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…