Kikubwa cha ajabu alichofanya Pep ni kuleta Dominance kama ya PSG au Bayern au Juventus ligi kuu ya Uingereza kitu ambacho Fergie alishindwa maana mara ya kwanza alikutana na upinzani wa Wenger kisha wakaja ChelseaHuku akifundisha timu ambazo hata yeye asingekuwepo Zina uwezo wa kuchukua ubingwa.
Mfano niambie Kuna wonders ngapi pep anaefanya kwa kuipa timu ubingwa ama ku improve kitu Fulani ambacho mwanzo watu waliona Kama Ni impossible. Mfano nakupa
-Sir Alex Ferguson aliipa ubingwa wa ulaya Aberdeen ambayo huko Scotland kwenyewe Ni kibonde, akizifunga timu Kama Madrid na Bayern.
-Lvg Akiipa Ajax ubingwa wa ulaya mara mbili na Vitoto vyake.
-Lvg huyo huyo akaondoa Ubabe wa kina Ajax, psv na Faynoord kwa kuipa ubingwa Az Alkmaar ambayo hata hawakuwa favourite.
-Mou kuipa Ubingwa wa ulaya Porto.
-Mou huyo huyo kuwapa ubingwa Chelsea (japo nae Hapa alispend vya kutosha)
-Ranieri na Leicester yake
-klop na ligi ya ujerumani alipokuwa Borussia
In short mkuu with evidence naweza kupa toka pep aje Man city hajawahi kupanga watoto/Team B asifungwe, Ashajaribu Sana Uefa ama Fa/Efl akipanga tu watoto anafungwa. Hii inaonesha kabisa philosophy zake zinahitaji world class players na sio kocha mzuri Kama watu wanavyomnadi.
Mkuu unaposema dominance ambayo hata fergie alishindwa cjaelewa ipo katka misingi ipi, kwa sababu man city epl kachukua mara mbili mfulurizo ila fergie alisha chukua mara tatu mfulurizo twice.Kikubwa cha ajabu alichofanya Pep ni kuleta Dominance kama ya PSG au Bayern au Juventus ligi kuu ya Uingereza kitu ambacho Fergie alishindwa maana mara ya kwanza alikutana na upinzani wa Wenger kisha wakaja Chelsea
Mourinho ni kocha bora wa pili duniani baada ya Pep ila ni kocha mwenye mpira mbovu usiovutia. Na Pep kuchukua UCL na Man City sio kitu kikubwa ambapo naimani sio muda tutashuhudia Manchester city chini ya Pep wakichua Ubingwa wa UEFA
Kama tunaamini Google tunapo search the fifth term president of Republic of Tanzania is John Pombe Magufuli
LIVERPOOL MAN UNITED Ligi 18
UCL 6
UEL 3
U Super Cup 4
Club World Cup 0
FA 7
Carabao 8Ligi 20
UCL 3
UEL 1
U Super Cup 1
Club World Cup 1
FA 12
Carabao 5JUMLA 46 JUMLA 43 Ngao 16 Ngao 21 Jumla ya Makombe + Ngao 62 Jumla ya Makombe + Ngao 64
Nimeweka Mchanganuo Kama Nimekosea Naomba usinishambulie bali unisahihishe.
Nadhani aliposema kuwa 'Liverpool ni Most successful Club in England' itakuwa hajakosea interm of Makombe coz Liverpool ndiyo timu yenye Makombe mengi kuliko timu yoyote ya Kiengereza akiwa na Jumla ya Makombe 46 dhidi ya 43 ya Man United.
Lakini tukija mpaka kuhesabu Ngao za hisani basi Manchester United ndiyo timu yenye Trophies nyingi kuliko timu yoyote ya Kiengereza kwasababu inabebwa na Ngao 21.
Lakini kuhusu hayo Makombe 66 uliyoweka hapo Mkuu Naomba ufafanuzi ni Makombe gani labda? Au umechanganya na Yale muliyobeba preseason?
Google sometimes ina mislead
Natanguliza shukurani,
Yours sincerely,
King Ngwaba
Nyie ndio mnatupa wakati mgumu kuishawish serikali kuruhusu matumizi ya bangi...Man u tutamaliza 6 kama wolves akitupiga uefa, kumbuka Al ahly anaweza beba uefa hivyo tegemeo letu ni europa. Group stages ngumu sana hasa ukizingatia golf in atlantic katika cottage na pia pogba hawezi ufamasia.
Mkuu kwani kuchukua kombe mara 3 mfululizo unadhani amefanya SAF tu, zimefanya timu nyingi pale uingereza akina Arsenal wote wamefanya hivyo. Kwa hiyo hata Pep akichukua kombe la tatu hatavunja record yoyoteMan City huyu alikuwa na uwezo wa kuchukua ubingwa kibabe kwa gap la Points 19 kama 2017/2018 bila ya Pep?
Na Pep anakuja kuvunja rekodi ya Ferguson ya treble ya EPL maana sioni wa kumzuia asichukue EPL ya 2019/2020
Siipendi Man City ila Pep ni kocha mwenye mafanikio na anaejua Ukocha pengine kuliko Kocha yeyote duniani
UEFA na Bayern alikuwa anaishia nusu fainali na ndio Club pekee aliyotoka baada ya kuachana na Barca
Mnapotaka kusema Ferguson ni bora kuliko Pep kwa kigezo cha Aberdeen mnasahau kwamba Ferguson amepoteza fainali mbili za UEFA zote na tena kwa mtu huyo huyo ambae ni Pep
Kama anabebwa na ubora wa Wachezaji mbona Valverde ameshindwa akiwa na Messi yule yule? Kuhusu kutumia pesa Man Utd muda wote ilikuwa na uwezo mkubwa kipesa kuliko Club zote ambazo Pep amefundisha na anafundisha sasa lipi ni lipi hapo?
Unaweza ukawa na hela lakini ukawa natiKama anabebwa na Pesa basi mnajitukana wenyewe sababu Club yenu ina pesa kuliko Barca, Bayern,Manchester city Club ambazo Pep amefundisha
Kwenye pesa mnanajifunga wenyewe sababu Club zote alizofundisha Pep zimezidiwa uwezo mbali tu na Manchester United
Mwenzenu pesa ndogo kulikoni nyie ila ubingwa lazima kama kanuni ila cha ajabu nyie naaminj mtaenda miaka kumi au zaidi bila ubingwa wakati muda wote huo nyie duniani mnacheza nafasi ya kwanza mkishuka sana nafasi ya tatu kimapato duniani huku domestically kimapato hamna mpinzani pale Uingereza
Pep ameleta dominance Uingereza kwa kuchukua kombe kwa kuizidi Liverpool point 1Kikubwa cha ajabu alichofanya Pep ni kuleta Dominance kama ya PSG au Bayern au Juventus ligi kuu ya Uingereza kitu ambacho Fergie alishindwa maana mara ya kwanza alikutana na upinzani wa Wenger kisha wakaja Chelsea
Mourinho ni kocha bora wa pili duniani baada ya Pep ila ni kocha mwenye mpira mbovu usiovutia. Na Pep kuchukua UCL na Man City sio kitu kikubwa ambapo naimani sio muda tutashuhudia Manchester city chini ya Pep wakichua Ubingwa wa UEFA
The asker umemu ask vizuri sana huyo jamaaMkuu unaposema dominance ambayo hata fergie alishindwa cjaelewa ipo katka misingi ipi, kwa sababu man city epl kachukua mara mbili mfulurizo ila fergie alisha chukua mara tatu mfulurizo twice.
Sasa cijaelewa mbili inakuwaje dominance afu tatu isiwe.
Kama tunaamini Google tunapo search the fifth term president of Republic of Tanzania is John Pombe Magufuli
Tuiamini Google hivyo hivyo inapotupa data ambazo hatupendezwi nazo
Nimeangalia vilabu vyenye mafanikio makubwa Ulaya kwa kushinda trophies nimekutana na Barca - 89, Real Madrid - 86, Bayern Munchen - 69 na Man Utd - 66
Sasa sijui bwana Mkubwa Mfalme wewe source yako ya info ni ipiView attachment 1187782
Mzee heshimu watu hapa, usiniambie nabwabwaja dogoAlivyokuwa nayo saba sasa hivi ana mangapi na Manchester ana mangapi in total? Au umehisi tu kubwabwaja?
Liverpool ndo timu yenye makombe mengi Uingereza yote immediately baada ya kuwa crowned Super Cup!
Wanajisahaulisha, super cup ni kama ngao ya hisani tu..... Maana mechi moja inapata bingwaSuper cup na ngao ya Hisani si wale wale?
ligi yenye competition ndio nzr mkuu sio spain,italy au wapiPep ameleta dominance Uingereza kwa kuchukua kombe kwa kuizidi Liverpool point 1
PSG amechukua kombe mara 7/8 mfululizo, Juventus mwaka wa 7 mfululizo, Bayern naye miaka zaidi ya 6 halafu ufananishe na ligi ya Uingereza
Mzee acha kutulisha matango pori
Mkuu pep anaenda Bayern ndani ya miaka 4 wameingia fainali 3 za Uefa, kaingia fainali na Inter 2010, fainali na Chelsea 2012 mpaka kuja kuchukua na Dortmund, je kwa timu ilioingia fainali 3 ndani ya miaka 4 kuifikisha nusu fainali Ni Mafanikio?Man City huyu alikuwa na uwezo wa kuchukua ubingwa kibabe kwa gap la Points 19 kama 2017/2018 bila ya Pep?
Na Pep anakuja kuvunja rekodi ya Ferguson ya treble ya EPL maana sioni wa kumzuia asichukue EPL ya 2019/2020
Siipendi Man City ila Pep ni kocha mwenye mafanikio na anaejua Ukocha pengine kuliko Kocha yeyote duniani
UEFA na Bayern alikuwa anaishia nusu fainali na ndio Club pekee aliyotoka baada ya kuachana na Barca
Mnapotaka kusema Ferguson ni bora kuliko Pep kwa kigezo cha Aberdeen mnasahau kwamba Ferguson amepoteza fainali mbili za UEFA zote na tena kwa mtu huyo huyo ambae ni Pep
Kama anabebwa na ubora wa Wachezaji mbona Valverde ameshindwa akiwa na Messi yule yule? Kuhusu kutumia pesa Man Utd muda wote ilikuwa na uwezo mkubwa kipesa kuliko Club zote ambazo Pep amefundisha na anafundisha sasa lipi ni lipi hapo?
Ungeanza kuwa na heshima usingevunjiwa heshima pia. Unaleta sources outdated then wataka ziwe valued. Ina maana hapo kwenye post yangu huoni link?Mzee heshimu watu hapa, usiniambie nabwabwaja dogo
Back to the topic, mimi nina source nyingi na nimeweka hapa machapisho, wewe source yako nini
Weka idadi kamili ya kila kombe hapa!Kama tunaamini Google tunapo search the fifth term president of Republic of Tanzania is John Pombe Magufuli
Tuiamini Google hivyo hivyo inapotupa data ambazo hatupendezwi nazo
Nimeangalia vilabu vyenye mafanikio makubwa Ulaya kwa kushinda trophies nimekutana na Barca - 89, Real Madrid - 86, Bayern Munchen - 69 na Man Utd - 66
Sasa sijui bwana Mkubwa Mfalme wewe source yako ya info ni ipiView attachment 1187782
Mkuu akiipa Uefa then Mimi nitakubali Ni katika makocha Bora zaidi, Ila tusubiri kwanza sababu bado hajaipa.Kikubwa cha ajabu alichofanya Pep ni kuleta Dominance kama ya PSG au Bayern au Juventus ligi kuu ya Uingereza kitu ambacho Fergie alishindwa maana mara ya kwanza alikutana na upinzani wa Wenger kisha wakaja Chelsea
Mourinho ni kocha bora wa pili duniani baada ya Pep ila ni kocha mwenye mpira mbovu usiovutia. Na Pep kuchukua UCL na Man City sio kitu kikubwa ambapo naimani sio muda tutashuhudia Manchester city chini ya Pep wakichua Ubingwa wa UEFA
Jessey Lingard hafiki hata nusu ya Angel Gomes had kule kwenye academy huenda wanacheka sana kama jamaa anacheza kila game sasa madogo wanakazaje?
Toka 2016 nafikir hana hata assist 10 au 8
Weka wewe iliyokuwa published 2019, tuone umetoka 62 na kufika 67Weka idadi kamili ya kila kombe hapa!
Wewe umeenda kubeba articles bila hata kuangalia imepublishiwa lini... [emoji23]