Kuna washabiki wanapenda kujitoa ufahamu hawaijui hata timu wanayoshabikia mpiga penati ni nani wao wa najua kulalamika tu bila maana
 
.

Siku hizi unaonyesha ukomavu.

Nilikuwa naingia humu mnatukanana asenyeto na chelwowo, nyumbu
 
Hapana mkono ukizidi hauhesabiwi kwenye offside position unless mchezaji awe ameshusha mwili wake kwenye angle of inclination hiyo inakuwa offside.
 
Ushabiki mwingi na sheria hawazijui
 
Ibilisi wekundu soon mtarudi kwenye maisha yenu

Naona jana umeenda sumbawanga kwa mganga umelala uchi bado unateseka tu

Ulisikia wapi tembo akikonda anafanana na paka?


Pamoja na kufanya vibaya kamwe makombe 20 hayawez kwenda timu yako pambana na hali yako mkuu
 
The problem ni hao wachezaji ambao anagombania nao namba (Mata,Perreira,) ni wabovu pia,ni ngumu sana Lingard kumuweka benchi mchezaji kama Eriksen,Bernado Silva
Lingard akipata mpira katikati ya uwanja utakuta chap ushafika kwenye box la mpinzani hiyo ni advantage sana especially kwenye timing kabla timu pinzani haijarudi
 
Watu wanafikiriaga VAR ni roboti

Kuna wengine waliposikia VAR kutumia EPL walifurahi sana labda walidhani VAR itaweza kukubali au kukataa Goli au itaamua kuwa ni Penalty au sio Penalty!


Kumbe hawajui Kuwa VAR (Video Assistant Referee) ni Television tu ya Kawaida inayoonesha tukio lililotokea ambalo Refereee hana uhakika nalo!

Lakini Refa huyohuyo akishaliangalia hilo tukio kwenye VAR yeye ndiye atabaki kuwa muamuzi wa Mwisho na wala sio VAR ndiyo itakayoamua.

Kwahiyo Refa kuboronga kwenye EPL kutaendelea palepale kama wanavyoboronga kwenye CL na WC ingawa kuna VAR.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…