Manchester United (Red Devils) | Special Thread

We naye acha kupoteza nguvu zako bure. Huyu amfumue City? Au Mbeya City ndo unayoiongelea... kwasbb amekufumua ww basi wadhani kila mtu atafumuliwa...
 
Huyo Leicester ashukuru VAR, bila hivyo angepigwa na Wolves nyumbani kwake
 
Una mapenzi mabaya mkuu yaani lingard aungie kwenye hao miamba?
Kwakweli. Hili halihitaji hata juzuu kuliona. Lingard kuna muda ni kama headless chicken. Huwezi mfananisha na Fletcher ama Park kabisa. Mbali na mbio, nothing to offer.
 
Ni sheria ya offside mda mrefu tu.
Sasa kama Unataka kujifunza jifunze ,ila kama unaleta ushabiki ambao hautaki kujifunza Sawa pia.

Ila hapa tuko kujifunza
Umesoma comments zangu za chini, au unataka kuanzisha ligi tu

Mimi ni moja ya watu ambao nipo tayari kujifunza mzee
 
We naye acha kupoteza nguvu zako bure. Huyu amfumue City? Au Mbeya City ndo unayoiongelea... kwasbb amekufumua ww basi wadhani kila mtu atafumuliwa...
Man U mkuu usiwa andareti kiivyo wanaeza mkazia tu City akachezea kichapo ..hii man u ikitulia fresh wanaeza beba ata EPL mkuu..

Kila la kheri Chelsea
 
Man U mkuu usiwa andareti kiivyo wanaeza mkazia tu City akachezea kichapo ..hii man u ikitulia fresh wanaeza beba ata EPL mkuu..

Kila la kheri Chelsea
Mzee baba, kukututusa wewe 4 bila kumekuchanganya kabisa naona. Labda City abanwe na VAR la sivyo hamna hapa timu ya kuizuia City.
 
Inawezekana uko Sawa tumeangalia mechi tofauti but to make fair assessment inabidi kuweka emotion pembeni

Jana United walikuwa na 2 shots on target Ile ya Shaw haikuwa shot on target sababu alikuwa offside na refa alishapuliza filimbi


Angalia attachment za statistics za mechi ya Jana na ya msimu uliopita,kitu ambacho jana tuliwazidi ukilinganisha na msimu uliopita ni "possession" na defence kuwa imara but sio kutengeneza nafasi

Kutengeneza nafasi maana yake ni nafasi za kufunga magoli jana hatuku-create big chance sana ukilinganisha na msimu uliopita


One of reason ku-totengeneza nafasi ni kuchezesha 2 midfielder so Pogba akawa anacheza kama DM while McTominay sio creative, game against Chelsea Pogba alikuwa free alicheza mbele ya McTominay na Perreira na ndio ali-create chance nyingi

Baada ya kuona hizi mechi 2 United ime-improve sana kwenye defence (Game zote Maquire & Bissaka ) ndio wachezaji waliocheza vizuri kwenye defence but matatizo ni yale yale katikati na ushambuliaji
 

Attachments

  • Screenshot_2019-08-20-11-48-45-613_com.mobilefootie.wc2010.jpeg
    45.3 KB · Views: 19
Kwa hiyo stats muhimu kuliko zote, ya goli 1-1 ambayo imetupa point hujaiona umeona stats nyingine ambazo ni meaningless
 
Halafu mimi original comment yangu ambayo wewe unaipinga nimesema tume create chances nyingi, naona wewe umekuja na kigezo cha "the big created chances". Tume create nafasi 6 je hizo sio nafasi nyingi.

Halafu angalia pia kwa upande wa Wolves msimu uliopita Wali create nafasi ngapi na jana Wali create ngapi. Je hiyo si improvement? Au ulinzi ukiimarika sio improvement?

Nadhani tumeangalia mechi tofauti
 
Pia ulisema hatuja improve, halafu kwenye maelezo umekubali tume improve possession wise
 
Kwa hiyo stats muhimu kuliko zote, ya goli 1-1 ambayo imetupa point hujaiona umeona stats nyingine ambazo ni meaningless
Naongelea kutengeneza nafasi nyingi as you said on your first post,United haiku-tengeneza nafasi nyingi mechi jana ukilinganisha na msimu uliopita na tulikuwa na only 2 shots on target,
Last season tulicreate 14 chance jana 6 chance so 6>14 and big chance 1 (penat)>4 kwa namba hizo tume-improve ??

And how umebadilika now hata possesion unaiita meaningless while kwenye hiyo post ulikuwa unasifia possesion
 
Na droo ya 1-1 ndiyo iliyomfungulia kifungo au ban Ollachuga ,ilikuwa ajitokeze wiki ijayo
 
Watu wanafikiriaga VAR ni roboti
 
Possession ni meaningless stats kama hujapata matokeo na huo ndio mtazamo wangu maana hata chengesha bwege ina possession

Lakini possession na ukipata points au walau point 1 (hapa najaribu ku compare na mwaka jana walioitufubga na ku dominate) ni jambo la kujivunia

Lakini wewe unapokuja kusema hatuja improve wakati defensively tume improve, offensively, possession wise tume improve ninashangaa

Nitauliza tu swali la kizushi, tuna mechi ya marudio na Wolves, ukiambiwa uchague mechi mojawapo ijirudie kati mechi ya jana na zile za mwaka jana pale Moulineux utachagua ipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…