2 shot on target ndio nafasi za kutosha ????Mechi ya leo tumecheza vizuri
Tumetengeneza nafasi za kutosha japo tumeshindwa kuzitumia
Naona United iliyoboreka ukilinganisha na ile iliyopigwa na Wolves msimu uliopita
Bado sijaelewa kazi ya VAR, mchezaji wa Wolves alizidi mkono wakati anatoa pasi ya goli
Kukosa penati ni jambo linalovumilika kwa mchezaji katika soka, swali ni je Pogba ameng'ang'ania kupiga penati wakati si mteule wa kocha au?
Hapa naona vidudu mtu wengi wanazengea zengea, lakini amini nakwambia katika big six timu itakayochukua pointi angalau 1 nyumbani kwa Wolves basi hao ni wanaume
By the way, Uwanja uliinama
GGM
Alilisema MOUH.... Shaw mwepesi sana na anakaba kwa machokuna mtu hapa alishawahi kusema ujio wa Bissaka umefanya tumuone Shaw ni average player, hili nimethibitisha katika game ya jana
Acha hizo, how sure are you that Rash asingepoteza hiyo penalty?
Kupunguza ushabiki una maana gani? Tuache kushabikia mpira au kujadili?
Mchango wangu ulitokana na tukio kabla ya kupigwa kwa ile penalty, Rashford ndio alitaka kupiga,Pogba akaenda 'kuililia' na Rashford akamuachia.
Hili la kutokuwa na mpigaji maalumu wa penalty ni jambo jengine linalothibitisha timu ina matatizo. Hata kama wapigaji wanazunguka, huyo Pogba hapaswi kujisogeza kabisa kupiga penalty kwasababu sio mpigaji mzuri.
Unataka kuniambia kati ya wachezaji maelfu dunia nzima unasema hujapata unaowataka?Dyabala angeweza kuja kwa swap na Lukaku (au kwa hela ya kumuuza Lukaku). Japo mimi sio shabiki wa Dyabala kiivyo
Bruno Fernandez angekubalika na scouts ya Man Utd angekuja, nakumbuka press ya OGS kabla ya mechi ya Chelsea, alisema fedha sio shida, lakini hawakupata wachezaji waliowataka japo hela ilikuwepo
Mfano, tungekuwa tupo champions league Sancho angesajiliwa
Ericksen au Bruno, hakuna namna tungeweza kuwasajili wote, lakini sio kwa sababu ya fedha ila ni kwa sababu ya wote wanacheza position moja
Acha hizo, how sure are you that Rash asingepoteza hiyo penalty?
Hebu acha vituko mkuu,unataka sasa tuanze kujadili madhanio? Kwamba hata angepiga Rashford au Martial wangekosa kama Pogba? Hiyo kazi sifanyi mimi. Hata hivyo,Rashford ni bora zaidi kwa hiyo kazi hasa ukiangalia mikwaju aliyowahi kupiga na ilikuwa na presha kiasi gani. Nipe idadi ya penalty alizowahi kukosa Rashford nami nitakupa alizokosa Pogba. |
Hivi kutengeneza nafasi ni sawa na shots on target. Mnaweza mkatengeneza nafasi hata 10 lakini zote zikawa shots off target. Kimsingi tumetengeneza nafasi nyingi jana2 shot on target ndio nafasi za kutosha ????
Sijaelewa tumeboreka upande upi ukilinganisha na last season game tulizocheza against Wolves
Offensive last season tuli-create more chance kuliko game ya jana
Kwahiyo VAR ilidanganya kuweka wekundu kwenye bega?
hahahaa atasubiri sanaLingard hat trick
Sawa mkuu ni kweli muna timu nzuri tu cjui Ole anakwamia wap sasa. Pangeni kikosi cha maana mumfumue Liverpool, Man city ..Arsenal najua ni uhakika lazima mushinde ...Mkuu Kuna watu sio, wastaarabu humu
Kwa hiyo inabidi kwenda nao hivyo hivyo
Jana ilikuwa siku ya bahati kwa Wolves, lakini tuliwazidi kila kitu
Hao Leicester mkuu ni wababe wako mkuu, naona ulijipiga ban kama kawaida yako [emoji23][emoji23]
Mkuu naamini utakuwa umecheza mpira kwa kiwango chetu hiki cha makaratasi
Hivi unamlaumu vipi Lingard kukosa goli lile, wakati ilipigwa pasi halafu yule beki Wily Boly akaigusa kubadili mpira welekeo? Sometime tuseme ukweli, kumlaumu dogo kwenye ile nafasi ni kumuonea
Kwenye bulid up ya goli/penati dhidi ya Chelsea, chanzo alikuwa Lingard. Kwenye build up ya goli la jana pia alihusika
Wakati huo huo sioni watu wakimlaumu Martial kwa kupoteza nafasi ile ya kwanza ambapo krosi ilipigwa na Rashy.
Kuna mpira mwingine Martial aliuacha nyuma (japo mimi simlaumu, najua sometime inatokea kwenye soka) na ilikuwa ni nafasi ya goli kabisa. Ule mpira angeuacha Lingard au Lukaku enzi hizo ungesikia oooh first touch mbovu [emoji1][emoji1]
unasemaje?View attachment 1185801
Mkuu umehesabu mipira aliyopoteza Pogba?
Lingard ni kama Ji Sung Park enzi hizo au Darren Fletcher, unsung heroes
Pia Pogba alicheza vizuri, lakini kimchango dogo Lingard alicheza sana
Scot pia alicheza vizuri mkuu
Dyabala angeweza kuja kwa swap na Lukaku (au kwa hela ya kumuuza Lukaku). Japo mimi sio shabiki wa Dyabala kiivyo
Bruno Fernandez angekubalika na scouts ya Man Utd angekuja, nakumbuka press ya OGS kabla ya mechi ya Chelsea, alisema fedha sio shida, lakini hawakupata wachezaji waliowataka japo hela ilikuwepo
Mfano, tungekuwa tupo champions league Sancho angesajiliwa
Ericksen au Bruno, hakuna namna tungeweza kuwasajili wote, lakini sio kwa sababu ya fedha ila ni kwa sababu ya wote wanacheza position moja
Sasa mkuu Wolves mimi nitapiga nje ndani ..uhakika wa kubeba kama sio point sita basi ni nne ..kama uyo umemshindwa ukikutana na Leicester ci mutapata tabu sana. Japo Muna timu nzuri ya kuweza kuifunga Liverpool au hata Man city goli nyingi tu achilia mali uhakika wa kumfunga arsenal[emoji23][emoji23][emoji23] ..lakini naona Ole anakwama ..yani bado hajui fist XI yake ni ipi. Na hii itampa tabu sana..Mashabiki acha kulalamika. Man U iliyocheza jana ndo niliyokuwa nataka huoni hata ollachuga OC first half alikuwa anachungulia yaani Kazi kazi, wolves shots on target chache sana walipata bahati maana ule mpira ungekuwa usawa wa kuingia bila kugonga mwamba De gea angefanya yake.
Inshu ya pogba kumbuka penati haina ubabe!
Kwangu mimi niliona timu iko poaa kazi kazi dk 90. Ila huyu Shaw Bana angetuliza na kufumua ili tupate usingizi vizuri.
I was happy na mchomoko wa David James, Kazi kazi Wan Bissaka. Chuma Lindelof na Maguire safi sana yaani hawaingii kupitia katikati bali pembeni ila mara nyingi upande wa wan Bissaka mpinzani hafui dafu.
Hata kama tumedroo i am happy maana nilichoka kuona magarasa ya young, smallling, Jones yanaleta mpira golini bila sababu.
Kuhusu martial naona dogo anabadilika taratibu goli safi. Kukosa nafasi duh mpira unadunda.
All in all! Mpira uko poah tukiendeleza soka hilo hilo daily huku forward ikisahihisha makosa Guardiola na Klopp watakuwa na presha.
GGMu
Man Utd haichukui mchezaji yoyote katika maelfu, ingekuwa hivyo tungekuwa tuna kiwango cha mtibwa..... Na utd isingekuwa United. Not all players can be United playersUnataka kuniambia kati ya wachezaji maelfu dunia nzima unasema hujapata unaowataka?
Man Utd ina scouts wengi kuliko timu yeyote ile. Wameshindwa kuona vipaji?
Huu ni uongo wa wazi kabisa.
Mkuu nimeongelea kwa mechi ya jana, sio kiujumlaUna mapenzi mabaya mkuu yaani lingard aungie kwenye hao miamba?
Nimefuatilia nimegundua upo sahihi,
Lakini kwa miaka mingi ya kuangalia soka nimeona mchezaji akiadhibiwa kama yupo offside kwa kuwa tu kamkono kamezidi
Unataka kuniambia kati ya wachezaji maelfu dunia nzima unasema hujapata unaowataka?
Man Utd ina scouts wengi kuliko timu yeyote ile. Wameshindwa kuona vipaji?
Huu ni uongo wa wazi kabisa.
Labda mimi ndio nikisaidie
Kiungo chochote cha mwili kikizidi na mchezaji akafunga goli, hiyo itahesabiwa kuwa ni off side position
Labda hiyo ya kiungo kinaweza kufunga ni sheria mpya ya offside ambayo imeanza kutumika msimu huu [emoji1787][emoji1787]
Mkuu kwa sehemu upo sahihi lakini kwa sehemu haupo sahihiNi kawaida kwa scout wa hii timu kubet kisha tunaambulia wakina sanchez na darmian kaangalie kule yule dogo João Félix Sequeira anachofanya atletico madrid sisi tulianza kubishana bei mwisho dogo akaona mapuuzi kaenda spain